Askofu Mwamakula: Ikiwa mtu atadhurika au kuuliwa sababu ya kutoa maoni kuhusu bandari serikali na viongozi waliotoa vitisho watawajibika

Rare Sapphire

JF-Expert Member
Jul 24, 2021
576
1,626
Askofu Mwamakula amesema Uhuru wa wa kutoa maoni umelindwa na katiba, hivyo hakuna yoyote mwenye mamlaka ya kumdhuru mtu sababu ya kutoa maoni yake.

Askofu Mwamakula amesema yoyote atakaetoa maoni au kunung'unika mkata huu wa bandari ikitokea akadhurika kutekwa au kuuliwa kwa namna yoyote ile viongozi waliotoa vitisho pamoja na serikali watajibika kwa hili.

Askofu Mwamakula ameyasema hayo katika mkutano mkutano na waandishi wa habari akiwa na Dr. Salaa, pamoja na Mawakili Mwabukusi na Madeleka wanazungumza, leo Julai 12, 2023.
 
Kuna kutoa maoni sawa huo ni uhuru lakini mipaka ipo. Usitoevmaoni ya kundhihakibau kumdharau mtu na kumtusi kwa kisingizio cha maoni
 
Hakika na Ubaya wao utalipwa
 
There is freedom of speech, but i cannot guarantee freedom after speech.

Idi Amin.
 
Kuna kutoa maoni sawa huo ni uhuru lakini mipaka ipo. Usitoevmaoni ya kundhihakibau kumdharau mtu na kumtusi kwa kisingizio cha maoni
Kuna dharau na matusi zaidi ya haya ya kusaini mkataba mchafuuu wa hovyo wa kiwizi dhidhi ya Taifa?
 
Askofu Mwamakula amesema Uhuru wa wa kutoa maoni umelindwa na katiba, hivyo hakuna yoyote mwenye mamlaka ya kumdhuru mtu sababu ya kutoa maoni yake.

Askofu Mwamakula amesema yoyote atakaetoa maoni au kunung'unika mkata huu wa bandari ikitokea akadhurika kutekwa au kuuliwa kwa namna yoyote ile viongozi waliotoa vitisho pamoja na serikali watajibika kwa hili.

Askofu Mwamakula ameyasema hayo katika mkutano mkutano na waandishi wa habari akiwa na Dr. Salaa, pamoja na Mawakili Mwabukusi na Madeleka wanazungumza, leo Julai 12, 2023.
Mh 🤔 ngoja waje uvccm tuone wanasemaje!!
 
Mungu atuvushe aisee
 
Back
Top Bottom