Search results

  1. K

    Kwako Katibu Mkuu wa CCM ndugu Chongolo

    Kwanza nikupe heshima yako, shkamoo na pole kwa majukumu makubwa ya kuongoza chama, Siku kadhaa kabla ya sherehe ya uhuru ulifanya kikao na waandishi wa habari kuelezea mafanikio ya chama ndani ya miaka 60. Katika kikao hicho ulizungumza mambo mengi lakini kwangu napenda kuchangia kuhusu haya...
  2. K

    Serikali na kampuni za simu zilivyotoa watumiaji kwenye reli

    Amani iwe kwenu! Kwa wale ndugu zangu mliosoma biashara kuna somo linaitwa Strategic Management, kwa kifupi somo hili linaangazia zaidi juu ya kuanzisha, kutekeleza na kupitia au kurejea mikakati yaani kwa kimombo wanasema stategic managment is about formulation, implementation and Review /...
  3. K

    Uchaguzi 2020 Kuna chama mpaka kampeni zinaisha hawatatamka neno HAKI kwenye mikutano yao

    Habari iwe kwenu wakuu! Zikiwa zimebaki siku chache kabla ya watanzania kufanya maamuzi kwenye sanduku la kura , nimefuatilia kwa ukaribu sana kamapeni za wagombea mbali mbali na kilichonishangaza ni kushindwa wa wanachama, wapambe, viongozi na wagombea wa CCM kutamka neno haki kwenye kampeni...
  4. K

    TAKUKURU, Kawe kuna mteja wenu mzuri sana wakati wa usiku

    Wakuu amani iwe kwenu! Leo sina mengi ila nataka niwaombe wajomba zangu wa TAKUKURU kwamba kuna wateja wao Kawe tena wateja wakubwa sana. Leo usiku wateja hao walikuwa wanapita nyumba kwa nyumba na kila mwenye kitambulisho cha kura alikuwa anakula pesa halali za kitanzania kati ya 30000/= na...
  5. K

    Uchaguzi 2020 Mataga nielewesheni nini maana ya Tanzania Mpya, Zanzibar Mpya?

    Wakuu amani iwe kwenu, Bila shaka wengi wetu wameona kauli mbiu hizi kwenye mabango ya wagombea mbali mbali hasa wa chama cha mapinduzi (CCM). Mgombea wa Urais Zanzibar kwenye bango lake kuna maneno "Zanzibar mpya", Mgombea wa Ubunge kigamboni kuna neno "Kigamboni Mpya" kwingine kuna Tanzania...
  6. K

    Unakemea ubaguzi wa kikabila Rorya halafu wewe unabagua majimbo ya wapinzani

    Amani iwe kwenu wakuu! Jana mgombea kiti cha Urais kupitia CCM akiwa Musoma mkoani Mara alionya vikali UKABILA ndani ya jimbo la Rorya akidai kwamba Waluo hawataki kuchagua Wasuba na kwamba mara zote Wabunge wametokea upande wa Waluo. Ukweli ni kwamba hayo madai si kweli hata kidogo kwa mujibu...
  7. K

    Sijui kama mwenye nyumba anajua haya wanayofanya wadada wa kazi

    Wakuu habari iwe nanyi! Ukisoma kitabu cha Mathayo kwenye biblia kuna hadithi ambayo Yesu Kristo alikuwa akizungumza na wanafunzi wake juu ya Bwana moja aliyetaka kusafiri kisha agawa mali zake (talanta) kwa watumwa wake ili wazisimamie . Lengo la Bwana yule ilikuwa wale watumwa wasimamie zile...
  8. K

    Ndg. Patrobas Katambi anahitaji tiba ya haraka sana (Seriously)

    Amani iwe kwenu wakuu! Kama mada inavyojieleza hapo juu kama kuna mtu anawafahamu wazazi, kaka au dada wa huyu aliyekuwa DC wa Dodoma mjini bwana katambi basi naombeni huyu ndugu yao awahishwe hospitalini maana kama ni malaria basi imeingia kichwani na muda si mrefu anaweza kupelekwa mirembe...
  9. K

    Uchaguzi 2020 Wagombea 65 Ubunge Jimbo la Rorya

    Wakuu amani iwe kwenu! Bila kupoteza muda napenda kuzungumzia list ya wagombea 65 wanaodaiwa kutia nia kwa tiketi ya CCM katika jimbo la Rorya. Hii list mara ya kwanza niliipata ikitokea kwa rafiki yangu aliyeko nchi ya China kwasasa ikiwa na majina 50 nilipopitia hayo majina nilipigwa na...
  10. K

    Kama Corona imeisha magari yaruhusiwe kusimamisha abiria, hasa Dar es Salaam

    Amani iwe kwenu wakuu! Kwa heshima na taadhima nimpongeze mheshimiwa Rais wetu kwa utekelezaji wa shughuli zake za kila siku vyema. Lakini pia nimpongeze kwa maamuzi yaliyokuwa magumu na ambayo wengi hatukukubaliana nayo kwanza ya kuruhusu watu waendelee na shughuli zao katikati ya janga la...
  11. K

    Uchaguzi 2020 Ubunge Rorya 2025: Wenje tafadhali sana kachukue Jimbo

    Wakuu habari za asubuhi! Siku chache zilizopita nilisoma uzi mrefu wa mwanajukwaa moja aliyejitambulisha kama mwalimu wa chuo cha MIST huko Mbeya na mzaliwa wa Rorya Mkoa wa Mara. Alieleza kinaga ubaga jinsi wilaya hiyo inavyotafunwa na makundi ya kitarafa linapokuja suala la uchaguzi akisema...
  12. K

    Mtozi Aloyce Nyanda nini kilitokea jana kipindi cha Agenda 2020?

    Ndugu zangu habari za asubuhi! Kama kawaida siku ya jana rafiki na ndugu yetu Alloyce Nyanda alijitokeza kwenye kipindi chake tajwa hapo juu na aliwaalika vijana wawili ndg John Pambalu (mwalimu, kamanda na kiongozi wa BAVICHA Taifa) huyu walikuwa naye Ilemela Mwanza studioni. Mwingine alikuwa...
  13. K

    RC Makonda na Mambosasa, kwa hili la baadhi ya watu kutokuvaa barakoa DSM mnamuangusha Rais

    Wakuu amani iwe kwenu, Rais Magufuli mara nyingi amesisitiza watu kuvaa barakoa ili kujilinda na kulinda wenzao dhidi ya kuenea kwa ugonjwa hatari wa corona. Rais amesisitiza sana hili na nilitegemea viongozi wa chini akiwemo Mkuu wa Mkoa DSM, Wakuu wa wilaya zote, Kamanda wa kanda maluum ya...
  14. K

    Abiria 15 bila barakoa kati ya abiria 28 ni kutojali au watu wanajua corona imeisha?

    Habari iwe kwenu wakuu! Leo nilikuwa nimepanda gari kwenda kazini (huwa napanda magari 2 hadi kufika kazini) cha kushangaza kwenye gari la kwanza mpaka nashuka nilihesabu watu wasio na barakoa wakafika 15 na kuna wakati gari ilikuwa na jumla ya watu 28 huku watu 15 wakiwa hawana barakoa...
  15. K

    NEC, Wakati huu wa Corona uandikishaji wa wapiga kura uangaliwe vizuri

    Wakuu habari za asubuhi! Napenda kuwaomba Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuangalia namna bora zaidi ya kuboresha daftari la wapiga kura wakati huu wa corona bila kuleta athari kwa jamii. Kama ugonjwa huu utaingia vijijini hali yetu itakuwa mbaya sana kama taifa hivyo napendekeza yafuatayo kwa Tume...
  16. K

    Kupaa kwa bei ya sukari DSM shida ni upungufu au panic purchase?

    Wakuu amani ya bwana iwe nanyi! Toka juzi zimeanza tetesi kwamba bei ya sukari inapanda nasema ni tetesi kwasababu sikuwa na uhakika. Jana nikiwa ofisini nilimsikia bosi wangu akimpigia simu mwanaye akanunue sukari kilo 20, nikamuuliza mbona unanunua kilo nyingi hivyo (maana najua kwake hana...
  17. K

    Kufeli jaribio la kula papuchi kimasihara

    Wakuu amani iwe kwenu! Kama kila wakati tutajiweka busy na issues za corona na siasa hizi zisizo na maarifa basi tunaweza kujikuta tunajipunguzia siku za kuishi kutokana na sonona. Hivyo basi kuna wakati lazima tupate stori za kuchangamsha kidogo. Hapa jukwaani kuna topic maarufu na...
  18. K

    Mpiga chafya aleta balaa kwenye gari, Wananchi wamteremshia Bunda kisa hofu ya Corona

    Wakuu sitaki tuchoshane, amani iwe kwenu! Leo asubuhi kuna jamaa yangu moja wa kitambo yuko huko Musoma kanipigia simu akinieleza kuwa kuna mgonjwa wa corona Bunda na mwingine Musoma mjini. Nikamdadisi hakuwa na taarifa sahihi nikamwambia asipanik na wala asieneze uzushi wanaweza kuleta...
  19. K

    Hofu ya uchaguzi ujao: Nadharia kuu ya hama hama ya wapinzani maslahi

    Habari iwe nanyi wakuu! Kwanza niseme wazi kuwa hakuna jambo kubwa katika maisha kama kujitambua, kutambua utu na thamani yako. Mtu anayejitambua na kutambua utu wake hata akiwa na njaa kiasi gani hawezi kula chakula kilichopakwa mate na mtu aliyeshiba. Kama atafanikiwa kukishika atakirusha...
  20. K

    Elimu yetu iwe ya mfumo wa 6+3+2+3, miaka 20 mtu kashahitimu chuo

    Amani iwe kwenu! Kwa mfumo wetu wa sasa wa elimu mwanafunzi anaanza darasa la kwanza akiwa na miaka 7, anasoma elimu ya msingi kwa miaka 7, akifaulu anaenda sekondari kwa miaka 4, akifaulu anasoma sekondari ya juu miaka 2 na akifaulu anaenda chuo miaka 3 (au zaidi kwa baadhi ya fani). Kwa...
Back
Top Bottom