mambosasa

 1. K

  RC Makonda na Mambosasa, kwa hili la baadhi ya watu kutokuvaa barakoa DSM mnamuangusha Rais

  Wakuu amani iwe kwenu, Rais Magufuli mara nyingi amesisitiza watu kuvaa barakoa ili kujilinda na kulinda wenzao dhidi ya kuenea kwa ugonjwa hatari wa corona. Rais amesisitiza sana hili na nilitegemea viongozi wa chini akiwemo Mkuu wa Mkoa DSM, Wakuu wa wilaya zote, Kamanda wa kanda maluum ya...
 2. Elli Mshana

  Picha: Magereza na Mambosasa waanza kuumbuka

  Eti hawa akina Mama walitaka kuvunja gereza! Eti Bulaya na Halima hapo ndio wammevamia Magereza! Acha Ulimwengu uone uhuni wa hawa watu! Ukiangalia kwa umakini unaona kuwa Askari wanawavutia kwenye geti, chini kule kuna gari inapita meaning walikua mbali kabisa na lango la gereza!! Time will tell
 3. Mwanamayu

  Kirefu cha CHADEMA kwa mujibu wa afande Mambosasa, ni kuteleza au kutoka moyoni?

  Wakati afande Mambosasa akiwa kwenye press conference, alikuwa na mambo mawili, la kwanza ni lile la wabunge wa CHADEMA na meya kukamatwa kule Segerea, na la pili ni ajali ya gari. Alianza kwa kusema, '... wafuasi wa chama cha maendeleo na wananchi - CHADEMA.' Maswali: hivi kirefu cha Chadema ni...
 4. Z

  Andiko kwa Mambosasa

  Kamanda Mambosasa, nasikitika kukuandikia andiko hili. Imelazimu kwa sababu ukiwa Polisi unayesimamia usalama wa raia mkoani Dar es Salaam, nilikuona siku ya hukumu ya kesi ya akina Mbowe pale Kisutu. Jinsi ulivyotembea kibabe ukiingia kwenye gari baada ya Wananchi waliokuwa wakifuatilia hukumu...
 5. Return Of Undertaker

  Kamanda Mambosasa: Upelelezi wa kesi ya wafuasi 27 wa CHADEMA wakiwemo viongozi wanaodaiwa kufanya fujo gereza la Segerea umekamilika

  ‪LIVE: Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya DSM Lazaro Mambosasa anazungumza kuhusu kilichotokea juzi Segerea wakati Freeman Mbowe akisubiriwa kutoka gerezani ===== JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MAMBO YA NDANI JESHI LA POLISI TANZANIA TAARIFA KWA UMMA. KUKAMATWA KWA WAFUASI WA...
 6. Stuxnet

  Mambosasa soma alama za nyakati

  Tumeiona taarifa ya Secretary of State wa USA, Mike Pompeo akithibitisha kuwa Paul Christian Makonda amekuwa blacklisted kuingia USA. Anyway unaweza ukapuuza kuwa mbona haendagi mara kwa mara na akiwa na shida atakwenda Ulaya au China. Nina ushauri kwa RPC wa Kanda Maalum Lazaro Mambosasa. Kwa...
 7. Mikopo Chefuchefu

  Mheshimiwa sana, ikikupendeza mteue Mambosasa kuwa Mkuu wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji!

  Kwanza nianze kwa kukupongeza jinsi unavyotimiza wajibu wako wa kuliongoza taifa hili kwa ufanisi mkubwa na wa hali ya juu. Wewe ni mtu muwazi, unayepokea maoni ila ni kiongozi shupavu asiyeyumbishwa. Tumeona msimamo wako thabiti kwa mfano katika jitihada zako za kuhakikisha watoto wa kike...
 8. M

  Yanga wamesajili mafia

  Huko Jangwani kasajiliwa Mchezaji Mghana Bernad Morrison aliyewahi kuchezea Orlando Pirates chini ya Kocha Micho. Kinachoongelewa zaidi ni tabia za Mchezaji huyo kuwahi kushiriki matukio ya kihalifu alipokuwa Afrika kusini ikiwemo kukamatwa na Magari ya Wizi hatua iliyofanya awekwe Korokoroni...
 9. Roving Journalist

  Polisi wabadili gia angani, Wanadai hawajui alipo Mfanyakazi wa LHRC Tito Magoti

  Kamanda wa Polisi mkoa wa Kipolisi Kinondoni asema hana taarifa za kukamatwa na kushikiliwa kwa mwanaharakati,Tito Magoti Mussa Taibu amesema kuwa mpaka sasa hana taarifa ya kukamatwa kwa Ofisa wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu [LHRC] Tito Magoti, katika eneo la himaya yake na hata...
 10. Erythrocyte

  Kuhusu Tito Magoti , RPC Mambosasa asiaminiwe , Aliwahi kukiri Polisi kumuua Akwilina lakini baadaye alikana na kuwasingizia Chadema

  Huyu ni miongoni mwa Ma RPC wa nchi hii wasioaminika , Kwa mfano , Mapema baada ya Polisi kufyatua risasi za moto kwenye mkusanyiko wa Chadema maeneo ya Kinondoni Mkwajuni , Mambosasa alijitokeza hadharani na kukiri polisi kuhusika ( hapa jf zipo clip zake kuhusu jambo hili ) , baadhi ya...
 11. R

  Afande Mambosasa Umetahadhalisha na upotoshaji wa matumizi ya neno utekaji, kuhusiana na Tito Magoti kuwa hakutekwa; Utekaji ni nini?

  Abduction: NOUN The action or an instance of forcibly taking someone away against his will. eg ‘they organized the abduction of Mr. Tito Magoti on his way to the LHRC offices’ ; ‘abductions by armed men in plain clothes’. Najiuliza, Does the above definition match yesterday's action in...
 12. Asante Mambosasa

  You will never grow if you are afraid of the changes and danger(risk taking)

  “You can either step forward into growth, or backwards into security.” -Abraham Maslow Growth means learning. It means working, doing, creating, resisting, failing. Comfort means safety. It means stability, protection, pleasure, and feeling good. Growth cannot happen as long as you choose...
Top Bottom