wenye nyumba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kijana LOGICS

    Kwanini wenye nyumba wanalazimisha wapangaji walipe Kodi kwanzia miezi 6?

    Kumetokea wimbi la wenye nyumba kutaka Kodi ya miezi 6 kwa mkupuo wengine wanataka hadi ya mwaka mzima Mfano Mimi nalipia Kodi 150,000 mwenye nyumba huaa hapokei Kodi ya mwezi mmoja anasema Kodi lazima nilipe miezi 6 au mwaka mmoja Ukiangalia ulipwaji WA fedha/Kodi haumpi mpangaji guarantee...
  2. Kingsharon92

    Kuna wenye nyumba wana roho mbaya usiombe

    Natumaini wote mu bukheri wa afya vijana kwa wazee wenzangu Naja tena na ushuda wa niliyoyapitia kwenye upangaji Mwaka 1984 mitaa ya uhuru mwanza nikapata nyumba ya kupanga kwa mzee x na mkewe. Nami nikiwa na mama watoto classmate wangu na watoto wetu wawili nikiwa nafanya kazi ma mzee mmoja...
  3. Execute

    Wenye nyumba wengi hapa Dar es Salaam ni watu maskini sana

    Ukiondoa wale waliorithi ambao mara nyingi ni mafukara na wasiokuwa na mwelekeo wowote wa kimaisha zaidi ya kutaka kuuza mali walizoachiwa, kuna hawa ambao wanaishi kwenye eneo hilo hilo ambapo wamepangisha. Kodi ya jengo kaweka kwenye luku ya wapangaji na sio kule kwake. Bili ya maji hataki...
  4. LIKUD

    Kisa cha mpangaji mjaluo aliyewageuka wenye nyumba alizopanga na kuzichukua yeye mahakamani

    Leo nimekutana na binti wa mjaluo huyo na kugundua kwamba kumbe ameshafariki tangu 2015. Nilimfahamu mjaluo huyu mwaka 2005 au 2006 hivi alikuja kupanga nyumbani kwetu. Mshua wangu hakuwahi kumfahamu vizuri mjaluo yule. Ni hivi huyu mjaluo ambae kazi yake ilisemekana ilikuwa ni uvuvi...
  5. MamaSamia2025

    Tujadili uwepo wa idadi kubwa ya wenye nyumba ambao ni maskini hapa Tanzania hasa jijini Dar

    Nini kifanyike? Kiukweli idadi ya wenye nyumba maskini ni kubwa mno jijini Dar na miji mingine nchini kwetu. Je, ni mitazamo mibovu ya wananchi wengi kuhusu kumiliki nyumba? Yaani kwa haraka haraka kuna wapangaji wengi wana maisha mazuri kuliko wapangishaji. Maeneo ya uswahilini ni kawaida...
  6. C

    Mkopo kwa dhamana ya nyumba, Msaada wenye Nyumba

    Habari zenu wana jamiii, ni matumaini yangu mu wazima wa afya tele. Nina Shida ya Pesa ya dharura nimejaribu kukopa kwa watu binafsi hawana, katika taasisi nao wanahitaji dhamana (hasa nyumba). Nimefika Bank CRDB nimewambia hitaji langu,wakaniambia mahitaji kwa mfanyabiashara kama mimi, Vyote...
  7. Teslarati

    FUNZO: Enyi vijana watafutaji mnaojiweza kiasi kiuchumi msizoeane kabisa na wenye nyumba wenu

    Habari wana jamvi Nimeona niweke huu uzi asubuhi sababu mida hii ndo wenye nyumba huwategeshea vijana wapangaji wao wanaoonekana kujiweza kdg kiuchumi na kuwaelezea shida zao ili wawasaidie. Kuna dogo mmoja kumpa mwenye nyumba wake 30 au 20 ilikuaga kawaida. Siku mzee yule akamfuata dogo...
  8. Nyamwage

    Hii miezi ya wakwanza, wasita, na wa kumi na mbili inawasumbua sana kimahesabu wenye nyumba au ni ukilaza wao tu au ni utapeli

    Habari Hivi mtu ukitoa kodi ya miezi sita itakayoanza kutumia tarehe 1-06-2023 inabidi iishe mwezi wa ngapi na tarehe ngapi maana hapa naambiwa eti itaisha tarehe 1-11-2023 bado sijalipia nataka kughaili maana mtu unamuelewesha haelewi
  9. v0il0r

    Uzi wa mafundi (umeme,ujenzi,bomba) na wenye nyumba

    Uzi wa mafundi wa majumbani kama umeme, ujenzi, bomba na n.k + wenye nyumba lengo nikupata msaada au kutoa ushauri au unataka fundi Kwa wenye nyumba Mfano: wewe una hitaji fundi wa umeme labda pasi, jiko, tv, short-circuit, n.k au ujenzi unaweza pata fundi contacts zake, au ukaomba ushauri...
  10. Tate Mkuu

    Mafinga ni mji wa kibiashara lakini nyumba za kulala wageni nyingi ni chafu

    Kwa wale wasio ufahamu huo Mji; kwa ufupi tu uko ndani ya Mkoa wa Iringa (Kilomita chache kutoka Iringa mjini kama unaelekea Mbeya, Njombe au Ruvuma), uko ndani ya Wilaya ya Mufindi, na ni mji maarufu kwa biashara ya mbao na pia nguzo! Maana uko jirani na kiwanda maarufu cha Sao Hill. Kwa kweli...
  11. N

    Ngoma Inogile: Wapangaji sasa kulipa asilimia 10 ya kodi TRA

    Kwa mujibu wa Gazeti la Mwananchi kupitia Ukurasa wake wa Instagram, imeeleza kuwa; Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) imesisitiza wapangaji kuwa wazalendo na kulipia asilimia 10 ya kodi wanazokuwa wakilipa kwa wenyenyumba ili kulipia kodi ya pango. Akiwa katika mafuzo ya wafanyabiashara juu ya...
  12. FAJES

    Wenye nyumba imefika wakati mbadilike sasa, mtuhurumie sisi wapangaji, kodi zilipwe kwa mwezi na si miezi 3,6 wala mwaka

    Kwakweli sijui hili wazo la kulipa kodi ya nyumba iwe ya makazi, office ama biashara kwa muda wa kuanzia miezi 6 hadi mwaka ulitoka wapi, kwa makubaliano yapi kitaifa na kwa mujibu wa sheria zipi? Sisi wajasiriamali wenye mitaji midogo ya kudunduliza mnataka tuishie kuwa ombaomba kwa kushindwa...
Back
Top Bottom