LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 15,118
- 27,121
Leo nimekutana na binti wa mjaluo huyo na kugundua kwamba kumbe ameshafariki tangu 2015.
Nilimfahamu mjaluo huyu mwaka 2005 au 2006 hivi alikuja kupanga nyumbani kwetu.
Mshua wangu hakuwahi kumfahamu vizuri mjaluo yule.
Ni hivi huyu mjaluo ambae kazi yake ilisemekana ilikuwa ni uvuvi alikuwa anaenda kupanga kwenye nyumba ya mtu. Mwenye nyumba ukiwa mstaarabu hana shida na wewe na ataonyesha ushirikiano wa kutosha. Ila mwenye nyumba ukiwa mkorofi (more especially towards him) basi atakacho kifanya ni ku demonstrate behaviours ambazo zita mpush mwenye nyumba kutoa notice.
Atakacho kifanya baada ya kupewa notice siku ya kuondoka ikifika anakuwa hayupo yeye wala familia yake yani nyumba inakuwa haina mtu anazima na simu zake zinakuwa hazipatikani..
Atakacho kifanya mwenye nyumba baada ya jamaa kutokuonekana ni kwenda kwa mjumbe kisha kuvunja mlango na kutoa vitu ndani.
Jamaa akisha jidhihirisha kwamba vitu vyake vimetolewa ndani atakaa kama wiki tatu then atarudi kwenye nyumba/chumna chake.
Akifika ataomba funguo kwa mwenye nyumba, mwenye nyumba atamwambia vitu vyako vimetolewa na chumba kapewa mtu. Jamaa ata act kuwa surprised ataomba kuonyeshwa vitu vyake atavikagua then ataenda polisi halafu atakuja na polisi atasema kwenye vitu vyake kuna kifaa kimoja cha kwenye boti zake au kazi zake za uvuvi hakionekani. Gharama za kifaa hicho ni shilingi milioni 67. Atataka alipwe pesa yake. ( Risiti za kununua hicho kifaa atakuwa nazo) then kesi itakwenda mahakamani atashinda kesi, mwenye nyumba atakosa hela ya kumlipa jamaa so itabidi achukue nyumba.
Kwa staili hii jamaa alidhulumu nyumba kama nne hapa mjini na alikuwa na kesi nyingine mahakani zaidi ya saba ambazo alikuwa anapambana na wenye nyumba.
Kuhusu kifo chake: Alikufa akiwa tayari kakabidhiwa ushindi kwenye kesi ya nyumba na kilichokuwa kimebakia nj execution tu so inasemekana mwenye nyumba alikuwa mchawi kumzidi jamaa akampa jamaa thank you.
Watoto wa jamaa hawakutaka kuendelea tena na kesi na hata hizo nyumba nne alizo shinda kesi wameshindwa kuzifanyia chochote wamezirejesha kwa wamiliki halali..
Umri wa jamaa: By that time a( 2005) alikuwa na kama 50 hivi cause alikuwa ana muita dingi yangu bro na dingi yangu alikuwa na 55 mwaka huo.
Jasho la mtu achana nalo