usiombe

  1. M

    JamiiForums Tanzania Usiombe uende kutafuta usafiri stendi wanayogombea abiria, wanaweza kukufanya ukajutia safari

    Nimefika hapa stendi makondakta wamenivaa kila mmoja anataka nipande gari lake, nikienda huku huyu anazuia njia iki nielekee kwake nikigeuia huyu ananivuta, nimechukizwa na sana watu hawa wamefanya safari yangu kuwa ngumu. Mbaya zaidi hadi bajaji naona wanagombea watu kifupi ni maumivu tu kwa...
  2. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Usiombe ukutane na lab technician hospitali ambaye ndio ametoka chuo na bado hajachoka kazi ya kukoroga koroga pupu na susu kila siku

  3. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Kumekuwa na ongezeko kubwa la kansa ya etugru (anal cancer) duniani

    Ongezeko hili linadhaniwa ni kwa sababu kwa kuongezeka kwa vitendo vya ongezeko la ngono kwa njia ya tugru. Infection ya HPV inaweza kuathiri etugru kwa kiwango kikubwa sana kupelekea cancer ambayo kutibika inakuwa mbinde. Kuwekeni makini sana
  4. ngara23

    JamiiForums Tanzania Magereza zenye mateso zaidi Tanzania, usiombe ukanyage huko

    1. Gereza la Ngwalla, Chunya Hili ni namba 1 lipo msituni na wala hakuna ulinzi mkali wala ukuta ila hukuna mfungwa anaweza kutoroka. Gereza hili limezungukwa na wanyama wakali kama Simba, Chui, Fisi n. K Hutumika kuhufadhi mateka wa Kijeshi 2 Gereza la Kitai, Songea Hili ni namba mbili Kazi...
  5. W

    JamiiForums Tanzania Kitila Mkumbo: Kama unataka kuwa tajiri usiombe kazi Serikalini

    Imeelezwa kuwa wakati Tanzania ikiwa na nguvu kazi kubwa ya watu milioni 33, sekta ya umma imeajiri chini ya watu milioni moja, jambo linalothibitisha kuwa serikali haiwezi kuwa injini kuu ya uzalishaji wa ajira. Hayo yamefafanuliwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof...
  6. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Mtumishi wa umma Usiombe mkopo ESS CRDB utajuta

    Kama unataka upate pesa ndani ya lisaa limoja omba NMB, nimewaombea wengi mkopo NMB yaani kama HR wako yuko chap ndani ya dk 5 ushapata mkopo. NBC ndani ya masaa 24 uhakika, Azania ndio benki bora zaidi, makato nafuu kuliko benki zote ila kidogo wako slow. Ila haivuki wiki unapata pesa . CRDB...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Usiombe yakukute , JF nawaangukia ndugu zangu

    Mimi ni kijana wa makamo ME umri 30+ , wanasema mficha maradhi kifo humuumbua . Nakuja mbele yenu na uhitaji wa ajira/kazi/kibarua . Maisha yamenichapa sana ndugu zangu Umaskini ni mbaya sana asikuambie mtu . Mpaka naandika hapa mama watoto amenikimbia kisa sina pesa. Nilikua bonge nyanya ila...
  8. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Usiombe kuangalia mechi kwa TV alafu kuna jirani yako yeye anasikilizia kwa redio pia kaweka sauti kubwa , inakera mnoo.

    Mjini redio zinafanya nini? si mrudi kijijini mkalime.
  9. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Aisee Usiombe Ukutane na Mwanamke Kibonge Anajua Kusimamia na Kuikalia kwa juu na Mauno yake ya feni

    Nimekoma mimi nimekoma nimekoma vibonge sitawadharau tena, wanashoo kali sana hawa viumbe Ni hayo tu
  10. Bwana Bongo

    JamiiForums Tanzania Usiombe mabaya yatakukuta

    Usiombe mabaya yatakukuta porojo za bongo 15-02-2011 ilikuwa jumanne tulivu, tukiwa uwani tukipiga stori za hapa na pale, nawakumbuka baadhi ya watu wachache tulio kaa pale uwani, dada g,dada asha, mrs siliver michael, siliver michael , mama g au mrs benny na mzee dondola alikaa kwa mbali...
  11. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Ukianza safari usiombe ushauri kwa waliobaki nyumbani

    📖Mhadhara (58)✍️ Leo ni Novemba 8, 2024. Mwaka 2024 unaelekea kwisha, ile mipango yako yote uliyopanga kuifanya na kuikamilisha mwaka huu imebuma, tena imebuma kweli kweli. • Unadhani ni kwanini? Shida ilianza hapa;- Wewe kabla hujaanza safari yako tayari ushawaambia ndugu, jamaa na marafiki...
  12. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Mwanaume mwenzangu katika pitapita zako usiombe ukutane na wanawake wa sampuli hii. Hakuna rangi utaacha ona

    Wanawake wa namna hii hakuna anachowaza zaidi ya shughuli, kwa masifa anatunza malaki ya pesa, hawazi maisha au baadae ya watoto. Yeye ni shughuli ukiwa hauna sasa anaenda kukopa huko, na vitu vya ndani anaweka bondi. Mjamba wangu alioa mwanamke wa sampuli hii, mkewe akiwa hana pesa ya shughuli...
  13. sanalii

    JamiiForums Tanzania Usiombe ukachukiwa na mwanamke, utajuta, wanawake wanajua kuchukia

    Ikitokea mwanake akawa hakukubali na akaamua kukuchukia eeeh hatari sana. Bora ugombane na mwanaume ila sio mwanake, wanakuchukia hadi kwelikweli hawabakishi
  14. Kingsharon92

    JamiiForums Tanzania Kuna wenye nyumba wana roho mbaya usiombe

    Natumaini wote mu bukheri wa afya vijana kwa wazee wenzangu Naja tena na ushuda wa niliyoyapitia kwenye upangaji Mwaka 1984 mitaa ya uhuru mwanza nikapata nyumba ya kupanga kwa mzee x na mkewe. Nami nikiwa na mama watoto classmate wangu na watoto wetu wawili nikiwa nafanya kazi ma mzee mmoja...
  15. mfate42

    JamiiForums Tanzania Usiombe namba ya mwanamke Kwa lengo la masihara

    Habar za muda huu ndugu zangu, Kwa tulipofikia sasa, usijaribu kumuomba namba mwanamke kwa lengo la utani au kujaribu kutest zali, na ukijaribu kufanya hivyo bas ujue atakuganda hadi ujute kwanini ulichukua namba yake.
  16. M

    JamiiForums Tanzania Rais wa Ujerumani awaomba radhi Watanzania kuhusu uhalifu wa Wajerumani wakati wa Vita vya MajiMaji

    Rais wa Ujerumani awaomba radhi Watanzania kuhusu uhalifu wa Wajerumani wakati wa Vita vya MajiMaji Rais wa Ujerumani Frank-Walter Steinmeier siku ya Jumatano ameomba radhi na kueleza kufedheheshwa kwake na uhalifu uliofanywa wakati wa utawala wa kikoloni wa Ujerumani nchini Tanzania, wakati huo...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Usiombe kuacha kazi kisa Forex. Nilivyofilisika na kukimbilia kijijini Tabora

    Nilikuwa nimechoka na maisha ya kufanya kazi saa nane kwa siku katika ofisi flani hivi pale Posta jijini Dar es Salaam. Ndoto yangu ilikuwa kubwa zaidi kuliko kiti changu cha ofisini na mshahara wangu wa kila mwezi. Nilikuwa na hamu kubwa ya kujaribu kitu kipya, kitu ambacho kingenipa uhuru wa...
  18. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Usiombe ukutane na mwanafunzi wa IT mwaka wa kwanza

    Aisee ikitokea umekutana na mwanafunzi wa IT mwaka wa kwanza wengi ni much know. Niko na dogo hapa kamaliza mwaka wa kwanza anasoma masuala ya security yani yeye kila kitu anasema anaweza hack iwe gmail, wi-fi, mitandoa ya simu atumie net bure, anakwambia gmail haiko secure, instagram anaweza...
  19. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Nilichogundua kuhusu maisha ya utafutaji usiombe mtu hela muombe connection

    Nilichogundua Kama upo na circle ya watu waliofanikiwa Kama ukiwa mtu wa kuwaomba hela Basi Fahamu watakupa bloko au watakuchukulia Kama msumbufu tu. Yaani haijalishi mtu analipwa sh ngapi au anaingiza sh ngapi usithuhubutu kumjengea mazoea ya kumuomba hela ni hatari Sana. Labda uwe unafanya...
  20. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Jamani, jamani! Usiombe ukutane na hawa watu!

    Ni watu fulani hivi, wajuaji lakini hawajui kama hawajui. Yaani hawajasoma ila wanajua kila kitu! Hawa watu kama ndugu, jamaa, rafiki au majirani zako basi jiandae kisaikolojia. Utakuta hawana hela lakini ni kama wanazo vile. Hawana elimu kubwa ila sasa, kwa ujuaji huwawezi na wanajiamini sana...
Back
Top Bottom