mafinga

Mafinga Town Council is one of the five districts of the Iringa Region of Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. Mtu porii

    Niliyokutana nayo Mafinga, leo naelewa mtu akijiua hatupaswi kumlaumu!

    Maisha yangu yanaanzia mkoani Iringa katika mtaa wa Semtema A baada ya kuhitimu chuo 2019. Kodi ya geto ikawa imeisha kulingana msukumo wa mwenye nyumba nkaamua kuuza kilicho changu kama kitanda, gesi na redio. Nikabadil mazingira na kuamua kwenda kuanza maisha mapya Mafinga huku nikiwa sina...
  2. Championship

    Tunduma iko overrated, haipaswi kufananishwa na Mafinga wala Kahama

    Nimefika Tunduma jana nikashangaa sana imekuwaje hii sehemu ikafananishwa na eneo kama Kahama. Tunduma haifiki hata nusu ya Mafinga. Huu mji upo too local na umejengwa kiholela. Nyumba nyingi ni duni sana. Naweza kusema pia Mafinga ni robo tatu ya Kahama maana angalau pale pana viwango.
  3. Stephano Mgendanyi

    Mkataba Barabara ya Mafinga - Mgololo (KM 81) Kusainiwa Kesho Dodoma

    BARABARA YA MAFINGA - MGOLOLO (KM 81) MKABATA KUSAINIWA KESHO DODOMA Mikataba ya ujenzi wa barabara saba (07) ambazo zimekuwa zikiongelewa kwa muda mrefu katika majukwaa mbalimbali ikiwemo ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inakwenda kusainiwa hapo kesho Juni 16, 2023 tukio...
  4. Tate Mkuu

    Mafinga ni mji wa kibiashara lakini nyumba za kulala wageni nyingi ni chafu

    Kwa wale wasio ufahamu huo Mji; kwa ufupi tu uko ndani ya Mkoa wa Iringa (Kilomita chache kutoka Iringa mjini kama unaelekea Mbeya, Njombe au Ruvuma), uko ndani ya Wilaya ya Mufindi, na ni mji maarufu kwa biashara ya mbao na pia nguzo! Maana uko jirani na kiwanda maarufu cha Sao Hill. Kwa kweli...
  5. BARD AI

    Mafinga: Mtoto abakwa akitokea Kanisani

    Jeshi la Polisi mkoani Iringa linamtafuta Yogi Mtavangu, Mkazi wa Mafinga wilayani Mufindi kwa tuhuma za kumbaka mtoto mwenye umri wa miaka 14, mkazi wa Mtaa wa Osterbay-Machinjioni, wakati akitokea kanisani kwenye ibada. Tukio hilo limetokea wakati dunia ikiwa katika maadhimisho ya siku 16 za...
  6. BARD AI

    Madiwani wamtaka Mkurugenzi kuchunguza wizi wa dawa Mafinga

    Madiwani wa Halmshauri ya Mji Mafinga wilayani hapa, wamemwomba Mkurugenzi wa halmashauri hiyo kuunda kamati ya kwa ajili ya uchunguzi wa tuhuma wizi wa dawa katika kituo cha afya Ihongole unaolalamikiwa na wananchi. Hayo yamebainishwa na Diwani wa viti maalum Dainess Msola katika kikao cha...
  7. J

    Vibanda 15 vyateketea kwa moto Mafinga

    Mufindi. Moto umezuka saa saba usiku wa kuamkia leo Ijumaa Oktoba 21, 2022 pembezoni mwa Soko la Mafinga Mjini Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa na kuteketeza vibanda 15 na mali za wafanyabiashara. Akizungumza na Mwananchi mmiliki na shuhuda, Mohamed Migila amesema kuwa moto huo ulianza kuwaka...
  8. BARD AI

    Ajali ya Lori na Bajaji yaua wanne Mafinga

    Watu wanne wamefariki dunia baada ya lori kugongana na Bajaj katika eneo la Kinyanambo- Mafinga, Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa. Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Mji Mafinga, Dk Victor Msafiri amesema ajali hiyo ilitokea jana usiku. Dk Msafiri amesema walipokea miili ya wanaume wawili, mwanamke...
  9. MUTUYAMUNGU

    MITI YA MIAKA 6 INAUZWA MAFINGA

    Bei laki 6 kwa EKARI Umbali kutoka Mafinga mjini ni km 60 Kijiji kinaitwa Chakilosa Jumla zipo ekari 4
  10. MUTUYAMUNGU

    Mliopo Mafinga tupeane michongo ya kazi za viwandani

    Ndugu zetu mliopo Mafinga tunaomba mtupe connection ya kazi za viwandani huko. Mtuambie viwanda vilivyopo na malipo yake kwa kila kiwanda. Pia kama nafasi zipo tunaomba mtushirikishe na sisi. Huku mjini njaa ni kali sana.
  11. Dogo GSM

    Askari JWTZ apewa kichapo baada ya kutomlipa bodaboda Mafinga

    Wakuu nchi imekuwa ngumu hii nahisi kila mtu amevurugwa, imetokea jana asubuhi kuna jamaa anasemekana ni mjeda amepewa kichapo na vijana hao wenye hasira kali. Chanzo ni baada ya bodaboda kumpeleka mjeda huyo kazini..inasemwa mjeda huyo alifika kijiweni juzi asubuhi na kumchukua boda mmoja...
  12. ChoiceVariable

    Kahama VS Njombe/Mafinga

    Karibuni kwenye mada. Nawiwa kuilinganisha na kushindanisha mji wa Kahama na Njombe au Mafinga. Je, ni mji gani mzuri na una future kubwa kifursa kuliko mwenzie in terms of maendeleo na ukuaji? Njombe Kahama
Back
Top Bottom