Tujadili uwepo wa idadi kubwa ya wenye nyumba ambao ni maskini hapa Tanzania hasa jijini Dar

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Mar 29, 2012
10,227
22,306
Nini kifanyike?

Kiukweli idadi ya wenye nyumba maskini ni kubwa mno jijini Dar na miji mingine nchini kwetu. Je, ni mitazamo mibovu ya wananchi wengi kuhusu kumiliki nyumba? Yaani kwa haraka haraka kuna wapangaji wengi wana maisha mazuri kuliko wapangishaji. Maeneo ya uswahilini ni kawaida kuona mwenye nyumba anamwonea wivu mpangaji wake.

Mimi ninashauri watu waache mambo ya kukurupuka kujenga nyumba huku wakiwa wana vyanzo dhaifu vya mapato. Ni upumbavu wa hali ya juu kukuta kijana mjasiriamali akijitutumua kujenga nyumba ya milioni kadhaa huku biashara yake ikiwa bado haijakaa sawa. Hata wanamuziki, wanafilamu, wanamichezo na watu wa fani zingine zote ninawashauri wasikimbilie kujenga nyumba huku wakiwa hawajajiimarisha kwenye fani zao.

Chanzo cha mapato kikiwa imara utaweza kujenga nyumba nzuri na kuwa baba mwenye nyumba ambaye sie maskini. Kama ni mwanamuziki tumia hela zako za mwanzoni kuwekeza kwenye muziki wako kwanza. Ni upuuzi una nyumba lakini bado unalia lia kwenye biashara yako ya muziki.

Binafsi ninakerwa mno nikiona baba au mama mwenye nyumba maskini kuliko mpangaji. Tubadilishe fikra zetu.
 
Akili Matope za Akina Wema Sepetu na Bongo Fleva wa wakati huo leo wanawaoneo Wivu wadogo zao. Waliishia kupanga Sinza, Mbezi na Osterbay kwa bei ya Kupata Kiwanja Goba leo Filamu na Mziki wao vimebuma wanajuta.
Cha kwanza jilipue jenga nyumba mengine yafuate nikiwa ndani kwangu hizo habari za ujuaji zimeponza wengi.
 
Kupanga ni kuchagua mkuu pia tahadhari, ni mhimú kila mtu anajua maisha yanavyobadilika bila kuletewa kadi. Kuna mambo mengi sana yanayopelekea huyo unaemwita maskini kuanza kujenga achilia mbali kuwa ni utamaduni wa kiafrika kíla familia kuwa na makazi yake pia híyo biashara au çhanzo unavyósema vinaweza kuyumba pia au kusimama imara kama ujuavyo biashara ni kanuni na siyo kila mtú atazijua hizo kanuni.

JENGA NYUMBA YAKO MAPEMA USINGOJE SIKU UMEKATA MOTO MSIBA WAKO UTOLEWE KWENYE UPANGAJI NA KUPELEKWA KWA BI MKUBWA WAKO HUWA NI BONGE LA AIBU HUJUI TU.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nini kifanyike?

Kiukweli idadi ya wenye nyumba maskini ni kubwa mno jijini Dar na miji mingine nchini kwetu. Je, ni mitazamo mibovu ya wananchi wengi kuhusu kumiliki nyumba? Yaani kwa haraka haraka kuna wapangaji wengi wana maisha mazuri kuliko wapangishaji. Maeneo ya uswahilini ni kawaida kuona mwenye nyumba anamwonea wivu mpangaji wake.

Mimi ninashauri watu waache mambo ya kukurupuka kujenga nyumba huku wakiwa wana vyanzo dhaifu vya mapato. Ni upumbavu wa hali ya juu kukuta kijana mjasiriamali akijitutumua kujenga nyumba ya milioni kadhaa huku biashara yake ikiwa bado haijakaa sawa. Hata wanamuziki, wanafilamu, wanamichezo na watu wa fani zingine zote ninawashauri wasikimbilie kujenga nyumba huku wakiwa hawajajiimarisha kwenye fani zao.

Chanzo cha mapato kikiwa imara utaweza kujenga nyumba nzuri na kuwa baba mwenye nyumba ambaye sie maskini. Kama ni mwanamuziki tumia hela zako za mwanzoni kuwekeza kwenye muziki wako kwanza. Ni upuuzi una nyumba lakini bado unalia lia kwenye biashara yako ya muziki.

Binafsi ninakerwa mno nikiona baba au mama mwenye nyumba maskini kuliko mpangaji. Tubadilishe fikra zetu.
Chanzo cha mapato kikiwa imara utaweza kujenga nyumba nzuri na kuwa baba mwenye nyumba ambaye sie maskini. Kama ni mwanamuziki tumia hela zako za mwanzoni kuwekeza kwenye muziki wako kwanza. Ni upuuzi una nyumba lakini bado unalia lia kwenye biashara yako ya muziki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyumba Nyingi hujengwa wakat MTU yupo kjn na maisha yanavyoendelea huw MTU mzm na huend kaz za awali zilizokuw zinampa kpato ameacha/awezufanya /amestaafu alafu anawategemez

Wapangaji wengi ni life beginners either bachelor au mtu na mke na mtoto mmoja hawana na utegemez mkubwa na hata kama kpato chao n kdogo huwatosha.
 
Nini kifanyike?

Kiukweli idadi ya wenye nyumba maskini ni kubwa mno jijini Dar na miji mingine nchini kwetu. Je, ni mitazamo mibovu ya wananchi wengi kuhusu kumiliki nyumba? Yaani kwa haraka haraka kuna wapangaji wengi wana maisha mazuri kuliko wapangishaji. Maeneo ya uswahilini ni kawaida kuona mwenye nyumba anamwonea wivu mpangaji wake.

Mimi ninashauri watu waache mambo ya kukurupuka kujenga nyumba huku wakiwa wana vyanzo dhaifu vya mapato. Ni upumbavu wa hali ya juu kukuta kijana mjasiriamali akijitutumua kujenga nyumba ya milioni kadhaa huku biashara yake ikiwa bado haijakaa sawa. Hata wanamuziki, wanafilamu, wanamichezo na watu wa fani zingine zote ninawashauri wasikimbilie kujenga nyumba huku wakiwa hawajajiimarisha kwenye fani zao.

Chanzo cha mapato kikiwa imara utaweza kujenga nyumba nzuri na kuwa baba mwenye nyumba ambaye sie maskini. Kama ni mwanamuziki tumia hela zako za mwanzoni kuwekeza kwenye muziki wako kwanza. Ni upuuzi una nyumba lakini bado unalia lia kwenye biashara yako ya muziki.

Binafsi ninakerwa mno nikiona baba au mama mwenye nyumba maskini kuliko mpangaji. Tubadilishe fikra zetu.
Ukipata nafasi ya kujenga ukiwa kijana jenga, hela haijai na muda haukusubiri.

Shauri yako, usije sema hukuambiwa mapema
 
Hivi haujakuta mtu anahamishwa kisa hana kodi?? Fikilia angekuwa na nyumba yake,

Umewaza kuhusu yule mtu ambae anamiliki nyumba lkn maisha yake ni chiniiii???

Fikilia kwa maisha yale ya chini ambekuwa ndio amepanga, ww wekeza kwenye biashara yako huko ilala alafu moto uje kuunguza kila kitu asubui yake unakuwa masikini hauna nyumba hauna mtaji hauna bishara
 
Nini kifanyike?

Kiukweli idadi ya wenye nyumba maskini ni kubwa mno jijini Dar na miji mingine nchini kwetu. Je, ni mitazamo mibovu ya wananchi wengi kuhusu kumiliki nyumba? Yaani kwa haraka haraka kuna wapangaji wengi wana maisha mazuri kuliko wapangishaji. Maeneo ya uswahilini ni kawaida kuona mwenye nyumba anamwonea wivu mpangaji wake.

Mimi ninashauri watu waache mambo ya kukurupuka kujenga nyumba huku wakiwa wana vyanzo dhaifu vya mapato. Ni upumbavu wa hali ya juu kukuta kijana mjasiriamali akijitutumua kujenga nyumba ya milioni kadhaa huku biashara yake ikiwa bado haijakaa sawa. Hata wanamuziki, wanafilamu, wanamichezo na watu wa fani zingine zote ninawashauri wasikimbilie kujenga nyumba huku wakiwa hawajajiimarisha kwenye fani zao.

Chanzo cha mapato kikiwa imara utaweza kujenga nyumba nzuri na kuwa baba mwenye nyumba ambaye sie maskini. Kama ni mwanamuziki tumia hela zako za mwanzoni kuwekeza kwenye muziki wako kwanza. Ni upuuzi una nyumba lakini bado unalia lia kwenye biashara yako ya muziki.

Binafsi ninakerwa mno nikiona baba au mama mwenye nyumba maskini kuliko mpangaji. Tubadilishe fikra zetu.
Ase mimi nakubaliana na wewe 💯 kukimbilia kujenga nyumba ya kuishi ni ufala. Kama umepata marundo au unadunduliza jitahidi kufanya investment kwenye vitu vinavyoingiza hela. Akili ya utafutaji uifungue sio uwe na akili ya kubana matumizi. Wanamsemo wao eti sidaiwi kodi.

Mhindi anaekaa National Housing sio fala. Na ndiye race inayoongoza kwenye maokoto bongo.

Na wananchi tutaendelea kuwa masikini yote ni kwa sababu tunakimbia risk, Kwa kufanya maamuzi ya kipumbavu.
 
Back
Top Bottom