Mkopo kwa dhamana ya nyumba, Msaada wenye Nyumba

Comrade Liu Yang

Senior Member
Aug 16, 2023
145
242
Habari zenu wana jamiii, ni matumaini yangu mu wazima wa afya tele.

Nina Shida ya Pesa ya dharura nimejaribu kukopa kwa watu binafsi hawana, katika taasisi nao wanahitaji dhamana (hasa nyumba).

Nimefika Bank CRDB nimewambia hitaji langu,wakaniambia mahitaji kwa mfanyabiashara kama mimi, Vyote walivyo taja ninavyo na vinapatikana 100%

Kitu ambacho mpaka sasa kinanikosesha huu Mkopo ni DHAMANA ya nyumba.

Kiwanja ninacho lakini hawataki kiwanja ambacho hakijaendelezwa na mimi sijajenga.

Hivyo wameniambia nitafute mdhamini atakaeweza nidhamini mwenye Nyumba.

Nimekileta HAPA JamiiForums nikiamini kuja watu wengi ambao mpo mtaweza nisaidia katika hili.

Nina uhitaji wa Mil.10 lakini CRDB wameangalia Account na kusema wanaweza nipa up to 20Mil.

Kwa atakae nidhamini nilikua nimepanga Kumpa 3m (kama asante) hiii nitampa yeye na hatoirudsha.

Kurudisha mkopo Aniachie Mimi nitaurudsha wote.

Au

Nichukue 20m tugawane 50/50 lakini kurejesha turejeshe wote "tusaidiane"

Naomba kwa yeyote anaeweza nisaidia nitashukuru hata kama Si kwa nyumba basi mtu atakae weza nisaidia mahali naweza jidhamini kwa biashara yangu na mali zangu zingine nikapata huo mkopo nitashukuru pia.

Hitaji Langu kubwa ni 10m TU. Asante kwa yeyote atakaeweza nisaidia fanikisha hili jambo.

MREJESHO :

Si kila mtu ana mashaka kuna watu wana nia ya kusaidia wenye uhitaji. Nimefanikiwa kupata mtu wa kunipa Nyumba yenye HATI lakini kikwazo kikawa BANK tena.

Bank hawataki dhamana ya nyumba ya mtu asie familia yako kwahiyo wameikataa nyumba na kusema ni lazima nyumba iwe ya Baba,mama,mtoto,mke,mume. na si nnje ya hapo.

Asante kwa Aliejitoa na Asante kwa waliotilia shaka.
 
Screenshot_20230430-121532.png
 
Habari zenu wana jamiii, ni matumaini yangu mu wazima wa afya tele.

Nina Shida ya Pesa ya dharura nimejaribu kukopa kwa watu binafsi hawana, katika taasisi nao wanahitaji dhamana (hasa nyumba).

Nimefika Bank CRDB nimewambia hitaji langu,wakaniambia mahitaji kwa mfanyabiashara kama mimi, Vyote walivyo taja ninavyo na vinapatikana 100%

Kitu ambacho mpaka sasa kinanikosesha huu Mkopo ni DHAMANA ya nyumba.

Kiwanja ninacho lakini hawataki kiwanja ambacho hakijaendelezwa na mimi sijajenga.

Hivyo wameniambia nitafute mdhamini atakaeweza nidhamini mwenye Nyumba.

Nimekileta HAPA JamiiForums nikiamini kuja watu wengi ambao mpo mtaweza nisaidia katika hili.

Nina uhitaji wa Mil.10 lakini CRDB wameangalia Account na kusema wanaweza nipa up to 20Mil.

Kwa atakae nidhamini nilikua nimepanga Kumpa 3m (kama asante) hiii nitampa yeye na hatoirudsha.

Kurudisha mkopo Aniachie Mimi nitaurudsha wote.

Au

Nichukue 20m tugawane 50/50 lakini kurejesha turejeshe wote "tusaidiane"

Naomba kwa yeyote anaeweza nisaidia nitashukuru hata kama Si kwa nyumba basi mtu atakae weza nisaidia mahali naweza jidhamini kwa biashara yangu na mali zangu zingine nikapata huo mkopo nitashukuru pia.

Hitaji Langu kubwa ni 10m TU. Asante kwa yeyote atakaeweza nisaidia fanikisha hili jambo.
Upo wapi??nina Nyumba na ina Hati DODOMA njoo PM tuyajenge,lakini ONYO kwako ni kwamba ukileta janjajanja tutagawana majengo!!njoo PM tukielewana sina tatizo
 
Yaani mtu akupe hati yake ya nyumba ukapeleke benki ili upatiwe mkopo? Duh huo ni muhali mkubwa sana kwani ukishindwa au ukiamua kutokulipa nyumba ndiyo imekwenda hiyo.
Mimi aje tuyajenge,nampa Hati ORIGINAL hata leo hii,lakini akileta janjajanja nimeshampa ONYO kabisa!!maana kwa uzoefu wangu nimeshashuhudia sana hayo mambo,kwamba mtu anamdhamini mtu Hati anapata Mkopo kisha anaingia mitini kufanya marejesho,mwisho wa siku Bank wanakuja kuuza nyumba
 
ndiyo hayo tunayoongelea na yametokea sana tu.
 
Habari zenu wana jamiii, ni matumaini yangu mu wazima wa afya tele.

Nina Shida ya Pesa ya dharura nimejaribu kukopa kwa watu binafsi hawana, katika taasisi nao wanahitaji dhamana (hasa nyumba).

Nimefika Bank CRDB nimewambia hitaji langu,wakaniambia mahitaji kwa mfanyabiashara kama mimi, Vyote walivyo taja ninavyo na vinapatikana 100%

Kitu ambacho mpaka sasa kinanikosesha huu Mkopo ni DHAMANA ya nyumba.

Kiwanja ninacho lakini hawataki kiwanja ambacho hakijaendelezwa na mimi sijajenga.

Hivyo wameniambia nitafute mdhamini atakaeweza nidhamini mwenye Nyumba.

Nimekileta HAPA JamiiForums nikiamini kuja watu wengi ambao mpo mtaweza nisaidia katika hili.

Nina uhitaji wa Mil.10 lakini CRDB wameangalia Account na kusema wanaweza nipa up to 20Mil.

Kwa atakae nidhamini nilikua nimepanga Kumpa 3m (kama asante) hiii nitampa yeye na hatoirudsha.

Kurudisha mkopo Aniachie Mimi nitaurudsha wote.

Au

Nichukue 20m tugawane 50/50 lakini kurejesha turejeshe wote "tusaidiane"

Naomba kwa yeyote anaeweza nisaidia nitashukuru hata kama Si kwa nyumba basi mtu atakae weza nisaidia mahali naweza jidhamini kwa biashara yangu na mali zangu zingine nikapata huo mkopo nitashukuru pia.

Hitaji Langu kubwa ni 10m TU. Asante kwa yeyote atakaeweza nisaidia fanikisha hili jambo.
Ni simple sana . Chukua bima ya mkopo Na achana na mazaga zaga ya hati za nyumba... Na Kwa jinsi ulivyo andika, wewe Ni wa design ya kusepa baada ya kuchukua mkopo
 
Kama kichwa yako iko vizuri sawa,lakini kama.huna.uzoefu my friend please nenda pole pole hawana.mchezo,na pesa yao ila mapepo Tena benki zeneywe Zina njaa kama nini,katika hiyo ishiri.watakupa 15m,tano itaidha kwenye bima na rejesho moja,ukitoa.na.hiyo tatu utaondoka na 11m kabla hujaanza kuwekeza kuna milioni mbili zitaondoka kwenye logistics,hapa na pale utajikita una milioni 8.lakini malipo ni pale pale utatakiwa kurudisha milioni 38m au zaidi kwa muda maalum.be ready to rumble.

Back
Top Bottom