Uchaguzi 2020 Rais Magufuli na sera ya Tanzania ya viwanda

Besta Mlagila

Senior Member
May 29, 2018
101
191
Serikali ya awamu ya Tano chini ya usimamizi wa Rais Magufuli inaendesha miradi mikubwa ya kimkakati ambayo matunda yake hayaonekani leo au kesho ni ya muda mrefu na ndio namna ya kuongozaNchi llazima kuwe na mipango ya muda mrefu na mifupi.

Huwezi kuwa na viwanda vikubwa vinavyofanya uzalishaji kwa bei nafuu kama hauna Umeme wa uhakika na miundombinu inayopitika kila wakati, Mradi wa Bwawa la Nyerere utakapokamilika mwaka 2021 utasababisha wa wekezaji kufungua viwanda nchini maana tukakuwa na umeme wa uhakika na nafuu kitu kitakachopelekea viwanda kuzalisha bidhaa zenye viwango na nafuu zitakazoshindana katika soko.

Hivyo Serikali ya viwanda lazima mazingira yaandaliwe ili viwanda visije vikaanzisha na kufa ndani ya muda mfupi, kwasasa viwanda havipo nchini au vinazalisha bidhaa zisizo na ubora kwasababu ya Umeme kupatikana kidogo na kwa bei ghali.

#ChaguaMagufuli #Magufuli5Tena
 
Asante Rais Magufuli kwa kutupeleka Tanzania katika uchumi wa kati

Yule msaliti wa Nchi Lissu arudi tu ubeligiji
 
Back
Top Bottom