houstony

Member
Jun 2, 2017
12
15
Habari wanajamii,

Mimi ni kijana mwenye shahada ya uhandisi mitambo (Bsc in Mechanical Engineering) naishi Dsm. Jinsia ME,

Kwasasa sina kazi yoyote, hivyo kama kijana mwenzenu nnaetafuta kujikwamua kimaisha naombeni msaada wenu niweze kupata kazi yoyote ya halali kwa maana hali imekuwa ngumu sana upande wangu.

Hivyo kwa yeyote mwenye connection au mwenye anajua sehemu naweza pata kazi hata za nguvu mimi nafanya au mwenye kazi yake anahitaji kijana mwaminifu pia karibu.

Ajiraportal nimeshajiunga na nimeapply zile za LGAs & MDAs.

Mawasiliano: 0628744072

NB: sina mtaji wa kufanya biashara

Asanteni.........
 
Mungu ni mwema kaka,hakika utapata.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mungu wetu sote ndugu yangu hakika utafanikiwa siku sio nyingi ...Mungu akutangulie katika utafutaji wako ..hakika utafanikiwa mkuu.
 
IMG_20230503_141010_410.jpg
ikikupendeza... mshahala wao ni Zaidi ya 370k
 
Back
Top Bottom