tanzania ya viwanda

  1. Environmental Security

    Bajeti inayothibitisha azma ya kuwa na Tanzania ya viwanda na taifa linalojitegemea

    Habari wanaJF, Sina shaka na weledi wa wanaJF wengi humu jamvini, ndio maana nina ujasiri wa kuleta thread hii njema kabisa kwa mustakabali wa taifa letu. Tukiondoa tofauti zetu za kiitikadi na kuja pamoja kama taifa tutatambua kuwa kwakweli bajeti hii ya 20/21, imelenga moja kwa moja...
  2. M

    Uchumi wa ajira na ukweli kuhusu Tanzania ya viwanda

    Anaandika John Sm Mgejwa Kuna kipindi nchini Kenya hasa mwaka 2009/10 kwenye mapato yaliyokuwa yanakusanywa kwa mwaka, 47.3% ya Fedha zilizokusanywa zilikuwa zinatumika kulipa mishahara ya watumishi, kiwango hiki lilikuwa juu ya kile Cha kimataifa ambacho ni 35% ya makusanyo yote. Hii ina...
  3. wanzagitalewa

    Tanzania ya viwanda inavyohitaji mazingira bora kukuza ubunifu wa kiteknolojia

    Wiki jana tumeona ufunguzi wa maonyesho katika Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya. Tukio hilo muhimu lilileta pamoja wanafunzi na waalimu wa vyuo na taasisi mbalimbali za mkoa wa Mbeya kuonyesha na kujadili fursa zitokanazo na ubunifu wa kiteknolojia. Katika hotuba yake, Mkuu wa Kitivo...
  4. Pascal Mayalla

    Je, tunaweza kujenga Tanzania ya viwanda bila kutegemea mabeberu? Ukaribu beberu na 'next door' ni fimbo au biashara tu?

    Wanabodi, Wanabodi, Ijumaa ya leo nimepata fursa ya kuendelea na zile makala zangu za kwa Maslahi ya Taifa, leo nikiulizia kuhusu msimamo wa rais Magufuli kutosafiri nje hata kwa zile safari zenye maslahi makubwa kwa taifa, jee msimamo huo una Maslahi kwa Taifa? Bandiko hili ni la swali moja...
  5. wanzagitalewa

    Kuelekea Tanzania ya viwanda yenye uchumi wa kati ifikapo mwaka 2025

    Mwanzo wa mwaka huu ni kengele ya miaka mitano kuelekea 2025 mwaka ambao Tanzania ilipanga kuwa imefikia lengo lake la kuwa nchi ya uchumi wa kati, ya viwanda.Dira hii ambayo Tanzania ilianza nayo mwanzoni mwa karne hii ya 21 inatambulika kuwa ni moja ya malengo makubwa ya Rais Dkt John...
  6. Kaka Pekee

    Tanzania ya Viwonder...ni lini tutafika huku? (Tufanye nini?!)

    Kuelekea Tanzania ya Viwonder (Viwanda) ni lini tutafikia kutoa support kwa Wataalamu wetu wabuni na kutengeneza Vimashine vidogo au kubwa za kurahisisha kazi na kutengeneza ajira. Tukiwa na nia ya dhati ya kupata 'Viwanda' inabidi sapoti hizi ziwepo, fungu liwepo na hamasa iwepo. Yuko wapi...
  7. musa_ali

    Ninaandika na kuuza Proposal za Biashara, Miradi na Idea mbalimbali.

    Wakuu za siku? Natumaini wote hamjambo. Mimeona niseme hili, linaweza kunufaisha watu kadhaa ambao either wana mtaji au wanahitaji professional Documents za kuombea hela (funding & grants), au hata za kushindania Tender flani, etc. Ni mwajiriwa wa muda mrefu kwenye Kampuni ambayo kazi yetu ni...
  8. E

    Kama ni miujiza, Tanzania ya viwanda inawezekana; kama ni mpango mkakati, tumeshindwa kabla ya kuanza

    Rais Magufuli anaweza kuwa na ndoto nyingi sana juu ya Taifa hili lkn naamini ameshindwa kabla ya kuanza. Tuanze na hiki ninachokisikia mara kwa mara kikitamkwa na rais na watendaji wake Tanzania ya viwanda. Je Tanzania ya viwanda yaweza kufikiwa? Jibu ni Hapana. Sababu ni zifuatazo: 1...
Back
Top Bottom