oparesheni 255

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Erythrocyte

    Nkasi Kaskazini: Oparesheni 255 yapokelewa kwa Shangwe, Maelfu ya watu wahudhuria Mkutano

    Kama tulivyoahidi hapo awali , Oparesheni 255 yenye lengo la kuwakumbusha Wananchi umuhimu wa Katiba mpya ikiwa ni pamoja na kuwafungua macho wananchi hao ili wajionee ubovu wa Mkataba wa Bandari za Tanganyika na DP WORLD ya Dubai , imefika Nkasi Kadkazini. Kwenye Jimbo hilo kumetokea Mshangao...
  2. Erythrocyte

    Oparesheni 255 yaanza kazi rasmi, Freeman Mbowe apokelewa kwa kishindo Ileje

    Kama tulivyoeleza hapo awali ni kwamba ile kampeni kabambe ya kuelimisha Wananchi kuhusu Umuhimu wa Katiba Mpya na ubovu wa Mkataba wa Bandari na DP WORLD ya Dubai , imeingia Kanda ya Nyasa. Baada ya kuzinduliwa Jana huko Tunduma, leo imeingia Ileje na kupokelewa kwa kishindo na wananchi wa...
  3. Erythrocyte

    Tunduma: Yanayojiri kwenye uzinduzi wa Oparesheni 255 Kanda ya Nyasa, Freeman Mbowe aongoza Mashambulizi

    Kama tulivyoahidi hapo Awali , kwamba tutawaletea kila kinachojiri kwenye Uzinduzi huu , na hivi ndivyo tunavyofanya . Baada ya kuwasili kwenye Kanda hiyo , Mwamba mwenyewe Ustaadh Aboubakar Mbowe aliweka Saini kwenye Kitabu cha Wageni kwenye ofisi ya Kanda hiyo , Kabla ya kukinukisha Mjini...
  4. Erythrocyte

    Kumekucha: Oparesheni 255 yaingia Kanda ya Nyasa, kuzinduliwa Tunduma 21/10/2023

    Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba ile Kampeni kabambe ya kuelimisha wananchi kuhusu Umuhimu wa Katiba Mpya, ambayo imeongezwa kipengele cha kuokoa Bandari za Tanganyika, Imeingia rasmi kwenye Kanda ngumu ya Nyasa. Taarifa kutoka Makao Makuu ya CHADEMA na kwenye ofisi za Kanda hiyo zinaeleza...
  5. Erythrocyte

    Kanda ya Nyasa: Maandalizi ya Oparesheni 255 yakamilika

    Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba Kamati ya Utendaji ya CHADEMA kwenye ile kanda kabambe ya Nyasa imemaliza vikao vyake kwa ajili ya Maandalizi ya Oparesheni 255. Oparesheni hiyo Kabambe ina lengo la kuwaamsha Wananchi juu ya Umuhimu wa Katiba mpya ikiwa ni pamoja na kuwafundisha Uzalendo...
  6. Erythrocyte

    Kanda ya Nyasa: Homa ya Oparesheni 255 yapanda, yasubiriwa kwa hamu

    Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba kituo kinachofuata kwa ile Oparesheni kabambe ya 255 KATIBA MPYA , OKOA BANDARI ZETU ni Kanda ya Nyasa . Bado haikupangwa ratiba ya Oparesheni hiyo kwenye kanda hiyo , lakini tayari mizuka ishawapanda wananchi , kila mtu anasubiri ujio wa Jambo hilo Taarifa...
  7. Erythrocyte

    Freeman Mbowe atoa shukrani za dhati kwa Wananchi wote wanaoendelea kuchangia Oparesheni 255, aahidi Ukombozi

    Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, akitoa tathmini kutokana na Oparesheni Kabambe ya 255 KATIBA MPYA, iliyotiwa kachumbari ya OKOA BANDARI ZETU, ametumia wasaa huo pia kuwashukuru Wananchi wote waliochangia michango yao ya hali na mali ili kuwezesha Oparesheni hiyo. Ujumbe wake huu hapa...
  8. Erythrocyte

    Rorya: Tundu Lissu aingia Shirati, asambaza Oparesheni 255, Wananchi wasikitishwa na Mkataba wa Bandari

    Tulionya humu mapema sana kwamba , Moto utakaowashwa na Chadema kwenye Oparesheni 255, hakuna wa kuuzima, Kauli hii imetimia, Nadhani wote mmeona jinsi Katibu Mkuu wa CCM alivyojaribu na baada ya kuona Maji ya Shingo akaweka mpira kwapani . Sasa leo Chadema imevamia Mkoa wa Mara na kuteketeza...
  9. Erythrocyte

    Butiama: Oparesheni 255 yapokelewa kwa kishindo, Mbowe akumbana na Mabango, ayasoma na kutoa majibu

    Tulishasema humu na kwingineko kwamba kuiteketeza CCM kunahitaji muda mfupi sana, wala hatuhitaji miezi mingi. Muda huu ninaoandika hapa tayari Mwamba wa siasa za Eneo la Maziwa Makuu, Freeman Mbowe , Laingwanan , Mtemi Isike ama Ustaadh Aboubakar Mbowe, kama anavyofahamika Nchini Zanzibar...
  10. Erythrocyte

    Oparesheni 255 yateketeza CCM Musoma Mjini bila huruma yoyote, imezikwa rasmi

    Tulionya mapema sana lakini tukapuuzwa , Tulisema kwamba Chadema ikipewa nafasi ya kufanya siasa na mikutano ya hadhara , ccm haina pa kutokea , hii ni kwa sababu ccm ndio chama kilicholeta kila dhiki , shida , njaa , ugumu wa maisha , ukosefu wa dola , tozo na kila aina ya uchafu kwenye nchi...
  11. Erythrocyte

    Oparesheni 255: Tundu Lissu afanya mikutano 5 Bariadi Vijijini

    Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba, Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu leo amevurumisha mikutano 5 mfululizo kwenye jimbo moja tu la Bariadi Vijijini Kama Kawaida yake, Lissu amewaomba Wananchi waunge mkono chama chake ili Katiba mpya ipatikane sasa badala ya porojo za viongozi wa serikali...
  12. Erythrocyte

    Oparesheni 255 yaingia Busega. Mbowe abadilisha lugha ya Katiba Mpya, aanza kuongea kikakamavu

    Hii ndio Taarifa mpya ya leo kutoka kanda ya ziwa ambako oparesheni 255 inatimua vumbi. Muda wa lugha laini kwenye kudai Katiba mpya umekwisha, sasa lugha kali za kikakamavu zimeanza kutumika, huku Mbowe akitahadharisha watawala kwamba Katiba mpya ndio kipaumbele cha kwanza. Hii ni kata ya...
  13. Erythrocyte

    Mwanza: Oparesheni 255 yaingia Visiwa vya Ukerewe, suala la Mkataba wa Bandari na umuhimu wa Katiba Mpya kupewa kipaumbele

    Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, ile Kampeni Kabambe ya kuelimisha Wananchi kuhusiana na Umuhimu wa Katiba Mpya, na kuwaamsha wananchi juu ya jukumu la kulinda maliasili za Taifa, zikiwemo Bandari za Tanganyika zilizogawiwa kibwege kwa Waarabu wa Dubai kwa kisingizio dhaifu cha Uwekezaji...
  14. Titho Philemon

    Ni katiba Mpya pekee itakayoweza kuwatofautisha wanasiasa na mwenyesiasa nchini Tanzania

    Hapa nchini Tanzania, kumekuwa na changamoto za hapa na pale hususani katika chaguzi kuu za kitaifa ikiwemo ushindi wenye mashaka kwa baadhi ya viongozi na yote hiyo ikichangizwa na mfumo mbovu wa kitume uliowekwa na katiba ya sasa. Kwa mujibu wa katiba yetu ya sasa hii ya mwaka 1977, chini ya...
  15. Erythrocyte

    Oparesheni 255 yatikisa Nchi, Magazeti yaanza kuishambulia CHADEMA ili kuokoa CCM

    Tulionya Mapema sana kwamba tukipewa nafasi ya kupanda kwenye majukwaa kwenye mikutano ya hadhara na kuongea na wananchi, tuna uwezo wa kuteketeza ccm kwa muda wa siku 7 tu na sasa imedhihirika rasmi kwamba bil Polisi na Tume ya Uchaguzi CCM ni wepesi kuliko Pamba. Kuna taarifa zimevuja kwamba...
Back
Top Bottom