Mwanza: Oparesheni 255 yaingia Visiwa vya Ukerewe, suala la Mkataba wa Bandari na umuhimu wa Katiba Mpya kupewa kipaumbele

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,808
218,463
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, ile Kampeni Kabambe ya kuelimisha Wananchi kuhusiana na Umuhimu wa Katiba Mpya, na kuwaamsha wananchi juu ya jukumu la kulinda maliasili za Taifa, zikiwemo Bandari za Tanganyika zilizogawiwa kibwege kwa Waarabu wa Dubai kwa kisingizio dhaifu cha Uwekezaji, iko Mkoani Mwanza na leo imeingia kwenye visiwa vya Ukerewe.

Ratiba kamili hii hapa

Screenshot_2023-08-10-14-06-20-1.jpg

Hapa chini Mh Mbowe na Viongozi wenzake wakichukua tahadhari ya kuvuka Ziwa Victoria na Chopa yao

Screenshot_2023-08-10-14-05-49-1.jpg
Screenshot_2023-08-10-14-05-52-1.jpg
Screenshot_2023-08-10-14-05-37-1.jpg
Screenshot_2023-08-10-14-06-00-1.jpg

Usiondoke JF , kuna mazito ya kutoka Mahakamani yatafichuliwa
 
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, ile Kampeni Kabambe ya kuelimisha Wananchi kuhusiana na Umuhimu wa Katiba Mpya, na kuwaamsha wananchi juu ya jukumu la kulinda maliasili za Taifa, zikiwemo Bandari za Tanganyika zilizogawiwa kibwege kwa Waarabu wa Dubai kwa kisingizio dhaifu cha Uwekezaji, iko Mkoani Mwanza na leo imeingia kwenye visiwa vya Ukerewe.

Ratiba kamili hii hapa

View attachment 2713625

Hapa chini Mh Mbowe na Viongozi wenzake wakichukua tahadhari ya kuvuka Ziwa Victoria na Chopa yao

View attachment 2713629View attachment 2713630View attachment 2713631View attachment 2713632

Usiondoke JF , kuna mazito ya kutoka Mahakamani yatafichuliwa
Mungu Ibariki CHADEMA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naangalia habari UTV muda huu nashangaa Katibu Mkuu wa Chadema nae yupo kwny Workshop moja wapo anahojiwa anaitaka Serikali ipeleke mabadiliko ya Sheria kurekebisha Tume ya Uchaguzi kabla ya Katiba Mkuu wakati walimtukana sana Zitto alipokuja na wazo hili na wao wakasema bila ya Tume huru sio tu hawatoshiriki Uchaguzi Mkuu ujao bali hautofanyika
 
naangalia habari UTV muda huu nashangaa Katibu Mkuu wa Chadema nae yupo kwny Workshop moja wapo anahojiwa anaitaka Serikali ipeleke mabadiliko ya Sheria kurekebisha Tume ya Uchaguzi kabla ya Katiba Mkuu wakati walimtukana sana Zitto alipokuja na wazo hili na wao wakasema bila ya Tume huru sio tu hawatoshiriki Uchaguzi Mkuu ujao bali hautofanyika
Mwongo wewe
 
Kidomo Domo wa Lumumba
 
Usipotoshe, ACT walisema tume huru SASA ila katiba mpya eti kuelekea 2030!! CHADEMA haijawahi kupinga tume huru ilichosema ni kwamba Katiba mpya na tume huru yafanyike in requisition
 
Back
Top Bottom