Habar za majukumu poleni na kazi ngumu ya kujenga taifa na kufichua uovu.
Mimi ni mfanya kazi na nimepita sehemu mbali mbali.
Lakini nimefanya kazi mkoa wa mwanza ,wilaya ya ukelewe kijiji cha ukala chenye vitongoji 8 kama vile Bwisya, Nyang'ombe, Chilled, Chibasi, Kome, Bukiko na Nyamanga...