Ni katiba Mpya pekee itakayoweza kuwatofautisha wanasiasa na mwenyesiasa nchini Tanzania

Nov 15, 2019
35
113
Hapa nchini Tanzania, kumekuwa na changamoto za hapa na pale hususani katika chaguzi kuu za kitaifa ikiwemo ushindi wenye mashaka kwa baadhi ya viongozi na yote hiyo ikichangizwa na mfumo mbovu wa kitume uliowekwa na katiba ya sasa.

Kwa mujibu wa katiba yetu ya sasa hii ya mwaka 1977, chini ya ibara ya 74 inajidhihirisha wazi kuwa kuna wanasiasa na wenye siasa. Haiwezekani Rais aunde jopo lake halafu mwisho wa siku lije kumsaliti that's is unlogic and too much devastating and flabbergasting at all. Kusema kweli ni vioja.

Ibara ya 46(1) ya katiba hii ya sasa ya 1977 imempa kinga Rais ya kutokushitakiwa katika mahakama yoyote kwa makosa ya aina yoyote aliyoyafanya kabla, wakati na baada ya uongozi wake madarakani. Huu ni ujinga na kutokufikiri kwa watunga Sera pamoja na walioandaa katiba hii. Tunapaswa kujifunza kwa ndugu zetu wa Sudan na katiba yao ya mwaka 2011, wao mambo yako vyema, Rais akusumbua anadondoshwa.

Ibara ya 46A ya katiba kuhusu kura ya kumuondoa Rais madarakani imekaa kinafiki hata kwa wabunge pia, iweje mtu ambaye katiba hii hii chini ya ibara ya 33(2) imempa mamlaka makubwa aondolewe na kura robo tatu za wabunge wote? Wanatuchanganya kwakweli.

Nipende tu kusema kuwa, ni katiba mpya pekee ambayo itasaidia kuleta usawa, umoja, demokrasia na utawala bora na siyo mikwala ya wanasiasa majukwaani au bungeni.
Katiba mpya ni sasa.
Naomba kuunga mkono "255 Katiba Mpya Operation" inayoendeshwa na CHADEMA
 
Naomba kuunga mkono "255 Katiba Mpya Campaign" inayoendeshwa na CHADEMA
Amen

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Kura huibiwa ngaz ya ubunge ngazi ya uraisi CCM hushinda Kwa Halali miaka yote , na wataendelea kushinda Kwa miaka mingi Zaid , kama wapinzani ndo hawa bichwa maji , Katiba mpya itasaidia mambo mengine Ila kuhusu uchaguzi Katiba mpya iwepo au isiwepo still CCM watashinda tena kihalali
 
Back
Top Bottom