Rorya: Tundu Lissu aingia Shirati, asambaza Oparesheni 255, Wananchi wasikitishwa na Mkataba wa Bandari

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,753
218,343
Tulionya humu mapema sana kwamba , Moto utakaowashwa na Chadema kwenye Oparesheni 255, hakuna wa kuuzima, Kauli hii imetimia, Nadhani wote mmeona jinsi Katibu Mkuu wa CCM alivyojaribu na baada ya kuona Maji ya Shingo akaweka mpira kwapani .

Sasa leo Chadema imevamia Mkoa wa Mara na kuteketeza CCM bila huruma yoyote , Ambapo Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho , Tundu Lissu alipewa majukumu ya kuichakaza Rorya .

Elimu kabambe imetolewa kuhusu Umuhimu wa Katiba mpya sasa hivi , sasa kimbembe ni pale somo la Mkataba mbovu wa Bandari na DP WORLD , Umati wote umebubujikwa na Machozi utadhani ule Msiba wa MV Bukoba

Hebu jionee kwa uchache

Screenshot_2023-09-05-18-01-31-1.png

Screenshot_2023-09-05-17-44-32-1.png
 
Mziki wa kisiasa unaopigwa sasa na CHADEMA ni mzito na mnene sana. CCM wakiongozwa na Chongolo, Kinana na Mjema mwanzoni walitaka kujaribu kupimana ubavu na huo mziki wa CHADEMA, sasa kisanga cha aibu kilichowapata huko mtaani, ikabidi wapoteane na kusepa kimya kimya.
 
Wakaingia mitini!! Tuliwatia moyo Chadema mwanzoni... tuliwaambia hii mikutano ya hao mafisi isingefika mbali... CCM haina watu wenye akili tena wakujenga hoja.... wamejawa na vijana wapenda starehe na zinaa tu!

Kinana nae kama gari ya mkaa tu tripu moja shamba ikirudi inafikia gereji kama Magufuli wao tu 2020!

Huyo mama na pumu yake sidhani 2025 kama ataweza hutubia hata mikutano miwili ya kampeni kwa siku!
 
Kinachonifurahisha kwenye mikutano ya Chadema ni hoja zao , madini matupu !
 
Wakaingia mitini!! Tuliwatia moyo Chadema mwanzoni... tuliwaambia hii mikutano ya hao mafisi isingefika mbali... CCM haina watu wenye akili tena wakujenga hoja.... wamejawa na vijana wapenda starehe na zinaa tu!

Kinana nae kama gari ya mkaa tu tripu moja shamba ikirudi inafikia gereji kama Magufuli wao tu 2020!

Huyo mama na pumu yake sidhani 2025 kama ataweza hutubia hata mikutano miwili ya kampeni kwa siku!
Mh anapumu kwani mama abdu?
 
Ule mpunga mliopewa mmchafue JPM shujaa mtaurejesha maana project imeshia njiani na pesa mshagawana
 
Kila siku kwenye hiyo mikutano ni mkataba wa bandari, mkataba wa bandari, mkataba wa bandari....huo mkataba ukifutwa inaonekana mtachukia sana sababu mtakosa ajenda
 
Mziki wa kisiasa unaopigwa sasa na CHADEMA ni mzito na mnene sana. CCM wakiongozwa na Chongolo, Kinana na Mjema mwanzoni walitaka kujaribu kupimana ubavu na huo mziki wa CHADEMA, sasa kisanga cha aibu kilichowapata huko mtaani, ikabidi wapoteane na kusepa kimya kimya.
Chongolo nilikua namwona kama chizi fulani akiwa jukwaani anaongea hakika walipoteana yule mwenezi ndio zero brain kabisa
 
Back
Top Bottom