covid wimbi la tatu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. COMOTANG

    #COVID19 Tuliopitiwa na wimbi la 3 Mwenyezi Mungu akatuokoa tukutane hapa

    Habari Wana JF wenzangu.Kama kichwa kinavyo jieleza. Kwa wale tuliopitiwa na wimbi la 3 na Mwenyezi Mungu akatuokoa tubadilishane mapito na Aina ya tiba tulizotumia na zika tusaidia . Binafsi nililala kitandani kwa takribani wiki 3. Hali ilianza Kama utani,baridi Kali Kisha homa Kali halafu...
  2. S

    #COVID19 Hadi sasa hakuna mkakati wa matumizi ya bima ya afya na mpango kuwasaidia wagonjwa wa Corona kupunguza gharama za matibabu

    Kama tunavyojua kuwa wimbi la tatu la ugonjwa wa korona linatupiga ipasavyo na japokuwa serikali inaendelea kupokea misaada ya fedha kutoka WHO na mashirika mengine lakini cha ajabu hakuna mikakati yoyote ya kupunguza gharama za mgonjwa wa Korona. Kwa mfano dozi moja ya korona mpaka sasa si...
  3. R

    #COVID19 Corona Wimbi la Tatu: Warudisheni vijana wa JKT nyumbani kuepuka msongamano

    Kama sikosei mwaka Jana, 2020 vijana wa Mujibu wa Sheria waliokuwa JKT walirudishwa nyumbani mapema baada ya Corona kupamba Moto Kama ilivyo Sasa. Mashauri Kama ilivyofanyika mwaka Jana, 2020, vijana warudishwe nyumbani kupunguza msongamano na kuwaepusha na maambukizi ya Corona.
Back
Top Bottom