peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 12,813
- 21,413
Bunge la Bajeti limemalizika July2021, hadi sasa hakuna mradi Hata mmoja umeanza au umefanyika kutoka na Bajeti ya 2021/22. Ukinipa Tarura wako hoi, REA wapo hoi, tanesco wako hoi, halmashauri ziko hoi, Tanroads wako hoi, Kila Anakotembelea Rais Amess Hata kuitaja ilani ya ccm 2020/25 . Serikali haina fedha? SGR kimya , bwawa la Nyerere kimya