Nigeria: Serikali kukopa zaidi ya Dola Bilioni 10 kufadhili Bajeti

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,367
2,000
Rais Muhammadu Buhari amesema Serikali imepanga kukopa zaidi ya Dola za Marekani Bilioni 10 ili kusaidia kufadhili Bajeti ya takriban Dola Bilioni 40 kwa mwaka 2022

Kumekuwa na malalamiko kuhusu Mikopo ya mara kwa mara ya Serikali lakini Rais Buhari ameendelea kusisitiza kiwango bado ni himilivu

Nigeria kwa kiasi kikubwa inategemea usafirishaji wa mafuta ghafi kwa mapato yake

======

Nigeria’s President Muhammadu Buhari says the government plans to borrow more than $10bn (£7.3bn) to help finance his 2022 budget of nearly $40bn.

There has been a public outcry about the government's frequent borrowing, but Mr Buhari - in a presentation to parliament - said that Nigeria’s debt level was still within sustainable limits.

Presenting the budget is an annual ritual, but there aren't enough reports about how the money is spent.

Nigeria’s economy is plagued by high inflation as the local currency continues to lose value against major foreign currencies like the US dollar and pound sterling.

Nigeria is mainly dependent on the export of crude oil for its revenue.

Source: BBC
 

let the caged bird sings

JF-Expert Member
Sep 19, 2020
780
1,000
Hiyo nchi sijui kama itavuka uchaguzi wa 2023 ikiwa moja.
kabisa.
buhari kaharibu nchi kuliko watangulizi wake.
serikali inawashughulikia zaidi wanaotaka kujitenga kuliko inavyowashughulikia bandits na fulan.
hivi karibuni umoja wa falme za kiarabu ulianika majina ya watu wanaofadhili ugaidi naijeria but serikali ime mute, haitaki kuwashughulikia.
insecurity iliyopo naijeria inabaraka ya baadhi ya watumishi wakubwa wa serikali.
Ndoto ya Biafra itatimia hata kama si leo.
 

steveachi

JF-Expert Member
Nov 7, 2011
7,752
2,000
kukopa sio sida kwa nchi ni utaalam huo shida inakuja kwenye matumizi ya hizo pesa zinazokopwa na security ya nchi husika...
Kipindi Ghadafi anatawala Libya,alikuwa hadi anakopesha nchi zingine fedha zinazotokana na kipato cha mafuta na huku nchi yake ikiwa na maendeleo makubwa sana
 

Masamila

JF-Expert Member
Jun 22, 2014
6,006
2,000
Heri Nchi angeendelea kuishika Goodluck Edibe Jonathan tuu,maana Nchi ilitulia kiuchumi na usalama.

Sent using Jamii Forums mobile app


Makabila ya Igbo na Yoruba hawapatani na ndio maana jamaa (Goodluck Jonathan) aliishia kushindwa kutetea muhula wa pili maana ye anatokea maeneo ambayo ni karibu na Igbo

Yoruba ni kabila la pili kwa wingi wa Watu kule Nigeria so wakamchinja kwenye sanduku maana Igbo na Myoruba haziivi kabisa
 

Magonjwa Mtambuka

JF-Expert Member
Aug 2, 2016
24,660
2,000
Makabila ya Igbo na Yoruba hawapatani na ndio maana jamaa (Goodluck Jonathan) aliishia kushindwa kutetea muhula wa pili maana ye anatokea maeneo ambayo ni karibu na Igbo

Yoruba ni kabila la pili kwa wingi wa Watu kule Nigeria so wakamchinja kwenye sanduku maana Igbo na Myoruba haziivi kabisa
Goodluck Jonathan ni Ijaw (kutoka Bayelsa) na sio Igbo.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom