afya ya akili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Suley2019

    Dodoma: Watu 250 hupima afya ya akili Mirembe kila siku

    Hospitali ya Taifa ya Afya ya akili Mirembe jijini Dodoma, inapokea wastani wa wagonjwa wa akili 150 hadi 250 kwa siku kwa ajili ya matibabu. Idadi hiyo imetajwa kuwa katika kitengo cha huduma za nje ambapo kati ya wagonjwa hao, wagonjwa 30 hadi 70 hupewa matibabu na wagonjwa tisa hadi 15...
  2. BARD AI

    TAHADHARI: Wagonjwa wa akili 150-250 wanapokelewa Mirembe kila siku

    Idadi hiyo imetajwa katika Idara ya Huduma za Nje ambapo kati yao, Wagonjwa 30 hadi 70 hupewa Matibabu na kuondoka huku Wagonjwa 9 hadi 15 wakilazwa. Daktari wa Vyanzo vya Akili, Veronica Lyimo amesema tatizo hilo linazidi kukua nchini na asilimia kubwa ya Wagonjwa hukutwa na sababu za...
  3. BARD AI

    Kwenye kila watu 8, mmoja ana tatizo la Afya ya Akili Tanzania

    Sababu inayochangia hali hiyo ni mabadiliko katika Malezi, Msongo wa Mawazo wa Kushindwa Kuhimili Changamoto, Ongezeko la Magonjwa yasiyoambukiza na Matumizi ya Vilevi hususan Pombe, Bangi na Dawa nyingine za Kulevya. Katibu Tawala Mkoa wa Dar es Salaam, Rehema Madenge aliyemwakilisha Waziri wa...
  4. BigTall

    WHO, ILO: Hatua mpya zahitajika kukabiliana na matatizo ya afya ya akili kazini

    Machapisho mawili ambayo yote yanalenga ujumbe mmoja wa kushughulikia changamoto ya afya ya akili kazini ambayo ni muongozo mpya wa kimataifa wa WHO kuhusu afya ya akili na uwajibikaji kazini na tamko la pamoja la kisera la WHO na ILO, yanakadiria kwamba takriban siku bilioni 12 za kazi hupotea...
  5. amranik

    SoC02 Vijana na Afya ya Akili

    VIJANA NA AFYA YA AKILI Kijana anatakiwa awe na afya ya akili kwa ustawi wake na jamii kwa ujumla. Afya ya akili nii hali ya kuwa sawa kiakili na kisaikolojia au kutokuwepo kabisa kwa usumbufu wa akili ya mtu, mfano msongo wa mawazo. Kuwa na afya ya akili itakuwezesha kuhimili mabadiliko...
  6. N

    SoC02 Inaanza na wewe - Afya ya Akili

    Lipo shinikizo la kijamii kwamba mwanadamu anayeweza kukubalika na kuaminika ni yule aliye na ‘akili timamu’. Kwasababu hiyo kila mmoja hupenda kujitazama kuwa yu timamu pengine dhidi ya, au kuliko wengine wote wanaomzunguka. Huona kuwa changamoto za kiakili hazimhusu yeye; ni matatizo ya...
  7. J

    SoC02 Umuhimu wa Afya ya Akili

    Taifa na wananchi kwa ujumla tunatakiwa kujua na kuelewa umuhimu wa afya ya akili kwa kila mmoja wetu ....hii itasaidia kupunguza mangonjwa mengi yasioambukizwa na kupunguza idadi ya vifo vinavyotokana na kujiua . --- “Jamani, nini hiki tena kila siku kujiua na mauaji yamezidi sana!” ilisikika...
  8. Shilinde_

    SoC02 AFYA YA AKILI - Mawazo Potofu na nini kifanyike

    AFYA YA AKILI inajumuisha maeneo kadhaa muhimu, iwe kifikra, kihisia, kisaikolojia, na hata kitabia, bila kusahau maeneo ya kisiasa, kiuchumi, kijamii na kadhalika. Kama unatambua uwezo ulionao, na unakabiliana na changamoto za afya ya akili, huku ukiendelea na majukumu ya kiuzalishaji, uwe ni...
  9. G

    SoC02 Twende tukawatembelee majirani

    Mabinti wawili,mtu na dada yake walikwenda kutembea kijijini kwao pamoja na wazazi wao. Baada ya kuwasili kijijini pale waliamua kwenda kusalimu ndugu, jamaa na marafiki ambao walikua hawajawaona muda mrefu sana. Walianza safari ya kwenda kwa mama mmoja ambae alimlea dada mkubwa alipokua mdogo...
  10. G

    SoC02 Afya ya akili Tanzania

    Nakumbuka Julai mwaka 2021 katika mashindano ya Olimpiki yaliyofanyika Tokyo, Japan mwanadada Simone Ariane Biles kutoka Marekani alizua gumzo bada ya kuamua kujitoa katika timu yake iliyokua imefikia fainali sita. Biles mshindi mara saba wa olimpiki aliamua kung’atuka kwa kile alichoelezea kuwa...
  11. R

    SoC02 Uraibu Mpya

    Naitwa Mundu nimezaliwa kwenye familia ya watoto saba. Baba yangu alifukuzwa kazi sababu ya ulevi na upinzani wa kisiasa mwaka 1996, mwaka mmoja tu baada ya mimi kuzaliwa nikiwa mtoto wa nne kati ya watoto saba. Familia haikuwa na amani sana mwanzoni kwa sababu ya ulevi uliopindukia na msongo...
  12. R

    SoC02 Umuhimu wa Wataalam wa Afya ya Akili katika jamii

    Utangulizi Huenda hulijui hili, kwa wewe ambae unalijua basi nakukumbusha. Sionekani ila nipo kila mahali ambapo binadamu huishi. Mataifa makubwa duniani na nchi nyingi zinazoendelea zinatambua umuhimu wa mimi kuwa timamu. Ila nasikitika kuona taifa lililo na watu zaidi ya millioni sitini (60)...
  13. C

    SoC02 Tanzania na changamoto za afya ya akili

    TANZANIA NA CHANGAMOTO ZA AFYA YA AKILI Utangulizi Afya ya akili kwa lugha rahisi tunaweza kusema kuwa ni ustawi wa mtu kisaikolojia na kihisia. Mara nyingi miili yetu huwa na afya njema, lakini kuna wakati miili yetu hupata magonjwa mbalimbali na hivyo kuhitaji tiba ili kurudi kwenye hali au...
  14. mzeelazaro

    SoC02 Mimi na Afya ya Akili

    Afya ya Akili. Kwa mujibu wa shirika la afya duniani (WHO), afya ya akili ni hali ya kutambua na kuthamini afya ya hisia na mwili kwa ujumla ambavyo vinahusisha ubongo. Afya ya akili katika karne ya 21 imekuwa ni tatizo kubwa kwa jamii zetu hasa kwa upande wa vijana ambao ndio inaaminika kuwa...
  15. Ushauri nasihi

    SoC02 Yajue magonjwa ya afya ya akili katika kupata hisia

    Paraphilias Hii ni tatizo ambalo mtu anapata hisia za KIMAPENZI kwa kupitia vitu ambavyo sio binadamu,kwakuumizwa au kuumiza na kwa watoto Aina za paraphilias. 1 fetishistic Hili ni tatizo la kihisia ambalo mtu anapata hisia za KIMAPENZI pale tu kwakutumia vitu ambavyo sio binadamu mfano...
  16. I

    SoC02 Tatizo la afya ya akili chanzo cha ongezeko la vitendo tishio kwenye jamii

    Matatizo ya afya ya akili ni nini? Ni matatizo ya ubongo ambayo humfanya mtu kuwa na hisia, fikra, na matendo tofauti na yale yanayotarajiwa na jamii na kushindwa kukabiliana na changamoto za maisha. Afya ya akili inaweza kuathiri namna ya kufikiri,na pia inaathiri mfumo mzima wa namna ya...
  17. Kiboko ya Jiwe

    Serikali ipambane na suala la afya ya akili kwa Watanzania kabla ya kufanya mambo mengine makubwa.

    Hamjambo humu ndani? Tatizo la upungufu wa akili miongoni mwa wanajamii ya Kitanzania limekuwa kubwa sana. Vijana kwa wazee. Serikali iboreshe lishe kwa jamii hali ngumu. Nguvu kazi hasa vijana wana ukosefu wa akili na wengine wana upungufu wa akili kichwani. Vijana wa nchi hii wasomi kwa...
  18. Binti Mzalendo

    SoC02 Ugonjwa wa Afya ya Akili upo

    Habari ndugu mwana Jamii Forums,Umewahi kusikia kuhusu Ugonjwa wa Afya ya Akili?,pengine labda ukahisi ni kitu kidogo au Cha kawaida,hapana kina madhara makubwa hasa kwa utendaji kazi kiufanisi.Kwani ugonjwa Afya ya Akili ni nini?,Ugonjwa Afya ya Akili unatafsiriwa kwa maana tofauti kulingana...
  19. Suley2019

    VIKOBA na Madeni vyatajwa kuwa chanzo cha ugonjwa wa Afya ya Akili. Wanawake wahanga wakubwa

    Hayo yamesemwa na Daktari bingwa wa Magonjwa ya akili kutoka Hospitali ya Mirembe mkoani Dodoma, Suluma Aslan akizungumza na Waandishi wa Habari leo Agosti 3, 2022 Suluma amesema takwimu zilizofanywa na Hospitali ya Mirembe mwanzoni mwa mwezi Julai 2021 zimebaini Tanzania kuna wagonjwa 6,000...
  20. AnonymousVee

    SoC02 Afya ya akili kwa Vijana

    Habari ndugu zangu mliomo humu. Ningependa leo tutafakari kwa pamoja kuhusu hili suala la "Afya ya akili kwa vijana". Tuanze na kujiuliza kuwa; Kijana ni nani? Na kwanini afya yake ya akili iathirike zaidi kuliko kundi lingine? Si kwamba watu wazima afya zao za akili haziathiriki, la hasha, ila...
Back
Top Bottom