afya ya akili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Hivi aliyemteua Mwigulu alichunguza changamoto,Sijui kama wenzangu huwa mnamuelewa

    Huwa simuelewi mwigulu. Nikimuelewa huwa sijui kama anajielewa au kuelewa asemacho. Sijui kama wenzangu huwa mnamuelewa. Anaongea kana kwamba mdomo na ubongo havina mawasiliano. Wakati mwingine inakuwa vigumu kumtofautisha na hamnazoo aongeapo. Anaongea sana kuliko bosi wake. Anaongea kama...
  2. Akilindogosana

    JamiiForums Tanzania Kama Kiongozi ni mgonjwa wa Afya ya Akili. Nini kinapaswa kufanyika?

    Kama Kiongozi ni Mgonjwa wa Afya ya Akili, Nini kinapaswa kufanyika? Madaktari wa Afya ya akili na wataalam wa saikolojia mtusaidie! Nini kinapaswa kufanyika ili kuepusha madhara zaidi? Kama kiongozi ni psychopath, sadist, nini kinapaswa kufanyika? Mtu akishakuwa Psychopath/sadist anapenda...
  3. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Crescentius Mgori: Kuna Viongozi wana matatizo ya Afya ya Akili ndani ya Simba SC

    “ Kuna watu wanajiona bila wao baadhi ya Mambo ndani ya Simba hayawezi kwenda nadhani wanatatizo la afya ya akili . Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi Simba Sc Crescentius Mgori, akizungumza kupitia Crown Fm Novemba 27,2025.
  4. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Kwanini Diaspora wa USA huwa wengi wao ni kama wana matatizo ya afya ya akili?

    Inasikitisha sana kuona watu waliosoma elimu ya juu ni kama wamechanganyikiwa na kuwa na msongo wa mawazo hali inayowafanya kuwa na hasira muda wote. Kuna tatizo gani huko Marekani? Kuna ndugu yetu alienda kama mwanamichezo mwaka 1990 ila kila akijaga bongo likizo mwonekano wake ni kama kibaka...
  5. Kitimoto

    JamiiForums Tanzania Je, Kuna Umuhimu wa Viongozi wa Juu wa Kisiasa Kuangaliwa Afya ya Akili?

    Afya ya Akili inahusu hali ya mtu kiakili na kihisia, ikiwa ni pamoja na uwezo wake wa kufikiri, kujieleza, kudhibiti hisia, na kujihusisha na watu wengine katika njia za afya. Ni hali ambapo mtu ana uwezo wa kukabiliana na changamoto za kila siku, kutatua matatizo, na kufanya maamuzi ya busara...
  6. 6By6 Miguno

    JamiiForums Tanzania Je, Ni changamoto ya afya ya akili?

    Mfano mdogo ni hawa watu humu ambao kila kukicha wanaunga mkono serikali hii yenye makandokando, Serikali hii waiungayo mkono imeifungia JF, Lakini wao wanatumia VPN kuendelea kubangaiza humu.... Sasa unajiuliza huyu mtu gani ambae anashindwa kuitii hata serikali anayoiunga mkono!!? Mtandao...
  7. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania Ugumu wa maisha ni miongoni mwa sababu kuu zinazochangia ongezeko la changamoto za afya ya akili

    Ikiwa leo ni Siku ya Afya ya Akili Duniani, Msaikolojia Tiba wa Hospitali ya Taifa ya Afya ya Akili Mirembe, Arafa Ali Arajiga, amesema ugumu wa maisha ni miongoni mwa sababu kuu zinazochangia ongezeko la changamoto za afya ya akili, hususan kwa watu wenye umri wa kati ya miaka 20 hadi 50...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Andrew Nyerere ni mgonjwa wa afya ya akili, asaidiwe kwa maombi

    ANDREW NYERERE NI MGONJWA WA AFYA YA AKILI , ASAIDIWE MAOMBI. Familia ya mwalimu Nyerere ilipata bahati mbaya sana na haikuwa bahati kwa huyu mtoto wake Andrew Nyerere ambaye ni mtoto mkubwa wa Baba wa Taifa ana matatizo ya akili na wendawazimu ambao kwa kweli anatakiwa apewe matibabu na...
  9. Lucha

    JamiiForums Tanzania Padre Aliyejiteka ana changamoto ya Afya ya akili

    Jeshi la Polisi mkoani Iringa limemfutia kesi ya kujiteka na kutoa taarifa ya uwongo mtandaoni iliyokuwa ikimkabili Padre Jodan Kibiki wa Kanisa Katoliki Parokia ya Nyololo, Jimbo la Mafinga baada ya uchunguzi wa kitabibu kugundua Padre huyo ana changamoto ya afya ya akili. Akitoa taarifa hiyo...
  10. Marco Seth

    JamiiForums Tanzania Kila mtu ana kichaa chake

    Katika saikolojia, kauli ya “kila mtu ana kichaa chake” wewe Fanya observation utaona Kila mtu ana tabia, fikra, au hisia zisizo za kawaida au tofauti na wengine, hata kama si ugonjwa wa akili. Inaweza kumaanisha pia kuwa hakuna mtu mkamilifu kiakili kila mtu ana mapambano yake ya ndani...
  11. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania GE2025 Huenda changamoto ya afya ya akili ikawakosesha wengi sifa na fusra ya kupiga kura kwa mujibu wa sheria uchaguzi mkuu wa Oct.2025 na sio reforms

    Huenda wengi wenye mawazo au mtazamo wa kutoshiriki uchaguzi au kutokupiga kura uchaguzi mkuu wa october2025, wanapitia changamoto hiyo mtambuka ya afya ya akili kwasasa, na kujikuta wakiwa na msukumo au shinikizo hasi lisilo na faida kwao wenyewe, familia zao na taifa kwa ujumla. Ugumu wa...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Utafiti – ZANZIBAR: Asilimia 30 ya Wajawazito wana tatizo la Afya ya Akili

    Wizara ya Afya Zanzibar kwa kushirikiana na Shirika la Afya Duniani (WHO) imefanya utafiti wa Afya ya Akili kwa Wanawake Wajawazito uliofanywa na kubaini kuwa asilimia 30 ya Wajawazito wana tatizo la Afya ya Akili, huku asilimia 26 ya waliokwisha jifungua pia wakikutwa na changamoto hiyo...
  13. funaku

    JamiiForums Tanzania Namtia moyo Pastor Tony Afya duni ya akili imewafanya wengi Wawe na chuki kwa waliofanikiwa!

    Asilimia kubwa wanaokudhihaki ni wakina dada ambao kimsingi wanakutamani sana kwa mafanikio yako. Kitendo cha Mke wako kujitokeza katika kukuunga mkono kinaibua hasira na chuki yao dhidi ya mke wako na wanamuona kama vile hakustahiki kuwa nawe. Trust me Trend hii ya kukunanga imemlenga mama...
  14. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Wanaobeti wana changamoto ya afya ya akili

    Hii fursa mimi naitumia wananiletea tu hela. By Ponjoro wa Kinondoni Sasa Kizimkazi.
  15. G

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya tabia zinazoimarisha afya ya akili

    Some random menu items. Especially important. For individuals. Aspiring a balance. Healthy longevity. Keeping the sanity Intentional cold shower in the morning A glass of hot water before sunrise Eating only once per day A mindful 1 hour walk every evening 1 day per week without technology...
  16. Bueno

    JamiiForums Tanzania Kichaa kasimama anaongea na Mwenye akili timamu aliekaa Chini

    Wakuu, hivi ushawahi kufika sehemu ukamkuta kichaa anampigisha story mwenye akili timamu? Yaan kichaa kavaa smart kabisa kitanashati mwingine unakuta kapendeza mavazi ya urembo ila sio mzima ni kichaa kabisa, ushawahi kutana nayo hii sehemu? Sio kila aliependeza ana akili timamu na sio kila...
  17. ufalmedigital

    JamiiForums Tanzania Je, jamii yetu inajua vya kutosha kuhusu afya ya akili?

    Je, jamii yetu inajua vya kutosha kuhusu afya ya akili? Katika kipindi hiki ambapo msongo wa mawazo umeongezeka, ni muhimu sana kupata maarifa sahihi. 🎓 Kozi hii kutoka ChuoSmart inaeleza kwa lugha rahisi: Dalili za matatizo ya afya ya akili Namna ya kujisaidia au kusaidia wengine Njia za...
  18. ufalmedigital

    JamiiForums Tanzania 🧠 Afya ya Akili ni Muhimu Kama Afya ya Mwili

    🧠 Afya ya Akili ni Muhimu Kama Afya ya Mwili Unajua nini kuhusu msongo wa mawazo, huzuni sugu, au kukosa usingizi wa kudumu? Watu wengi wanapitia changamoto hizi kimya kimya bila msaada. Elimu ni kinga. Toa muda wako kujifunza – kwa ajili yako na kwa ajili ya wengine.
  19. blogger

    JamiiForums Tanzania Afya Ya Akili sasa inatumika kufichaUshirikina, uovu, ubakaji, mauaji na unyofoaji wa viungo vya binadamu kishirikina

    Hili sasa lifike Mwisho. Na Lazima tukumbuke kwamba tuko mwaka gani. Sitaki amini eti, AFYA YA AKILI kwa matukio haya. Hapana Dkt. Gwajima D njoo utuambie shida ni nini. Mauaji ya hovyo yamezidi. Ahsante.
  20. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Rubani msaidizi wa air india alikuwaa na shida ya afya ya akili miaka minne iliyopita...rubani mkuu alifiwa na mamayake wiki 3 zilizopita aisee

    NILIKUWA NASOMA TAARIFA MOJA YA AJALI YA AIR INDIA KTK MAMBO YALIYOSABABISHA AIR INDIA KUDONDOKA KUNA KIFAA CHA MAMBO YA MAFUTA WALIKIWEKA OFF BADALA YA ON KABLA YA TAKEOFF RUBANI MSAIDIZI KUJA KUSHTUKA AKAANZA MAJIBISHANO NA RUBANI MKUU NANI KAWEKA OFF...MANENO KIBAO KUWEKA ON WOII NGOMA...
Back
Top Bottom