afya ya akili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Genesis_2030

    JamiiForums Tanzania Umewahi kujisikia mpweke katikati ya watu wengi? Kuhisi maumivu ya ndani na hakuna anayeona? Hauko peke yako, Tuzungumze Afya ya akili

    🧠 Elimu ya Afya Leo: AFYA YA AKILI (Mental Health) 📲 IG: @hillary_officialtz ❓ AFYA YA AKILI NI NINI HASA? Fikiria afya ya akili kama utulivu wa nafsi. Ni uwezo wako wa ndani wa kukabiliana na changamoto za maisha, kudhibiti hisia zako, kujenga mahusiano yenye afya, na kufanya maamuzi kwa...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Wengi tumeharibu maisha yetu kwenye rika la miaka 20 - 35, kijana jitambue mapema lasivyo utajikwaa tulipoangukia

    Afya Katika rika la miaka 20 hadi 35, wengi hujisahau kwa sababu mwili bado una nguvu, lakini hapa ndipo msingi wa afya ya baadaye hujengwa. Kula hovyo, kukosa mazoezi, usingizi mbovu, matumizi ya pombe, sigara, au dawa za kulevya huanza kuharibu mwili kimyakimya. Magonjwa kama kisukari...
  3. Tauceti Rigel

    JamiiForums Tanzania Kwa Nini Baadhi ya Walevi Hufanikiwa na Wengine Huangamia?: Pombe Ile Ile, Hatima Tofauti

    Makala hii inachambua uhalisia mgumu wa ulevi, ikionyesha kwamba pombe haifanyi kazi sawa kwa kila mtu. Watu wawili wanaweza kunywa pombe ile ile, lakini mmoja aendelee kustawi huku mwingine akiangamia. 1. Ulevi si Lazima Uwe na Kelele Wapo walevi wanaoonekana ‘safi’ kwa nje – wana kazi...
  4. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Mashoga Wanadai Haki, Lakini Je, Tunaelewa Tunachoshinikizwa Kukubali?

    “Mashoga Wanasema Wanataka Haki Zao, Lakini Kabla Hatujaanza Kujadili Hizo Haki, Tuwajadili Wao Kama Jumuiya” Nianze kwa kusema jambo moja, kwa sauti ya juu na kwa tahadhari ya tahadhari: Dunia inacheka huku inaungua. Na sisi, Waafrika, Watanzania, watu wa tabaka la wanaojiona bado tuna...
  5. Tauceti Rigel

    JamiiForums Tanzania ULEVI: Kwa nini wengine wanabaki juu (Wanajimudu) wakati wengine wanaporomoka?: Kwa jicho la Huruma tutafakari maisha ya ndugu zetu hawa

    Katika maisha ya kila siku, utawakuta watu wawili – wote ni walevi. Mmoja anakunywa kila siku, lakini bado anavaa vizuri, ana kazi nzuri, ana familia yenye furaha, na hana deni la mtu yeyote. Mwingine? Anakunywa vilevile, lakini maisha yake ni hadithi ya huzuni – ameachwa na familia, hana kazi...
  6. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania Imani ya dini vs. Afya ya akili

    "Kuna mstari mwembamba sana kati ya imani ya dini na changamoto ya afya ya akili, wakati mwingine mtu anaweza kuonekana kuwa na imani timilifu, lakini ndani yake anapambana kimya kimya na msongo wa mawazo au huzuni . Ni muhimu kujichunguza au kuyatathimini mahubiri kabla ya kufuata mkumbo ." —...
  7. Camilo Cienfuegos

    JamiiForums Tanzania Usiku wa leo kuna members watakuwa bize kugombania kuanzisha uzi wa Berkane Vs Simba, hii nayo ni tatizo la afya ya akili

    Kuna members watakuwa wako bize kugombania kuanzisha uzi wa fainal kati ya Berkane vs Simba Hili nalo ni tatizo la afya ya akili, kwanini msisubirie lisaa limoja kabla ya mechi ndio mfungue uzi? Maana hata uchambuzi wa mechi mara nyingi huanza lisaa limoja kabla ya mechi. Fun enough...
  8. ngara23

    JamiiForums Tanzania Nina mashaka na afya ya akili ya Mrisho Gambo

    Nimeshangaa Mbunge wa Arusha kuzindua daraja lenye mabanzi mawili Yaani ameenda ni timu ya viongozi kutoka CCM kufanya mzaha na upumbavu kama huu Hilo daraja kulitengeza haizidi elfu 20 za Kitanzania Yaani watu mnajaza mafuta kwenye v8 na Kaunda suti zenu mnaenda kuzindua daraja la mabanzi mawili
  9. Dr leader

    JamiiForums Tanzania Afya ya akili

    Afya ya Akili Afya ya akili ni kitu cha thamani sana, lakini mara nyingi hupuuzwa. Tunapovunjika mguu, watu hukimbia kutusaidia. Lakini tukivunjika moyo, tukichoka kiakili, au tukipoteza mwelekeo wa maisha, wengi huona kama ni udhaifu au sababu ya kubezwa. Kila siku, watu wanatembea mitaani...
  10. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Video: Fahamu kuhusu namna Unywaji wa Pombe kupitiliza unavyoweza kuathiri Afya ya Akili

    Dkt. Shomari Masenga ambaye ni Daktari wa Magonjwa ya Afya ya Akili, anatupitisha kwenye dondoo muhimu za kufahamu kuhusu namna Unywaji wa Pombe kupitiliza unavyoweza kuathiri Afya ya Akili kwa kutueleza; 🎤Nini Fasili ya ya Unywaji Pombe kupitiliza 🎤Pombe imegawanyika katika makundi yapi 🎤Ipi...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dkt Godwin Mollel: NHIF imeanza kugharamia gharama za Huduma ya Afya ya Akili

    Serikali imesema huduma za afya ya akili zimeshajumuishwa kwenye vifurushi vya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), na hivyo wananchi wanaonufaika na bima wanaweza kupata matibabu hayo kwa mujibu wa mwongozo wa matibabu uliopo. Akijibu swali la Mbunge wa Iringa Mjini, Mhe. Jesca...
  12. TUKANA UONE

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Watanzania waishio nchi za Ulaya na Amerika Wana matatizo ya Afya ya Akili

    Wakati ninapokuwa Sina kazi ya kufanya nikiwa nimepumzika,mara nyingi huwa napita pita mitandaoni kutazama hiki na kile ilimradi tu kuipumzisha akili yangu! Nimekuwa nikiona akaunti kadhaa za wabongo waishio nchi za Norway,Finland & Sweden na wachache Canada wamekuwa wakitoa maneno ya dhihaka...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Daud Mwenye changamoto ya Afya ya Akili auawa

    Wakazi Wa Mtaaa Lumbila Kata ya lwambi jijini wamesherekea vibaya Sikukuu ya Pasaka baada ya Kumka Asubuhi na kukuta kijana Daud Adamson Mwaitebele(23) aliyekuwa na tatizo la afya ya akili na changamoto ya kusikia ameuawa na watu wasiojulikana na mwili wake kukutwa shamba la mahindi mita chache...
  14. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Huu ndio ukweli usio semwa kuhusu uvutaji wa bangi na tatizo la afya ya akili

    Bangi haimfanyi mtu kuwa na tatizo la afya ya akili isipokuwa bangi Ina mreveal mtu ambae alikuwa na tatizo la akili lakini jamii haijui kama analo. Meaning what? Kama una vuta bangi na haupatwi na tatizo la akili tafsiri yake ni kwamba wewe ni mzima kichwani kwa viwango vya juu. Una afya ya...
  15. F

    JamiiForums Tanzania OR-Utumishi itatuuguza afya ya akili wasubiri matokeo ya ajira

    OR- UTUMISHI, kuna uwezekano mkubwa sana wa vijana wengi kuugua afya ya akili hasa wale wanaosubiri matokeo ya ajira na hii inasababishwa na ukimya wa muda mrefu unaofanywa na OR- UTUMISHI kwa kukaa kimya bila kutoa mrejesho kwa wasailiwa hasa kada ya ualimu mfano mzuri. AJIRA ZILIKUA 14,000+...
  16. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Tutaondokanaje na makelele kama vile adhana, mikesha , kumbi za starehe, wauza CDs, n.k. yanayosababisha changamoto za afya ya akili kwa jamii?

    Pamoja na wengi kutojali hata kujua hili, kelele au noise pollution licha ya kuwa uchafuzi wa mazingira, husababisha changamoto za kiakili. Si ajabu kuona vichaa wanaongezeka nchini. Watu wengi wana changamoto kwa afya ya akili kutokana na sababu mbali mbali mojawapo ikiwamo ni kelele hasa...
  17. PSL god

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje? Upweke unatafuna moyo wangu vibaya mno

    Asee utu uzima dawa 🙄 Mimi ni mwanaume mtu mzima 35+ ila niseme ukweli moyo wangu unavuja damu za kutosha kila nikiingia nyumbani baada ya mihangaiko nakuwa na void moyoni isiyopimika Sasa hivi kuna kazi inatakiwa nifanye ila nimeshindwa kabisa kufanya asee yaani najisikia kufa kufa hapa...
  18. Fbn

    JamiiForums Tanzania Idadi ya wanajiongelesha wenyewe imekuwa kubwa sana. shida ni nini?

    Nimeanza kushikwa wasiwasi hata Lucas mwashamba inawezekana mada zake zikawa anajiongelesha mwenyewe. Ukiwa unatembea mtaani au njiani watu wengi unakuta wanajiongelesha wenyewe unaweza kusema wameweka maskioni zile earphone lakini sio. Leo nimekutana na mtu jioni hii sijui swahumu imekuwa...
  19. Abti

    JamiiForums Tanzania Nimekata tamaa sana nakufikia kuona kifo ndio suluhisho

    Mimi sio mjuzi wakuandika uzi JF hii ndo mara yangu ya kwanza na inaweza kuwa ya mwisho kama kuna makosa jitahidini kuelewa. Niende moja kwa moja kwenye mada, nahisi leo inaweza kuwa siku yangu ya mwisho kwenye huu uso wa dunia ila nitakuua nimeacha maumivu makubwa sana kwa familia, ndugu...
  20. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Saipulan Ramsey: CHADEMA yahitaji uchunguzi wa Afya ya Akili kwa Kauli yao No reform No Election

    Katibu mwenezi wa CCM Mkoa wa Arusha Saipulan Ramsey azungumza kuhusiana na kauli ya chama chademokrasia na maendeleo chadema No reform No Election nakusema kile chama kinahitaji kipelekewe daktari wa kupima afya ya akili Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025...
Back
Top Bottom