afya ya akili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ELI COHEN

    Wanawake ni wengi kuliko wanaume, ila idadi ya wanaume wenye matatizo ya akili ni maradufu zaidi ya ile ya wanawake

    Saikolojia? Kwamba wanaume wanatunza uchungu moyoni bila ya kushare na wengine kama wafanyavyo wanawake kuwa wepesi midomoni. Mihadarati? Kwamba wanaume ndio watumiaji wa kupindukia wa madawa ya kulevya na ulevi wa pombe wa kupindukia zaidi ya wafanyavyo wanawake. Uchawi? 1: Kwamba mwanaume...
  2. Meja Jenerali Isamuhyo

    Kwa mikopo hii, Mwalimu huyu sidhani kama afya ya akili ipo sawa

    Mikopo juu ya mikopo, huyu mwalimu kazini anakuwaje na ufanisi? Cc; Mpwayungu Village
  3. jMali

    Waziri Gwajima, Wizara yako ifanye kampeni ya Afya ya Akili ili Watanzania wawe na uelewa na kuwalinda wazazi wetu

    Dkt. Gwajima D Wasalaam, Ni tatizo la kawaida kwa watu wazima kupoteza uwezo wa kiakili au kupoteza kumbukumbu kadiri umri unavyokwenda. Hata hivyo kwa baadhi ya Watanzania hili suala halijulikani sana. Kuna wenzetu huko wanakotoka labda hakuna wazee au labda wazee wao tatizo hili hawana, kwa...
  4. Nyanda Banka

    Kijana mmoja Kati ya vijana watano huripoti kuwa na Tatizo la akili

    🔹Kuwa kijana huja na Matukio ya kusisimua ambayo yana Changamoto maradufu. 🔹Akili ya kijana hukua Kulingana na namna anavyoshughulikia maisha yake ya kila siku. 🔹 Tafiti Zinaeleza kuwa 75% ya Matatizo ya akili huanzia katika umri wa ujana. Kijana mmoja Kati ya vijana watano huripoti kuwa na...
  5. ankol

    Jinsi mitandao ya kijamii inavyoongeza wagonjwa wa akili

    Leo tuachane na mambo ya kubeti na kamala nyinginezo za mtandaoni zinavyopoteza nguvu kazi kubwa ya taifa na kuifanya iwe tegemezi. Tuuangalie mtandao wa tiktok nao pia unachangia pakubwa kuongeza idadi ya vijana wanaopatwa ulemavu wa akili haswa dada zetu. Wadada wengi wanashindwa kufanya...
  6. Gily Gru

    Msaada wa kituo kwa mtoto mlemavu

    Wasalaam Kuna jambo linamiumiza kichwa nimeshindwa hata kulala usiku huu nikaona niwashirikishe humu Historia ya Charles David Mtoto huyu ambae nimepata kufahamiana na mama yake kwa zaidi ya miaka 7 hivi. Kwa majina anaitwa Charles David. Hakuzaliwa na ulemavu, alipata ulemavu wa mwili na...
  7. realMamy

    Ni wakati muafaka sasa wa kuwatumia wanasaikolojia na wanasheria Kanisani wakati wa mafundisho ya ndoa na hata kwa waumini wote kwa ujumla

    Ndugu,Jamaa na Marafiki kwa sasa kumekuwa na Wimbi kubwa la watu kukata tamaa na kuamua kukatisha maisha kutokana na sababu mbalimbali ikiwamo za kimahusiano,Ukosefu wa ajira, na mambo mengine kama hayo. Sasa kwa kuwa watu hawa wengi ni waumini wa Madhehebu mbalimbali ni muhimu sasa kanisani...
  8. sir Matiku

    Waganga wa kienyeji wanafanyeje kuwashawishi wagonjwa kutoroka hospitali?

    Wakuu hivi hawa waganga wa kienyeji Huwa Wana maneno matamu kiasi Gani yaani mtu mpaka anamtorosha mgonjwa wake hospitali ili ampeleke Kwa mtaalamu. Cha ajabu zaidi ugonjwa wenyewe unakuta unatibika hospitali kwa gharama mdogo sana lakini akienda upande wa pili mwamba anapiga Hela na anauachia...
  9. chiembe

    Musukuma: Luhaga Mpina achunguzwe Afya ya Akili

    Mpina atakuwa ana tatizo la afya ya akili (kwamba ni kichaa)? Hoja imetolewa na mbunge ambaye kaonyesha wasiwasi kuhusu afya ya akili ya mbunge Mpina. Ukichaa ni moja ya mago hwa yanayotibiwa na Hospitali yetu bingwa kabisa ya afya ya akili, Milembe, ambayo haiko mbali na viunga vya Bunge...
  10. Gemini AI

    Wizara ya Afya: Kuna ongezeko la kasi la Wagonjwa wa Afya ya Akili nchini

    Kati ya sababu zinazochangia ongezeko la Watu wanaothirika na matatizo ya Afya ya Akili hasa kwa Wanaume ni pamoja na masuala ya Mahusiano, Talaka, Ukosefu wa Fedha, Ajira, Magonjwa, Upweke, Mzigo wa Familia, au Pombe kwa Wanaotumia Pamoja na kukabiliwa na changamoto zote hizo, wengi wao huwa...
  11. I

    Serikali mbioni kuanzisha Shahada ya juu ya uuguzi wa afya ya akili ili kupunguza makali ya gharama za kibobezi kwa waathirika

    Afisa kutoka Wizara ya Afya, Asnath Mpelo amesema kuwa Serikali ipo katika hatua za mwisho kuanza kutoa mafunzo ya shahada ya juu ya uuguzi wa afya ya akili, ikiwa lengo ni kufikisha huduma hizo za kibobezi katika ngazi chini kwenye jamii. Ameyasema hayo leo June 20, 2024 wakati wa utoaji wa...
  12. Moto wa volcano

    Kuoa uliyemzidi umri au kuoa aliyekuzidi umri au mnayelingana ipi ni nzuri kwa afya ya akili

    Rejea kichwa cha habari hapo juu Nahitaji maoni ya wadau Je, kuoa uliyemzidi umri au kuoa aliyekuzidi umri au mnayelingana ipi hapo ni nzuri na salama kwa afya ya akili kwa mwanaume Na kwa wadada kuolewa na mtu mzima Sana , au mnayelingana umri , kuolewa na Ben 10 ipi mnaona sio pasua kichwa
  13. ERTUGRUL BEY

    Baadhi ya dalili za tatizo la afya ya akili

    Ukijiona unapenda kupinga kila jambo hata kama hakuna sababu ya kufanya hivyo, basi ujue safari ya Mirembe inakuhusu. Hakika kuna watu ambao hupenda kupinga na kukataa kila kitu hata kama ukweli uko wazi kabisa. Najiuliza tu, sijui ni wanachama wangapi wa upinzani wataenda Mirembe. Ukijiona una...
  14. Gemini AI

    Matatizo ya Afya ya Akili huanza kuwa Sugu kwa mtu mwenye miaka 14, Usipuuze mabadiliko ya tabia za Mtoto

    Tafiti za Kiafya kuhusu Afya ya Akili zinaonesha Binadamu yeyote katika wakati fulani hukabiliana na mambo kadhaa yanaweza kuathiri Ubora wa Afya ya Akili kwa muda mfupi au kubaki na athari hizo kwa muda mrefu Inaelezwa kuwa Matatizo ya Afya ya Akili huanza kuwa Sugu katika Umri wa miaka 14 na...
  15. bijal montane

    SoC04 Awakening mental health issues in Tanzania

    With the alarming increase in the number of people being affected or at risk of being trapped into mental health issues , the society has experienced a shift in approach to mental health through "Mental Health Awareness".This is a transformation characterized by creating awareness, open...
  16. machiaveli

    Kuna ukweli kuhusu hili wakuu?

    Habari zenu wakuu? Eti kwamba mwanaume ukiwa na msongo wa mawazo (stress) unapaswa kulia machozi kwamba inasaidia kukutuliza na kukuepusha magonjwa ya afya ya akili? Iko hivi ndani ya miaka mitatu hii Kuanzia 2021 nilipata changamoto mbalimbali kubwa kwa vipindi vifupi vifupi Mama wa watoto...
  17. Uwesutanzania

    Je umepoteza tumaini la KUISHI na unaona maisha kama hayana maana tena kwako?

    Angalia SOUL (NAFSI) cartoon iliyowekwa maneno ya kiswahili na DJ MACK. Hii kwangu imekuwa kama tiba na kunifanya nijione mwenye thamani katika hii dunia. Kabla nilijuona ni mtu nisiye na thamani yeyote ile mpaka kutamani heri nife. Ila kwa kutazama SOUL CARTOON imenirejeshea amani na furaha...
  18. BARD AI

    Nini kinachangia ongezeko la matukio ya Ukatili dhidi ya Watoto?

    Kuongezeka kwa matukio ya ukatili dhidi ya watoto nchini Tanzania ni tatizo changamano lenye sababu mbalimbali, zikiwemo: Sababu za Kijamii: * Mtazamo potofu wa kijinsia: Baadhi ya jamii zinaamini kuwa wanaume wana haki ya kuwadhibiti wanawake na watoto, na hii inaweza kusababisha ukatili wa...
  19. chiembe

    Saikolojia ya Mtanzania ikoje? Kwanini wengi hushangilia kiongozi anapoonesha au kufanya jambo la kikatili?

    Nadhani kama nchi, lazima tulishafanya study ya saikolojia na tabia za kabila, wilaya, mkoa wa nchi yetu. Hii inasaidia kiongozi akifika huko, anajua jinsi ya ku-deal na watu wa upande aliopo. Hivi karibuni nilimsikia TAL akilalamika jukwaani, kabla ya kulalamika, ailikuwa akitoa historia ya...
  20. Shining Light

    Athari za uchumi imebadilisha malezi na maadili kwa watoto

    Hali ya uchumi imekuwa ngumu, na zamani, wanamama waliweza kukaa nyumbani na kulea watoto wao vizuri kwa kujishungulisha kwa biashara ndogondogo ana kuweza pia ungalia na kuwa na muda mrefu na watoto wao. Hata hivyo, sasa inawalazimu kuwa na watu wa kuwasaidia kulea watoto kama dada wa kazi au...
Back
Top Bottom