karata

Karata (кӏкӏирлӏи) is an Andic language of the Northeast Caucasian language family spoken in southern Dagestan, Russia by 260 Karata in 2010. It has two dialects, Karatin and Tokitin, which are quite different. Speakers use Avar as their literary language.There are ten towns in which the language is traditionally spoken: Karata, Anchix, Tukita, Rachabalda, Lower Inxelo, Mashtada, Archo, Chabakovo, Racitl, and formerly Siux.

View More On Wikipedia.org
  1. Mchochezi

    EPL: Mbio za ubingwa, unampa nani karata yako ya kutwaa ubingwa?

    Licha ya ratiba ngumu, nawapa Man City nafasi ya kunyanyua ubingwa mwisho wa msimu. Arsenal kama kawaida yao kuanzia mwezi march tutaona madudu yao, Liverpool ni tishio lakini hawatobeba ndoo. Kutokana na mechi zilizosalia unampa nani nafasi ya kutwaa ubingwa? Tuambie…
  2. Lidafo

    Paul Makonda ni Karata ya muhimu kwa Rais Samia kuelekea uchaguzi wa 2025

    Habari wanajamvi! Kwa anayefuatilia siasa za Tanzania atakubaliana na mimi kuwa kwa sasa Mh. Paul Makonda Katibu mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndiye anayetamba katika anga za Kisiasa hapa nchini, Ujio wake umekuwa wa kishindo sana na hii ni karata muhimu kwa Rais Samia kuelekea mbio za...
  3. CAPO DELGADO

    FRIENDS OF SIMBA wamerudi kazini MO achanga karata vyema

    Friends of Simba wamerudi kazini TAJIRI na kipenzi cha mashabiki wa Simba, Mohammed Dewji ameteua wajumbe 21 wa Baraza la Ushauri ambao kati yao 13 ni kutoka kwenye kundi lenye nguvu la Friends of Simba. Duru za ndani ya Simba zinasema kuwa uteuzi huo ambao vigogo saba waliwahi kuwa viongozi...
  4. ChizzoDrama

    Karata ya Mahusiano Ilivyomnufaisha Harmonize (Konde Boy) katika mziki wake

    Katika Ulimwengu wa Utandawazi wasanii wamebahatika kuwa na uwanja mpana sana wa kuzitangaza Kazi zao, na moja ya karata muhimu ni mahusiano. Hii hutumiwa na wengi sababu ya urahisi wake (haina gharama). Ukizingatia muziki, ndiyo kwanza matunda yameanza kuonekana hapa kwetu, tofauti na nchi...
  5. kali linux

    Nimewatengenezea SOLDRAX: App ya kucheza na marafiki michezo ya Karata (Arubastini & LastCard) pamoja na Draft style zilizo maarufu Tanzania

    Hello bosses and roses, Kwa muda mrefu nmekua nafikiria namna ya kutumia tech kukuza na kuendeleza mwenendo wa maisha uliozoeleka hapa Tanzania na Afrika kwa ujumla sababu Systems na Apps nyingi tunazotumia zimetengenezwa kufuata mazingira na utamaduni wa nchi za Ulaya, Amerika na Asia. Mfano...
  6. Samatime Magari

    🚨 Toyota Rav 4 Miss TZ moja ya Karata nzuri walizocheza Toyota

    . Rav 4 hii ni generation ya 3 kwa Rav 4 ambayo ina generation 5, Rav 4 Miss Tz Coded XA Imeanza 2005-2012. Na naweza sema ni moya ya gari ambayo imefanikiwa kuwapa watu feeling kama wanaendesha big SUV.. . Kama ile old gari ni ngumu na himilivu aisee ndo maana wakaiita Land Cruiser mtoto na...
  7. sinza pazuri

    Mavokali akichanga karata zake vizuri atakuwa msanii 'A-list' wa Afrika, amebakiza baraka za Diamond tu atoboe

    Msanii chipukizi mwenye bahati ya mtende kuota Jangwani, wakuitwa Mavokali anapasua anga kama masihara. Wengi naamini hammjui Mavokali na hamjui balaa analofanya uko duniani. Basi niwaambie ngoma yake inaitwa Komando imekuwa maarufu sana nchi za wazungu. Hakuna ujanja wowote aliyofanya bali ni...
  8. mtarimbo

    Trump; karata aliyoicheza putini kwa weledi mwishowe akalamba joka

    Akuna asiyejua Trump na Putin ni maswaiba walioshibana na iliaminika Russia walihusika katika kuhakikisha Trump anaingia white House, na hata uvamizi wa Russia kwa Ukraine Trump alihojiwa akadai mbona Putin yupo sahihi. US na vyombo vyake vya usalama walichelewa japokua siyo sana kuugundua...
  9. J

    SoC02 Umuhimu wa Afya ya Akili

    Taifa na wananchi kwa ujumla tunatakiwa kujua na kuelewa umuhimu wa afya ya akili kwa kila mmoja wetu ....hii itasaidia kupunguza mangonjwa mengi yasioambukizwa na kupunguza idadi ya vifo vinavyotokana na kujiua . --- “Jamani, nini hiki tena kila siku kujiua na mauaji yamezidi sana!” ilisikika...
  10. MSAGA SUMU

    Jemedari Said atupa karata yake nafasi ya usemaji klabu ya Yanga

    Kama mnavyofahamu nafasi ya usemaji na nafasi nyingine zipo wazi . Mchambuzi wa michezo ndugu Jemedari Said bin Kazumari ameomba nafasi hiyo huku akiwa ametimiza vigezo kadhaa vya awali Kama elimu na kuwa mwananchi (mwanachama wa Yanga tangu 2001). Tumtakie Heri katika hili.
  11. Roving Journalist

    Tanzania inatupa karata zake nne za mwisho katika Michezo ya 22 ya Jumuiya ya Madola inayoendelea jijini Birmingham, Uingereza

    DUA KWA VIJANA WETU Leo Jumamosi Agosti 6, 2022 Tanzania inatupa karata zake nne za mwisho katika Michezo ya 22 ya Jumuiya ya Madola inayoendelea jijini Birmingham, Uingereza, wakati mabondia wake Wawili na wanariadha idadi hiyo hiyo wakiingia dimbani kupambania medali. Kwa upande wa ndondi...
  12. MamaSamia2025

    CHADEMA wakicheza karata zao vizuri watafufuka kabla ya na kurudi kwenye ubora.

    Nawaamuru wafuasi wa CHADEMA msome kwa makini sana huu uzi na muufanyie kazi. Hivi karibuni kama mmefuatilia mwenendo wa kisiasa hapa nchini inaonyesha CHADEMA (Chama cha Mbowe) hakina matatizo mengi sana na wala watu wengi hawana ubaya nacho. Na pia inaonekana CHADEMA hawana visasi na watu...
  13. L

    Eneo la Somaliland linabadilika kuwa karata ya wanasiasa, badala ya eneo linalotakiwa kuendelezwa?

    Fadhili Mpunji Katika siku za hivi karibuni imetokea hali ya ajabu katika siasa za eneo la Pembe ya Afrika, ambayo inafuatiliwa na jumuiya ya kimataifa. Hali ya kushangaza mgogoro wa ndani wa Somalia, au tunaweza kusema taabu ya watu wa Somalia sasa inaanza kuonekana kama ni neema ya wanasiasa...
  14. T

    Kila nikichanga karata zangu, namuona Dkt. Bashiru akiwa kiongozi wa awamu ya saba

    Ninayoenda kuyaandika hapa yanaweza kuchukuliwa kama masihara au kukosa uelewa wa siasa za nchi hii lakini ni ukweli usiopingika mtu mwenye kariba, mtazamo na uwezo kama wa JPM wa kupambana na mafisadi na wazembe ni Dkt.Bashiru. Uongozi wa Rais Samia unafanya vizuri sana katika kusaka fursa za...
  15. Pile F

    Karata ya Wamachinga imeokotwa

    Ukiwa Dar es Salaam au Mwanza Jiji na baadhi ya Maeneo ya Kabwe na Mwanjelwa Mbeya, pamoja na Jiji la Dodoma utaona Machinga wamepungua sana wamejaribu kutii na kuondoka na bidhaa zao Pamoja na mafanikio haya, kumeibuka ongezeko la Parking mpaka milangoni pa hayo Maduka ya Wale wanaolipa Kodi...
  16. William Mshumbusi

    Ziara ya Rais Samia nchini Marekani, wapinzani wakichezesha vizuri karata zao za diplomasia itasaidia sana kurejesha Demokrasia

    Najua mfumo tulionao umewaumiza Sana na kuwatupa nje ya keki ya taifa. Hivyo hawaumii tu Kama sisi raia wa kawaida Ila wao uumia Mara mbili. Shida wapinzani wanaamua Mambo kwa hasira na kushindana. Raisi anaenda Marekani kwenye mkutano. Na Kama mjuavyo washauri wake ambao naamini NI wacomunisti...
  17. L

    Kutoka Afghanistan, hadi Lithuania, ni nchi gani zinazopenda kuendelea kutumiwa na Marekani kama ni karata ya kutupwa baadaye?

    Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na mwendelezo wa mivutano kati ya China na Marekani ambayo imeripotiwa mara kwa mara na vyombo vya habari. Marekani imekuwa ikitumia ujanja wa kutumia upande wa tatu kujaribu kuiyumbisha China au kuingilia mambo ya ndani ya China, na China imekuwa ikifichua...
  18. GENTAMYCINE

    Kati ya Haji na Barbara nani hapa kazichanga vyema karata zake na yupi kajimaliza na atajutia milele?

    Je, ni Haji Manara ambaye baada ya Kuuamisha Umma kuwa anaonewa hivyo alitamani Simba SC ifungwe majuzi ili aje Kummaliza vyema Adui yake Kisha akaendelee zake Kupiga Pesa ASAS Diary, Azam Products na GSM au ni CEO Barbara Gonzalez ambaye pamoja na Shutuma zote alizopewa ila alichagua Kunyamaza...
  19. safuher

    Wapinzani chezeni karata zenu kwa umakini sana kutokana na Rais tuliyenaye sasa hivi

    Katika nyakati ambazo Wapinzani wanatakiwa wawe makini basi ni nyakati hii. Ni nyakati ya wapinzani kaucha jazba na kuwa wastaarabu sana na wenye kujenga hoja bila MIHEMKO. Kwa sababu sasa hivi sio kwamba CCM ni saafi saaaaaana laa hasha, sababu ni kuwa mama anacheza karata zake kwa utulivu na...
  20. Krikichino

    Karata 3 za Shin Se Kyung wa 6 Flying Dragons

    Kabla sijafuatilia historia yake sikuwahi kujua kama anatimiza miaka 31 mwaka huu.. Anaonekana ni mdogo, ni kama hakui hivi. Shin Se Kyung ndio jina lake na of course ameigiza series nyingi sana, binafsi nilianza kumuona kwenye FASHION KING (2012), THE GIRL WHO SEES SMELL (2015) na yangu pendwa...
Back
Top Bottom