Mara nyingi wakati wa Kampeni za uchaguzi, kumekua na kauli mbalimbali zinazotolewa na vyama vya Siasa au wagombea ambazo zinachagia hofu kwa wapiga kura kujitokeza kupiga kura wakati wa Uchaguzi.
Mfano wa kauli za vitisho ni "Jino kwa Jino" "Moto utawaka siku ya Uchaguzi" Je, wewe mdau...
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imefanya uteuzi wa Madiwani watatu (3) Wanawake wa viti maalum kuziba nafasi zilizoachwa wazi katika Halmashauri tatu za Tanzania bara.
Uteuzi huo umefanyika kwa mujibu wa kifungu cha 86A (1) cha Sheria ya Uchaguzi ya Serikali za Mitaa, Sura ya 292 kikisomwa...
Kuna tafiti imechapishwa katika tovuti ya https://www.mdpi.com/2079-6382/11/9/1222?type=check_update&version=2 unaohusu upatikanaji wa mabaki ya dawa katika nyama za kuku tunazokula hususani wale wa broiler. Utafiti umefanyika Ilala na Kinondoni mkoani Dar es Salaam.
Utafiti huo umebeba...
Agosti 15, 2022 matokeo ya Uchaguzi yametangazwa, Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) ilimtangaza Willium Ruto kua Rais mteule.
Kenya Tume yao wanajiita HURU lakini bado wagombea kama Odinga wanasusia matokeo. Makamishna 4 Kati ya 7 wa IEBC nao wanasusia matokeo. Je, picha Gani wanatupa hapa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 11 Juni 2021 amefanya mabadiliko madogo ya wakuu wa Mikoa na kuteua viongozi wengine kama ifuatavyo:-
=====
Rais Samia Suluhu Hassan, ametengua uteuzi wa Mkuu wa mkoa wa Mwanza Albert Chalamila, na kumhamishia mkoa huo...
Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC jana ilitoa matangazo magazetini kubusiana na uwepo wa nafasi wazi ya Ubunge Jimbo la Muhambwe huko Kibondo mkoani Kigoma.
Hivyo NEC wametoa fursa kwa vyama kutafuta Wagombea wa kuziba nafasi hiyo baada ya Mbunge aliyekua wa jimbo hilo kufariki Dunia Februari...
TANGU Jumatatu ya Oktoba 19,2020 hadi hivi sasa ninapoandika andiko hili, nashindwa kuelewa wala kupata jibu stahiki juu ya kile ambacho vyama vya Siasa nchini Tanzania vinamaanisha pale vinapozungumzia HAKI.
Wagombea na wanachama, wafuasi, wapambe na mashabiki katika vyama hivyo hasa vya...
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dk. Willson Mahera Charles ametoa ufafanuzi juu ya upotoshwaji uliofanywa na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika kuhusiana na mchakato wa Manunuzi wa Karatasi za kupigia kura katika Uchaguzi Mkuu wa 2020.
Nini maana halisi ya Barua hii ya Chama cha ACT Wazalendo waliyomuandikia msajili wa Vyama vya Siasa kujibu Tuhuma dhidi yao.
Ni dhahiri kuwa ACT imekosa imani na mtu waliomsimamisha kuwania Kiti cha Rais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu nchini Tanzania. Na hili linaweza kuwa funzo kwa baadhi...
NIMEKUA mfuatiliaji wa matukio na mijada mbalimbali ya Uchaguzi katika kipindi hiki ambacho Taifa la Tanzania linakwenda katika Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani.
Kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), uchaguzi huo unataraji kufanyika Oktoba 28, 2020...
MAPEMA Juma hili tumesikia baadhi ya vyama vya siasa nchini vinavyoshiriki Uchaguzi Mkuu wa 2020 vikitoa maneno makali dhidi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa kile ambacho wao wanasema kuwa Tume imekosa meno dhidi ya wanaokiuka Maaduili ya Uchaguzi.
Mgombea Urais kupitia Chama cha...
Kuna hoja imezuka leo ofisini kwangu juu ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzanaia bara kua inafaa apewe Makamba na siyo Msekwa.
Ningependa kupata hoja za wadau wengine juu ya hili.
Binafsi ninaona Makamba ukatibu ndio unamfaa maana ni muongeaji sana na vitendo ni vichache.
Msekwa awa Makamu CCM!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.