Pius Msekwa Vs Makamba

Nguruka

Senior Member
Dec 6, 2006
185
124
Kuna hoja imezuka leo ofisini kwangu juu ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzanaia bara kua inafaa apewe Makamba na siyo Msekwa.

Ningependa kupata hoja za wadau wengine juu ya hili.

Binafsi ninaona Makamba ukatibu ndio unamfaa maana ni muongeaji sana na vitendo ni vichache.

Msekwa awa Makamu CCM!
 
Kuna hoja imezuka leo ofisini kwangu juu ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzanaia bara kua inafaa apewe makamba na siyo Msekwa.
ningependa kupata hoja za wadau wengine juu ya hili.
Binafsi ninaona Makamba ukatibu ndio unamfaa maana ni muongeaji sana na vitendo ni vichache.

Mroki, tumejadili sana hoja hii katika uteuzi wa Msekwa kuwa makamu wa mwenyekiti wa chama. Soma katika kiungo hiki, http://www.jamboforums.com/showthread.php?t=6880
 
..miaka nenda rudi wapo serikalini lakini hakuna chochote wamefanya,watimue zao wasitupotezee muda
 
Back
Top Bottom