Makosa ya uchaguzi "Kutoa Siri"

Nguruka

Senior Member
Dec 6, 2006
180
124
NIMEKUA mfuatiliaji wa matukio na mijada mbalimbali ya Uchaguzi katika kipindi hiki ambacho Taifa la Tanzania linakwenda katika Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani.

Kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), uchaguzi huo unataraji kufanyika Oktoba 28, 2020 nchini kote.

Tume kwamaana ya NEC imekua ikitoa elimu mbalimbali na kuwakumbusha watu vitu kwa maana ya Sheria na kanuni zinazosimamia Uchaguzi Mkuu.

Hapo Septemba 22, 2020 Tume kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii iliweka posta ambayo ilizua mjadala mkubwa katika mtandao wa Twitter n ahata kule Instagram.

Mada iliyowasilishwa kama sehemu ya Elimu ya Mpiga kura ni KUTOA SIRI.

Kutoa siri yoyote inayohusu Mgombea au mchakato wowote wa unaoendelea katika Kituo cha Kupigia Kura. Tume ikaenda mbali ikabainisha na Adhabu atakazopata mtu ambaye atabainika kutoka siri.

Adhabu ya mtu atakae kutwa na hatia ya KUTOA SIRI ni faini isyopungua shilingi Laki Moja (100,000) na isiyozidi Laki tatu (300,000) au kifungo kisichopungua miezi sita na kisichozidi miezi kumi au vyote.

Mjadala ukawa mrefu sana kuhuasiana na mada hii huko katika mitandao ya Kijamii, name nikasema uje hapa kwaajili ya wana nzengo nasi tuweze kuuelewa vyema maana ya SIRI katika kituo cha kupigia kura.

Kwa Mujibu wa Kifungu cha 63 (2) cha Sheria ya Uchaguzi, Sura ya 343 na kifungu cha 63(2) cha sharia ya Uchaguzi ya Serikali za Mitaa, Sura ya 292.

Wanaoruhusiwa kuingia kwenye kituoa cha kupiga kura ni pamoja na Mgombea, Mawakala wa upigaji kura na watendaji wengine wanaoruhusiwa na Sheria.

Aidha Kifungu cha 93 cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, Sura ya 343 na kifungu cha 92 cha Sheria ya Uchaguzi ya serikali za Mitaa, Sura ya 292, kabla ya kuingia kwenye kituo cha kupiga kura ni sharti kisheria kuapa kiapo cha kutunza siri. Hivyo ni takwa la kisheria kutunza Siri dhidi ya Mgombea au mchakato wowote unaoendelea ndani ya kituo cha Kupiga Kura.

Tukienda mbali zaidi Sheria katika Kifungu cha 63(5) na (6) cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, Sura ya 343, imebainisha hatua za kisheria zitakazochukuliwa kama kutajitokeza viashiria vya makosa mbalimbali ikiwemo Wizi au Uvunjifu wa Amani na ikibainika kuna rushwa inatendeka mtuhumiwa atawajibishwa kwa Mujibu wa kifungu cha 94 cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi na sharia nyingine za makosa ya jinai.

Hivyo Sheria za uchaguzi ziko wazi na hutekelezwa kwa lengo la kuhakikisha Uchaguzi unakuwa Huru, wa Haki na wenye kuaminika.

Watu wote wanaoingia kituoni hii ni kuanzia msimamizi wa kituo hadi mawakala wa vyama vya siasa hula kiapo hicho. Huo ndio muongozo na ndio kama msingi wa kazi yenyewe.

Hapa sharia pia inatutaka tulio katika kituo cha Kupigia Kura, Kuhesabu kura na hata kujumlishia kura kila mmoja kufanya majukumu yake. Kitendo cha Muangalizi au Wakala wa Uchaguzi kutoka na kutangaza matokeo kabla ujumlishaji haujakamilika ni utoaji wa siri na pindi ikitokea vinginevyo jambo hilo linaweza kuvunjisha Amani.

Katiaka mijadala hiyo wengi walesama kura ni tukio la wazi kwanini tena inakua SIRI. Lahasha kura si jambo la wazi upigaji kura ni siri yako wewe mpigakura. Ndio maana kuna kua na eneo maalum la kujificha ukapiga kura yako pasipo mtu kujua umempigia nani.

Hebu fikiria kila mtu ndani ya kituo ajue Nguruka wa Kigoma amempigia Kamongo wa Chama cha Tikiti ilahali yeye ni kiongozi/mfuasi kindakindaki wa chama cha Papai. Je hapata kua na ugomvi hapo baadae? Hivyo SIRI ni jambo la muhimu kituo cha KUPIGIA KURA.

Nawasilisha

Screenshot (6).png
 
Nikitoa siri kuwa nilipewa rushwa kutoa mwanya wa kura kuchakachuliwa, kosa lipi lina zingatiwa!
Unatakiwa useme "Fulani anataka kunipa rushwa" Sio alinipa Rushwa maana hapo utakua ulisha ruhusu kitendo kufanyika na wewe mpunga ulisha kula. Toa taarifa mapema kwa vyombo husika ili sheria zichukue mkondo wake
 
View attachment 1578594
Jambo la muhimu tufahamu Sheria hii na kanuni ni za mwaka gani ili tuweze kutia michango yetu kikamilifu.
 
Hii

Hii ni sheria Kandamizi
Siwezi ona lissu kura 52 halafu jiwe 531 eti ni kubali watangaze/bandike lissu kura 431 ,jiwe 152.
Lazima ntatoa hiyo siri tuu
 
Hahahaaaaa sasa wewe utakua na lako jambo. Kama mtu kashindwa unafanyaje sasa. Wakala inabidi uwe mpole tu. Au Mmesahau ya wajumbe.
 
Baada ya ufafanuzi huu wa kitaalam Tena uliojitosheleza akijitokeza Tena mtu na chochoko akapimwe akili
 
Back
Top Bottom