Search results

  1. Basi Nenda

    Bodaboda badilikeni, mnaboa

    Niende moja kwa moja kwenye mada yangu. Kuna tabia za hawa jamaa wa bodaboda zinaudhi au kutusumbua, nazifafanua hapa chini. 1. Boda wakikuona tu unakuja wanaanza kupiga honi na wakati mwingine anawasha pikipiki anakufuata, sasa mnadhani sisi ni vipofu? Kama ninahitaji pikipiki nitakuita au...
  2. Basi Nenda

    Je, Rais Samia amesema kweli?

    Leo jumatatu, Septemba 11, 2023 nimemsikia Rais wa Tanzania akisema hivi; 1. Anadai wanaotaka katiba mpya hawajui ni vifungu gani vibadilishwe 2. Anadai katiba haiwezi kuleta maendeleo 3. Kwa kifupi anasema wanaoomba katiba mpya hawajui chochote kile Je, Rais kama kweli aliuliza watu wawili...
  3. Basi Nenda

    Nani Ana ufahamu na IHC GROUP ?

    Katika pita pita zangu kutafuta ajira huko LinkedIn, nimekutana na hili shirika limeweka job post, kwenye Tangazo wameandika kazi itafanyika kapiti-singida lakini nilipoenda kwenye website yao wameandika ni New Zealand Nafasi ya kazi ni Mental Health Support Worker - Paraparaumu, Kapati...
  4. Basi Nenda

    Natafuta spare ya Sony MHC-GNZ7D

    Ningependa kufahamu ni wapi hasa nitaweza kupata spare ya Radio Sony MHC-GNZ7D, spare ninayohitaji ni part yote ya mbele ya Radio,kuanzia chini ya cd door mpaka milango ya tape cassette hapo chini, kwa kifupi ni kwamba Radio imepasuka sehemu yote ya milango ya tape sasa nataka kuirudisha...
  5. Basi Nenda

    INAUZWA Bova safety boot for sale

    Nauza Bova safety boot, imetumika two weeks. Size namba 7 na bei Tsh 80000 (inapungua). Location ni Dodoma. Mawasiliano : 0624 729 398
  6. Basi Nenda

    HP printer yenye scanner inauzwa

    Ina print na ku scan, wino wa color umeisha, location Dodoma mjini Bei; 115000 inapungua Ni nzima , naiuza ikiwa na power cable tu 0624 729 398
  7. Basi Nenda

    Tunatoa huduma za printing na sales managing systems Dodoma

    wakuu, karibuni MR Business, tupo Dodoma, mile 2 mnada wa zamani tuna print T-shirts, mabango , card za harusi , calendar,picha mbao na stickers za aina zote lakini pia tuna sales managing sysytem ya Excel na ya kawaida TUNATUMA KAZI MPAKA MIKOA MINGINE, MALIPO NI BAADA YA KAZI unaweza...
  8. Basi Nenda

    INAUZWA Nauza Halotel MIFI (router) 4G

    Ni router inayotumia single sim card ya Halotel, ipo na box lake ila imetumika kidogo Bei Tsh 40000 Location: Mwanza Charger haina, ila inatumia charger ya simu Halotel wanasema kifaa hiki kina connect devices kumi UPDATE; nilishaiuza
  9. Basi Nenda

    Mama Onema: Mchawi aliyekuwa na dawa ya kuzuia Risasi huko Congo

    Itakumbukwa mnamo 1964 General Mobutu alianzisha mashambulizi huko Rusizi plain (Uvira), eneo hili lilikuwa linashikiliwa na waasi wa Simba-Mulele ,kwa usaidizi wa anga wa jeshi la Marekani mashambulizi haya dhidi ya waasi yanapata changamoto, waasi ikasemekana wanapewa dawa na bibi kizee mmoja...
  10. Basi Nenda

    Askari Magereza aliyesingiziwa kubaka ameachiwa huru

    Hizi kesi tunazosomaga humu kwamba mtu mzima amebaka mtoto kumbe baadhi huwa ni za mchongo Morogoro. Ofisa magereza katika gereza la Kingolwira mkoani Morogoro, Samwel Stanley, ambaye Agosti 22 mwaka 2022 alihukumiwa kifungo cha maisha jela kwa tuhuma ya kumbaka mtoto mwenye umri wa miaka nane...
  11. Basi Nenda

    Hatimaye Munishi afunguka kuhusu gari ya Geodervie

    Yule mtumishi wa Mungu bwn Munishi ameweka wazi juu ya issue yake ya kurudisha gari alilopewa kama zawadi na "Nabii" wa Arusha. Mapema week hii Munishi alikuja hadharani na kuongea kimafumbo kwamba anarudisha gari ya Geodervie sababu hataki "kufanya" anachoombwa na nabii huyo, jambo hili...
  12. Basi Nenda

    Uganda: Mahakama imeamuru mwanamke amlipe 'sponsa' pesa yake

    Huko nchini Uganda Mahakama imeamuru Mwanamke mmoja alipe gharama ya Ush 10 millions kwa sponsa wake kama fidia ya Mwanamke huyo kumuacha njia panda sponsor baada ya kusomeshwa. Imeelezwa mahakamani hapo kwamba sponsor alimsomesha binti chuo pamoja na kumghalamia mambo mengine lakini ilipofika...
  13. Basi Nenda

    Kiwanda cha Coca Cola kinauza soda chafu

    Muda mfupi uliopita nimefungua soda ya fanta orange nikainywa kama mara mbili na kuiweka mezani ghafla nikashtuka kuona kitu cha rangi kama nyeusi kwa chini ya chupa, ikabidi nimwage soda kwenye sink kitu hicho kiligoma kutoka hadi imebidi nitumie opener ya wine kukitoa ndani ya chupa. Muda huo...
  14. Basi Nenda

    Wazazi; watoto wengine wachunguzwe Kama wamebakwa

    Nipo hapa natazama ITV Habari,wazazi wa wanafunzi wanaosoma ile shule ambayo watoto nane wamebakwa hapo Dar es salaam wamedai kwamba baadhi ya watoto wamewambia kwamba matukio ya ubakaji yamekuwa yakifanyika toka Mwaka Jana,japo yame repotiwa Mwaka huu Mmoja wa wazazi wa wanafunzi wanaosoma...
  15. Basi Nenda

    Eid nyumbani kwa bw Juma😂

    Bwana Juma amewafukuza wageni waalikwa nyumbani kwake,sababu haijulikani,pilau limeachwa😀
  16. Basi Nenda

    Isidore Bakanja, Mtumwa aliyeuawa kisa Dini

    Huyu alikuwa kijana mdogo aliye zaliwa mnamo mwaka c. 1887 huko Congo (DRC ya leo)sehemu inaitwa Bondela wakati huo palijulikana Kama Congo Free state na kufariki 15 August 1909 huko Busira,Bakanja alitangazwa mwenye heri tarehe 24 April 1994 na papa John Paul wa pili. Bakanja alikubali imani...
  17. Basi Nenda

    Marehemu Njonjo wa Kenya alikuwa mtata sana

    Muda mfupi uliopita nilikuwa nasoma habari kwenye tovuti ya The citizen kuhusu huyu mzee Njonjo ambaye aliwahi kuwa mwanasheria mkuu wa Kenya kwa takriban miaka 17. Kilichonivutia hasa kuhusu habari hii ni uhusiano kati ya Mwai Kibaki na marehemu mzee Njonjo. Mwandishi anadai wazee hawa waliishi...
  18. Basi Nenda

    vituko vya viongozi wa Africa katika picha

    picha ya kwanza ni waziri wa fedha wa zimbabwe akizindua dampo na picha ya pili ni viongozi wa serikali huko Namibia wakiwa kwenye mkutano ambapo ndani ya ukumbi walifuata taratibu za kujikinga na covid ila badae walitoka nje na kupiga picha ya pamoja
  19. Basi Nenda

    Mfahamu Hanspope, RPC aliyeuawa kikatili na Jeshi la Idi Amini

    Wakuu, hapa JF watu wengi wameeleza sehemu ya Historia ya Zakalia Hans pope hasa kuhusu mkakati wa kumpindua Nyerere, lakini leo nimeona nilete kidogo stori ya Baba yake Zakalia ambaye aliitwa Hans pope. Huyu mzee alikuwa RPC wa west lake (mkoa wa ziwa maghalibi) mkoa huu ulihusisha Kagera...
  20. Basi Nenda

    Aliyekuwa Mkuu wa usalama wa taifa wa zaire afariki

    honore ngbanda nzambo ko atumba ni jina alilojipa wakati wa aunthetication policy miaka ya 70 lakini jina walilompa wandishi wa habari wa marekani ni the terminator huyu alikuwa mkuu wa usalama wa taifa wa zaire na baadaye aliteuliwa na mobutu kuwa mshauri wake wa maswala ya usalama akiwa...
Back
Top Bottom