Uganda: Mahakama imeamuru mwanamke amlipe 'sponsa' pesa yake

Uganda: Mahakama imeamuru mwanamke amlipe 'sponsa' pesa yake

Basi Nenda

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2017
Posts
20,796
Reaction score
48,044
Huko nchini Uganda Mahakama imeamuru Mwanamke mmoja alipe gharama ya Ush 10 millions kwa sponsa wake kama fidia ya Mwanamke huyo kumuacha njia panda sponsor baada ya kusomeshwa.

Imeelezwa mahakamani hapo kwamba sponsor alimsomesha binti chuo pamoja na kumghalamia mambo mengine lakini ilipofika muda wa sponsor kumchumbia binti, binti alidai wazazi wamekataa asiolewe na mzee!

Ndipo sponsor huyo aliamua kufanya uamuzi mgumu wa kutimba mbele ya mahakama huku akiwa amesheheni evidence mbali mbali ikiwemo sms za miamala ya simu alizokuwa akimtumia binti huyo kipindi chote cha uchumba.

The Citizen
 
Huko nchini Uganda Mahakama imeamuru Mwanamke mmoja alipe gharama ya Ush 10 millions kwa sponsa wake kama fidia ya Mwanamke huyo kumuacha njia panda sponsor baada ya kusomeshwa

Imeelezwa mahakamani hapo kwamba sponsor alimsomesha binti chuo pamoja na kumghalamia mambo mengine lakini ilipofika muda wa sponsor kumchumbia binti,binti alidai wazazi wamekataa asiolewe na Mzee

Ndipo sponsor huyo aliamua kufanya uamuzi mgumu wa kutimba mbele ya mahakama huku akiwa amesheheni evidence mbali mbali ikiwemo sms za miamala ya simu alizokuwa akimtumia binti huyo kipindi chote cha uchumba

Lisponser halitaki shida.
 
au

kama vipi mwanamke naye adai mapenzi yote aliyokuwa akitoa
Mapenzi kwani raha alipata mwanaume peke yake au alitoa risiti alipomuuzia hio nyapu? Akaonyeshe USHAHIDI wa EFD basi kwamba jamaa alikatia risiti hanidai
 
Hapana,aliingia makubaliano mwenyewe alipokubali kuwa mke baada ya kusomeshwa
Kama walikubaliana na wakaandikishana hapo sawa.

Me ningemkimbia, natafuta Ile dawa ya kupaka hata tukipishana asinione maisha yake yote😄
 
Binti kama alikua na nia ya kumuacha sponsor angemdanganya kwamba anaumwa kwa miezi 6 angeandaa dokta wake wa mchongo na kumlazimisha huyo sponsor wakapime na majibu yangetoka mwanaume yupo negative na mwanamke ni positive nina uhakika mwanaume angekimbia mbio na kusamehee gharama zote ha ha ha ujinga wa wadada wao wanakurupuka hawana mbinu mbadala.
 
Back
Top Bottom