Search results

  1. Ndebile

    #COVID19 Waziri Ummy Mwalimu, chanjo za UVIKO-19 zinakaribia kukufedhehesha

    Kwa mwezi mzima napokea SMS 10 hadi 15 kwenye simu yangu kwa siku zinazosomeka hivi: " ndugu Shitunguru Bunzali Joseph Umefanikiwa kupata chanjo ya UVIKO- Janssen. Unaweza kuangalia cheti chako cha electronic kupitia link..." Jumbe hizi zinatumwa kutoka kwenye namba 199, pia majina ya mtu...
  2. Ndebile

    Kenya 2022 Maandamano ya "Bila chakula hatupigi kura" Kenya!

    "..waache wajiweke lockdown sisi tunenda shambani kulima, njaa itawatoa huko walipojifungia...." JPM (RIP) Hakika unabii wake umetima na kamwe hakuna neno lake litakalopita bila kutimia! Wakenya wameanza kuonja machungu ya uviko baada ya bei unga kuzidi kupaa ambapo majuzi walitishia kususia...
  3. Ndebile

    Kikosi cha Usalama Barabarani Jiji Mwanza chukua Tahadhali Mapema

    Hizi gari ndogo za abiria aina ya Toyota Hiace za njia ya Mwaloni - Shibula kupitia Kiseke PPF ni hatari na zitamaliza watu....mwendo Kasi, madereva na kondakta wote wanakuwa wamelewa kuanzia asubuhi, gari ni mbovu Sana (ni Hiace mbili tu zenye unafuu) njia hii hakuna trafiki hata mmoja...
  4. Ndebile

    Laptop Used Inahitajika Haraka

    Nahitaji kompyuta mpakato yenye sifa zifuatazo: Brands: Dell au Hp Processor: Core i3 2.2Ghz au zaidi Ram: 4gb au zaidi Hard drive disc: angalau 500gb Screen size: 15" au zaidi Ukiwa kanda ya ziwa kwa maana ya Mwanza, Shinyanga, Geita itakuwa poa zaidi
  5. Ndebile

    Ukwepaji Kodi: Waziri Mwigulu mbinu ulizosema ni za zamani sana

    Nikupe mfano, muagize mtu wa "kawaida" ambaye muonekano wake ni wa kawaida yaani asiwe kama ofisa flani hivi aende duka maarufu hapa Mwanza linanoitwa Mwanza Huduma: wanauza vifaa vya ujenzi anunue sementi, mabati, nk pale kuna mbinu mpya. Unapewa risiti halali kabisa ya TRA na unaambiwa ni ya...
  6. Ndebile

    Ufunguzi wa Olympic Tokyo Japan: Bendera ya Tanzania imeingia peke yake

    Wakuu wenye uelewawa wa haya mambo, naona bendera ya nchi yetu ameibeba mzungu mmoja ambaye sina uhakika kama ni mwanamichezo au kiongozi wa Tanzania! Je huu ndio utaratibu mpya au ndio hivyo tumekosa watu wa kushiriki? Labda wanamichezo watafika kesho! Acha tuendelee kuwashangilia majirani zetu!
  7. Ndebile

    Natamani kupaza sauti kuhusu uonevu huu ila...

    Nipo kibaruani mchana wa leo (nimerudi kazini awamu ya sita baada kama nilivyohaidi), nimempokea mama na kichanga chake ambaye amejifungulia kazini kwenye kiwanda cha Mchina (sehemu sitaitaja) ila ni mazingira mabaya kujifungulia binadamu, mama hana kadi ya kliniki na bahati nzuri alikuja...
  8. Ndebile

    Vodacom acheni hii hujuma kwa Watanzania!

    Kwanini kutuma pesa kutoka Voda kwenda Voda inakuwa rahisi na huduma inakuwepo muda wote ila kutuma mtandao tofuti mnasuasua! Leo kuanzaia saa kumi na mbili asubuhi hadi sasa hivi saa nne huduma ya kutuma pesa kwenda mtandao mwingine hakuna! Tatizo hili sio leo tu bali limekuwa likijirudia mara...
  9. Ndebile

    ISIS Wameuteka Mji wa Palma Kaskazini mwa Msumbiji

    Habari ya hivi punde kutoka kituo cha televisheni cha France24, Mungu ibariki Msumbiji, Mungu ibariki Afrika.
  10. Ndebile

    TCRA imulike hujuma inayofanywa na Star TV (Kisimbuzi cha Continental)

    Wamefunga channel za bure kama TBC1, nk. kwa muda sasa, mwanzoni walikuwa wanazifunga kwa siku za mwisho wa juma na kuzifungua Jumanne ila sasa naona kwasababu ya ukimya wenu wamezifunga kabisa na hivyo kuwanyima Watanzania habari ambayo ni haki yao. Tunaiomba TCRA hawa watu wafuate masharti ya...
  11. Ndebile

    Ushuhuda Kuhusu "Njama" za Mabeberu kwa Nchi Maskini

    Naanza kwa kukiri kuwa mimi sio mwandishi mzuri ila uzi wa Pascal Mayalla umenifanya nijitutumue kuandika. https://www.jamiiforums.com/threads/mebeberu-wana-malengo-na-tanzania-waanza-uzushi-wa-fujo-baada-ya-jpm-ccm-kush. Nilitaka nitumie neno wazungu au mataifa ya Magharibi badala ya...
  12. Ndebile

    Hizi mboga zinaitwaje kwa Kiswahili na zinapatikana wapi?

    Wakuu habari za weekend, Naomba msaada wa haraka wa namna ya kupata mboga hizi na ikibidi mbegu zake. Na je, nikienda sokoni niziulize kwa majina yapi, maana nimeelekezwa na mtu ambaye si Mswahili naye kazitaja kwa majina haya: 1. Watercress 2. Parsley .
  13. Ndebile

    Hongera sana Hospitali ya mkoa wa Mwanza kwa ubunifu huu

    Upungufu wa watumishi wa sekta ya afya ndio changamoto kubwa, changamoto nyingine ni watumishi wachache waliopo kufanya kazi zaidi ya uwezo wao. Mfano nesi mmoja kuwahudumia wagonjwa hadi 40 au zaidi kwa siku na wakati mwingine hata kunyimwa siku za mapumziko kwa sababu ya baadhi ya zamu kukosa...
  14. Ndebile

    Siri ya kifaru cha Bukoba

    Kama umezaliwa au umewahi kuishi Bukoba wahaya wanaamini kuwa ukimtendea mtu jambo baya anaweza kwenda kwa mganga ambaye anamiliki "kifaru" ambacho ukitumiwa kina uwezo wa kufyeka migomba, mibuni na mazao yote kwenye shamba(ekibanja) hata wakati mwingine kuchoma nyumba. Pamoja na sifa za...
  15. Ndebile

    Mashine Ya Kukamua Juisi ya Muwa Yenye Muundo Huu Inahitajika

    Wakuu habari za majukumu, nahitaji mashine ya kukamua juisi ya miwa ya umeme yenye "roller" 3 au zaidi. Motor yake isiwe chini ya 1HP, muundo ninaotaka uwe sawa na huu kwenye picha niliyoweka. Zile za kuunda kwenye "viwanda vyetu" hapana. Lazima iwe imported. Asante sana kwa kunielewa
  16. Ndebile

    Waziri wa Mifugo na Uvuvi uje Mwanza uone kasi mpya ya uvuvi haramu

    Nipo hapa Igombe wilaya ya Ilemela jijini Mwanza kwa mwenyeji wangu ambapo nimekaa siku tatu sasa. Nimeshuhudia uvuvi haramu wa kutumia kokolo kwa kasi ya kutisha, yaani juhudi zote zilizokuwa zimefanyika kutokomeza hii hali na hali ya upatikanaji wa samaki kuwa wa kulidhisha sasa zimepotea...
  17. Ndebile

    Canada yawa nchi ya pili duniani kuhalalisha matumizi ya bangi hadharani

    Kuna wakati nilimwambia rafiki yangu kuhusu hizi "TV show" za askari wakifyeka mashamba ya bangi iliyostawi vizuri kuwa zitakuja kuwa "majuto ni mjukuu" Leo jumatano wananchi wa Canada watanunua na kuvuta bangi kwa ajili ya "burudani" kabla ya hapo bangi ilikuwa inatumiwa kama tiba kwa...
  18. Ndebile

    Msaada: Utaratibu wa kuomba Leseni ya Kuagiza Pombe Kali Ndani Jumuiya ya AfrikaMashariki

    Mods naomba huu uzi ubakie hapa na sio Jukwaa la Biashara. Kuna aina ya pombe kali inapendwa sana na watumiaji hapa nchi, nimekuwa natumiwa kama zawadi ila kila ninayemuonjesha anaipenda kiasi nimeanza kupata order zisizo rasmi. Naomba mchango wenu wana jf kuhusu taratibu za kufuata ili kupata...
  19. Ndebile

    Mfanyabiashara Mtanzania Aliyepo Kampala

    Japo watanzania tumeambukizwa kutoaminiana ila nina imani wapo wenye mioyo safi! Natafuta mtanzania aliyepo Kampala, nina wazo zuri la biashara kati ya nchi hizi mbili. Kazi yake ni kufanya utafiti wa soko kwa maana ya bei, wafanyabiashara wanaohusika na biashara hii, nk. Idea na mtaji ninavyo...
  20. Ndebile

    Wapi Nitapata Generator Aina Hii?

    Hii hapa chini:
Back
Top Bottom