Wapi Nitapata Generator Aina Hii?

images.jpg
Zinaitwa Invertor generator, zipo brand nyingi tu mf: Honda, Yamaha, Robin, nk. Iwe ina watts 1500 hadi 2000, hata kama ni mtumba basi usiwe umetumika sana hapa Tanzania.
Natanguliza shukrani.
 
Jaribu kuwasiliana na Car & General Trading Ltd kwa namba +255 22 2 113 016. Wapo pale Dar jirani kabisa na ilipo posta mpya.
 
Nenda barabara ya nyerere kabla ya
View attachment 505260 Zinaitwa Invertor generator, zipo brand nyingi tu mf: Honda, Yamaha, Robin, nk. Iwe ina watts 1500 hadi 2000, hata kama ni mtumba basi usiwe umetumika sana hapa Tanzania.
Natanguliza shukrani.[/
Nenda barabara ya nyerere kabla kiwanda cha sigara kuna maduka ya manji pale wanazo
 
Una nunua bei gani kwani ninayo ipo YomboTemeke. Nitakutumia picha baadaye nilkirudi nyumbani.
 
Kuna siku niliziona pale mitaa ya uhuru. Road arusha, nikaulizia bei ilikuwa mil na laki 2
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom