Search results

  1. Kaluluma

    Sikio linachimbika : PICHA Msaada mwenye kujua tiba

    Habari za leo wakuu, Nina muda wa wiki mbili Sasa Niko porini, Limeibuka tatizo kwenye sikio langu la kushoto, Nimeenda hospitali nimetumia dawa nilizopewa lakini hali bado haijatengemaa, Yeyote mwenye kujua tiba ya tatizo hili au aliyewahi kufikwa na hii shida akaitatua naomba anisaidie...
  2. Kaluluma

    Kuna uhusiano wowote wa tumbo kubwa kwa mwanamke na matumizi ya vijiti au njia za uzazi wa mpango?

    Habari za leo wakuu, Nasikia watu mtaani wakisema matumizi ya njia za uzazi wa mpango kama kuweka vijiti huchangia wanawake kuwa na matumbo makubwa, Je, wataalamu, Kuna ukweli wowote katika hili?
  3. Kaluluma

    Tabora wapi wanauza simu nzuri used na mpya?

    Habari za leo wakuu, Nimefika Tabora( toronto ) mjini. Hapa, kwa wenyeji naomba muongozo wapi wanauza simu mpya na used (samsung, google pixel, iphone) at a reasonable price katika mji huu? Nb: Ukirecommend duka lako au mtu unayemfahamu ni vizuri pia. Nikipata username za instagram ili...
  4. Kaluluma

    Nitapata wapi instander apk iliyo stable?

    Habari wakuu nilikuwa natumia instander(clone ya instagram) kwa muda sasa, Hivi karibuni imeanza kuomba update lakini kila nikiupdate sifanikiwi kuupdate, Hatimaye nikaamua kuuniinstall ili nidownload latest version lakini kila ninayoipata inafail naambiwa "there is error with this package"...
  5. Kaluluma

    Pedrollo 0.5 hp water pump haipandishi maji

    Habari za leo wakuu, Nimenunua pedrollo 0.5 hp water pump kwa ajili ya matumizi ya kujaza maji kwenye matenki ya matumizi madogomadogo hapa nyumbani lakini kila nikiwasha na nikifanya primming naona bado haiwezi kupandisha maji, Yeyote aliyewahi kukutana na changamoto kama hii...
  6. Kaluluma

    Hivi ni lazima kutoa Z report kila siku hata kama hujauza kitu?

    Habari za leo wakuu, Kwa wafanyabiashara wanaotumia efd machine kuna ulazima wa kutoa Z report kila siku hata kama hujauza kitu kwa siku husika?
  7. Kaluluma

    Mashine ya Efd inatoa risiti kwa tarehe za nyuma tofauti na tarehe ya mauzo

    Habari za leo wakuu, Kwenye mapambano yangu ya hapa na pale nimehitajika kutumia mashine yangu ya kutolea risiti ambayo bila kutarajia imetoa risiti kwa tarehe ya nyuma ya mauzo Bidhaa nimeuza tarehe 20 May Risiti imetoka imeandikwa tarehe 16 may Mwenye utaalamu katika hili naomba...
  8. Kaluluma

    Isuzu forward haipigi honi wala haishushi kioo

    Habari ndugu zangu, nipo na Isuzu forward hapa Ina kama siku mbili imesimama ghafla kupiga honi na kushusha kioo upande wa dereva. Nimejaribu kumcheki fundi umeme wa magari ananiambia shida ya gari inaweza kuwa kwenye fuse za gari, Tumebadili fuse zote lakini bado changamoto iko...
  9. Kaluluma

    Fisi aliyekula mtoto wa miaka miwili auawa

    Kutoka Tabora, Wilayani Kaliua Kijiji cha Uyumbu Fisi ameuawa asubuhi ya leo Tarehe 5 April 2023 Fisi huyo anatuhumiwa kumuua mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka miwili na kumla kisha kubakisha utumbo siku ya Jumanne tarehe 04 April 2023. Fisi huyo ameuawa kwa ushirikiano wa wananchi pamoja na...
  10. Kaluluma

    Nashindwa kupata notification kwenye jamiiforums apk

    Habari wakuu Naomba mwenye solution ya hili tatizo anisaidie tafadhali Nimesubscribe nyuzi kadhaa Ila nikifungua mahali pa notification nakuta "no notifications" Natanguliza shukrani[emoji120]
  11. Kaluluma

    Tumbo linaunguruma hadi kero

    Habari za leo wakuu, tumbo langu linaunguruma mpaka linanitia wasiwasi Yeyote mwenye kujua tiba ya hili tatizo anijulishe tafadhali Nashindwa kukaa sehemu zilizotulia kuhofia mlio wa tumbo Leo nipo na maboss hapa yaani sina amani[emoji1] Msaada wa haraka unahitajika. Natanguliza...
  12. Kaluluma

    Unatumia Cashbook apk gani ya Android kurekodi mapato na matumizi yako?

    Habari za leo wakuu, Kijana wenu naomba mwenye uzoefu na utaalamu wa kurecord mapato na matumizi kwa kutumia android app anisaidie ni ipi iliyo bora na yenye mpangilio mzuri. Natanguliza shukrani[emoji120] MALI BILA DAFTARI HUISHA BILA HABARI.
  13. Kaluluma

    Hivi hii njia inaweza kusaidia usiibiwe gari?

    Habari za le OK wakuu, kuna post moja nimeona mahali nikaona labda inaweza kuwa option ya angalau kidogo kuchelewesha gari lako kuibwa Ila japo naona kuna uwezekano mkubwa wa kuvunjika miguu ikitokea umepata ajali. Mnaionaje wakuu??
  14. Kaluluma

    bedsofa 5 kwa 6 mpya dodoma kwa bei rahisi

    Habari wakuu,wale wa Dodoma ninawaletea bedsofa 5 kwa 6 mpya kwa 175000 tu. Piga simu hapa 0624008133 mipango
  15. Kaluluma

    Mwenye kujua kuhusu Twiga Force na inapopatikana

    Habari za leo wakuu,hebu mwenye kufahamu kuhusu hii kitu iitwayo twiga force anijuze.Natanguliza shukrani
  16. Kaluluma

    INAUZWA Bedsofa mpya Dodoma

    Habari wakuu nauza bedsofa mpya hiyo 190000 mipango Dodoma 0624008133
  17. Kaluluma

    Anayehitaji saidia fundi, fundi seremala mwanafunzi au msaidizi wa kazi yeyote inayohitaji nguvu Dodoma anisaidie

    Habari za leo wakuu. Napitia kipindi kigumu sana kiuchumi Naomba kwa yeyote mwenye uwezo wa kunisaidia kibarua cha malipo ya siku au vyovyote vile nipo tayari. Naweza kufanya saidia fundi au kazi yoyote ya nguvu. Nina uwezo wa kutumia cherehani kwa ufasaha kabisa Au kama unaweza kunielekeza...
  18. Kaluluma

    Why do some suicide missions fail?

    Habari za leo wakuu, naomba kujuzwa inakuwaje mpaka mtu anashindwa kutimiza lengo lake la kujiua? Je ni kusema kuwa sumu anayotumia haina nguvu au ni kwamba muda wake haujafika? Naombeni majibu kuna utafiti nafanya hapa niandae ripoti. Natanguliza shukrani
  19. Kaluluma

    Phone4Sale Samsung S8 plain inauzwa

    64 gb rom 4 gb ram double line(duos) 4g 3000 mAh battery clean no crack 260k 0624008133 Dodoma
  20. Kaluluma

    Nina hiki kidogo naomba mnishike mkono wana Dodoma

    Habari za leo wanajamiiforums. Naomba mwenye connection ya kibarua chochote cha malipo ya siku kwa Dodoma aniunganishe. Nitatoa shilingi elfu kumi(10,000) kama shukrani. Naweza kuwa kondakta wa daladala, kiwandani, saidia fundi, najua kuendesha pikipiki japo sina leseni n.K. Mimi ni mwanaume...
Back
Top Bottom