Tabora wapi wanauza simu nzuri used na mpya?

Kaluluma

JF-Expert Member
Mar 7, 2019
454
584
Habari za leo wakuu,

Nimefika Tabora( toronto ) mjini. Hapa, kwa wenyeji naomba muongozo wapi wanauza simu mpya na used (samsung, google pixel, iphone) at a reasonable price katika mji huu?

Nb: Ukirecommend duka lako au mtu unayemfahamu ni vizuri pia.

Nikipata username za instagram ili nipitie bidhaa nitashukuru zaidi.

Upande wa hardware namrecommend Mwafrika hardware

Jamaa ana vitu vizuri at a reasonable price, Sijajutia kufika dukani kwake.😁

Natanguliza shukrani zangu za dhati🙏
 
Back
Top Bottom