Sikio linachimbika : PICHA Msaada mwenye kujua tiba

Kaluluma

JF-Expert Member
Mar 7, 2019
454
584
Habari za leo wakuu,

Nina muda wa wiki mbili Sasa Niko porini,

Limeibuka tatizo kwenye sikio langu la kushoto,

Nimeenda hospitali nimetumia dawa nilizopewa lakini hali bado haijatengemaa,

Yeyote mwenye kujua tiba ya tatizo hili au aliyewahi kufikwa na hii shida akaitatua naomba anisaidie alijikwamuaje,

Naambatanisha na picha chini
PXL_20240305_035744245~2.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom