Zinakuja kwa muda tu ila unsubscribe au unwatchMie naomba msaada, sitaki notification [emoji348]
Kila post ninayoshiriki mtu aki coment au ku like napata notifications, naomba msaada wa kuzuia hii kitu
Sent from my 2107113SG using JamiiForums mobile app