Tumbo linaunguruma hadi kero

Kaluluma

JF-Expert Member
Mar 7, 2019
454
584
Habari za leo wakuu,

tumbo langu linaunguruma mpaka

linanitia wasiwasi

Yeyote mwenye kujua tiba ya hili

tatizo anijulishe tafadhali

Nashindwa kukaa sehemu

zilizotulia kuhofia mlio wa tumbo

Leo nipo na maboss hapa yaani sina amani

Msaada wa haraka unahitajika.

Natanguliza shukrani

Sent from my OPPO A57 using JamiiForums mobile app
 
Tafuna tangawizi au meza majivu laini
 
Habari za leo wakuu,

tumbo langu linaunguruma mpaka

linanitia wasiwasi

Yeyote mwenye kujua tiba ya hili

tatizo anijulishe tafadhali

Nashindwa kukaa sehemu

zilizotulia kuhofia mlio wa tumbo

Leo nipo na maboss hapa yaani sina amani

Msaada wa haraka unahitajika.

Natanguliza shukrani

Sent from my OPPO A57 using JamiiForums mobile app
Tumbo kuunguruma inaonyesha una gesi nyingi tumboni acha kula vyakula vyenye gesi nyingi kama maharage na soda za aina zote. Kunywa maji ya uvuguvugu kila unamaliza kula kula karafuu 4 matatizo ya gesi yatakuondoka uguwa pole.
 
Akhsante sana mkuu
 
Pole sana kama ipo hivyo, na hupati choo kizur,nenda hosp, lkn pia jaribu kupunguza kula carbohydrates kwa wingi especially ngano
 
Pima minyoo, kama unao, wala usitumie hizo dawa kawaida za minyoo, tafuta Prazquantel, dawa ya minyoo wa kichocho, hata kama huna meza hizo dawa.. Ulete majibu hapa, baada ya siku 14 rudia dose nyingine.. Then after 14 days, kaa mwezi mzima, alafu rudia dose ya mwisho.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom