Kuna uhusiano wowote wa tumbo kubwa kwa mwanamke na matumizi ya vijiti au njia za uzazi wa mpango?

Kaluluma

JF-Expert Member
Mar 7, 2019
454
584
Habari za leo wakuu,

Nasikia watu mtaani wakisema

matumizi ya njia za uzazi wa

mpango kama kuweka vijiti

huchangia wanawake kuwa na

matumbo makubwa,

Je, wataalamu, Kuna ukweli wowote katika hili?
 
Elimu Kwa wengi wao NI sifuri,,na ile ishu inaenda sambaratisha mfumo wa homoni wa Mwili wa mwanamke asipokuwa na elimu ya kutosha NI zaidi ya tatizo,,kansa za vizazi,,,bleeding zisizo na kikomo,,maumbile kubadilika NI lazima na wanapewa kama njugu kwenye groceries za dawa (maduka ya dawa baridi za binaadamu)bila elimu ya kutosha na madhara yake kiundani.
 
Ni hatari kwa kweli ndugu
 
Matumbo makubwa ni ulaji wa vyakula bila mpangilio wa kiafya matokeo yake mafuta yanajaa mwilini yanakwenda kukaa maeneo yenye soft tissues kama tumboni, nyuma ya mikono, mbavuni, etc.
 
Shukrani kwa elimu mkuu
 
Elimu Kwa wengi wao NI sifuri,,na ile ishu inaenda sambaratisha mfumo wa homoni wa Mwili wa mwanamke asipokuwa na elimu ya kutosha NI zaidi ya tatizo,,kansa za vizazi,,,bleeding zisizo na kikomo,,maumbile kubadilika NI lazima na wanapewa kama njugu kwenye groceries za dawa (maduka ya dawa baridi za binaadamu)bila elimu ya kutosha na madhara yake kiundani.
hizi side effects huwezi wasikia watoa huduma za afya wakizizungumzia wanahimiza kutumia hayo madude ukiwauliza madhara yake wanasema hakuna
lakin nyuma ya pazia wanaotumia hayo madawa asilimia kubwa wanakumbwa na matatizo kama kukosa bleed kwa wengine
mauvimbe kwenye kizazi ndio hayo matumbo yanakuwa makubwa
kunenepa sana au kukonda
kukosa uzazi kabisaa au kuchelewa
 
Duh,hii mbona hatari sana
 
Habari za leo wakuu,

Nasikia watu mtaani wakisema

matumizi ya njia za uzazi wa

mpango kama kuweka vijiti

huchangia wanawake kuwa na

matumbo makubwa,

Je, wataalamu, Kuna ukweli wowote katika hili?
Mimi sio dr lakini %kubwa ya wanawake wenye vitambi ni hawa katika makundi yao
wala chips
wapenda soda
wala mishikaki nyama nyama
wanawake wanao kula kula ovyo na wanywa bia wengio wao wana vitabi

halafu mbona moshi wamezidi sana? Nitarudi kufanya utafiti pale. unakuta mwanamke hana tako lkn ana likitambi kama kiboko hawavutii kabisaa
 
Elimu Kwa wengi wao NI sifuri,,na ile ishu inaenda sambaratisha mfumo wa homoni wa Mwili wa mwanamke asipokuwa na elimu ya kutosha NI zaidi ya tatizo,,kansa za vizazi,,,bleeding zisizo na kikomo,,maumbile kubadilika NI lazima na wanapewa kama njugu kwenye groceries za dawa (maduka ya dawa baridi za binaadamu)bila elimu ya kutosha na madhara yake kiundani.
Uvimbe kwenye mirija ya uzazi
Mirija ya uzazi kuziba mpaka atatakiwa asafishwe na akisafishwa inaziba tena
Uharibifu wa mji wa Mimba
Kizazi kuhama kutoka kwenye sehemu yake na kukaa sehemu hatarishi

Ebwana ni mengi, Ila kuna mmoja aliniambia yeye mirija imeziba chanzo hayo mavijiti Ila sasahivi wamehamia kwenye P2 zinamezwa km Pipi tofu
 
Back
Top Bottom