Search results

  1. Y

    Msaada: Gari langu lina tatizo la kushtuka stuka nikiwa barabarani

    Habari wana JF. Naombeni ushauri kwa mafundi au yeyote anayeweza kujua tatizo la gari langu. Nina gari aina ya Hirrier vijana wanaita (matako ya nyani). Gari hili nimenunua mwishoni mwa mwaka 2018. Takribani miezi mitatu, gari lilianza tatizo la kushtuka stuka (inakita) ukiwa mwenye mwendo. ...
  2. Y

    Ushauri kwa makampuni ya simu kuhusu matumizi ya line za simu

    Hongereni kwa majukumu ya kazi wadau wa mawasiliano. Naomba kutoa ushauri kwa makampuni ya simu kuondoa matumizi la line nyingi kwa huduma zinazofanana. Wazo hili limenijia baada ya kutakiwa kusajili line nyingi kwa matumizi yaleyale kama jina langu. Nilifungua biashara A ambayo nilihitaji kuwa...
  3. Y

    Wapi wanafundisha "kung fu" kwa ajili ya watoto naishi hapa Dar es Salaam?

    Salaam wana JF. Nina vijana wangu wawili Me na Ke umri ni miaka 12 na 8 respectively. Nataka niwape hawa madogo mafunzo ya self defense hivyo nauliza ni wapi wanafundisha *Kom Fu au Karate" kwa hapa Dar es Salaam? Lengo ni kuwafanya angalau waweze kujihami kwa issue ndogo ndogo.
  4. Y

    Natafuta kiwanja Bunju au Mbweni

    Salaam wadau. Ninatafuta kiwanja lililopimwa kwenye mradi wa viwanja 20,000 eneo la Bunju au Mbweni. Ukubwa wa kiwanja kiwe si chini ya sqm 1,500. Kama unacho tafadhali tuwasiliane hapa au PM. Tafadhali uje na bei kabisa.
  5. Y

    Natafuta kiwanja Dodoma maeneo ya Kisasa , Ipagala au Nzuguni

    Salaam wadau. Natafuta Kiwanja Dodoma maeneo ya Kisasa, Ipagala au Nzuguni. Kiwe kimepimwa na kiwe na hati kwa Matumizi ya makazi. aksanteni.
  6. Y

    Ninaomba vyama vya siasa viwe makini kupendekeza Mgombea Mwenza kwenye Uchaguzi Mkuu

    Katika mchakato wa kupata Rais wa JMT, katiba inaelekeza kuwa ni lazima kuwe na mgombea mwenza ambaye Rais akishinda uchaguzi then mgombea mwenza huyo anakuwa Makamu wa Rais. Nikiri kuwa sikuwahi kuchukua cheo cha Makamu wa Rais kwa uzito mkubwa. Mara nyingi niliona kuwa makamu wa Rais ni takwa...
  7. Y

    Ni wapi wanafundisha muziki kwa Dodoma?

    Habari wana JF, Bila kupoteza muda wenu, Ninaomba kujua ni wapi wanafundisha kupiga vyombo vya mziki kama gitaa na piano kwa Jiji la Dodoma. Nashukuru
  8. Y

    Ushauri: Kati ya nyaya za umeme kuzunguka nyumba (electric fence) na kamera za ulinzi (CCTV camera) ipi inafaa kwa matumizi ya nyumbani?

    Salaam wadau. Kama kichwa cha habari kilivyo. Mtaani kwetu tumekuwa tukisumbuliwa sana na vibaka wanaoiba vitu vya ndani hasa TV. Ninawaza kufunga either CCTV camera au nyaya za umeme kuzunguka ukuta. Uwezo wa kuzifunga zote kwa sasa sina. JF ina wadau waliobobea kwenye nyanja mbalimbali...
  9. Y

    Wapi wanafundisha kupiga kinanda hapa Dar?

    Nimekuwa nikitamani kujua kujifunza kupiga kinanda. Muda umefika sasa ambao naona ni mwafaka kuchukua hatua ya kujifunza na kuachana na kutamani tu! Naomba kujua ni wapi wanafundisha ili nami nijiunge kusoma. Aksante
  10. Y

    Msaada: Natafuta mashine za kunyoa nywele

    Kulingana na janga la Corona. Nimeamua madogo niwe nawanyoa mwenyewe nyumbani. Naomba kujua nitapata wapi hizi mashine kwa hapa Dar es Salaam?
  11. Y

    Bodaboda uliyekwapua simu yangu maeneo ya Urafiki ukatubu la sivyo kifo chako hakiko mbali

    Wasalaam wana JF. Leo nimekwapuliwa simu na bodaboda maeneo ya urafiki karibu na stendi ya Kilimanjaro Express. Issue ilikuwa hivi. Nilikwenda kupokea mgeni wangu hapo stendi mida ya saa 3 usiku huu. Katika kuwasiliana na mgeni wangu kumbe bodaboda kanilia mingo. Nimeshtukia simu imekwapuliwa...
  12. Y

    Wanawake kuweni wabunifu wa kupiga mizinga

    Hizi style za mizinga zimezoeleka sana mpaka zinachosha kusikiliza. 1. Kuna msiba naomba uniongezee nauli nikazike 2. Mama anaumwa nataka nikamwone 3. Simu yangu imedumbukia kwenye maji nataka nikategeneze/ ninunulie. Tafadhali tafuteni swaga mpya hizi zimezoeleka mno Uzi tayari.
  13. Y

    Mkasa gani umewahi kukutana nao kwenye nyumba za kulala wageni (gesti) mpaka ukajisemea nini hii?

    Leo naomba tuambiane visa mbalimbali ambazo tumekutana nayo kwenye nyumba za kulala wageni (guest houses) ambazo kimsingi umeshindwa kuelewa kilichotokea kwa macho ya kawaida. Binafsi nitaelezea visa viwili ambavyo sijawahi kuelewa kilichonitokea. Kisa cha kwanza kilinikuta Jijini Arusha mwaka...
  14. Y

    Kwa hapa Dar wapi nitapata masweta au majaketi mazito kuzuia baridi kali?

    Salaam wakuu wa JF. Nimepata safari fulani ya majuu kwa takriban wiki 3. Ninakoenda naambiwa kwa sasa hali ni baridi kali inasoma -2 mpaka 3 centrigate. Nahitaji kupata majaketi yenye manyoya kabisa kupambana na baridi ya huko. Vipi nguo hizi zaweza kupatikana wapi kwa hapa Dar?
  15. Y

    Msaada: Namtafuta dereva wa lori la mafuta lililopata ajali Morogoro

    Salaam kwa wote, Aliyekuwa dereva wa lori lililopata ajali pale Morogoro ni kaka wa rafiki yangu kwa maana nyingine ni kaka yangu pia. Tangu ajali ile imetokea tumekuwa tukipata taarifa za mkanganyiko sana. Mashuhuda wengine wanadai alinusurika na kukimbia kabla ya ule moto. Wengine...
  16. Y

    Ushauri: Nataka kufuga nyoka kwa ajili ya ulinzi

    WanaJF kichwa cha habari chajieleza. Watu wengi wamekuwa wakifuga wanyama kama mbwa kwa ajili ya ulizi usiku kuzuia vibaka. Tumekuwa tukiona vibaka wakivamia nyumba za watu na hata kuua hao wanyama kwa sumu au risasi. Binafsi vibaka wamewahi kulizia mara mbili kwa nyakati tifauti. Mara ya...
  17. Y

    Fundi Pump wa Kisima anatafutwa maeneo ya Kinyerezi Dar es Salaam.

    Habari wanajf. Nimejenga kisima cha chini kwa ajili ya kuvuna maji ya mvua. Maji hayo nayapandisha kwenye tenki la juu ili kutumia ndani. Sasa pump yangu ya kudumbukiza kisimani iliharibika fundi akanishauri ninunue ile kufunga juu ya tank (iko kama kijenereta kidogo). Pump hii inasumbua sana...
  18. Y

    Msaada: Nataka kuacha kazi ya kuajiriwa na nina mkopo benki niliochukua na kuweka mshahara wangu dhamana

    Wasalaam waugwana. Mimi ni mwajiriwa serikalini. Kama miezi 6 iliyopita nilichukua mkopo kwenye benki mojawapo hapa nchini na dhamana ilikuwa ni mshahara wangu. Kutokana na sababu fulani fulani, nataka kuacha kazi na nifanye mambo yangu binafsi. Ninaweza kuwa nalipa benk kiasi kilekile...
  19. Y

    Natafuta nyumba au Kiwanja Dodoma Area D ya kununua.

    Habari wanabodi. Kama kuna mtu anauza nyumba au kiwanja Dodoma Area D aweke hapa. Tafadhali useme ukubwa wa kiwanja na bei yake (useme kama ni nyumba au kiwanja tupu) Shukrani.
  20. Y

    Hongera sana Mhe. Lukuvi lakini bado una kazi.

    Nianze kukupongeza wewe binafsi pamoja na wafanyakazi walioko chini yako walio waaminifu na wanaotambua umuhimu wa kuwahudumua wananchi. Baada ya pongezi hizo, naombe kutoa malalamiko yangu kuhusu usajili wa hati na watu wa idara ya Savei kwa ujumla. Mimi ni miongozi wa wananchi tuliojikusanya...
Back
Top Bottom