Natafuta kiwanja Dodoma maeneo ya Kisasa , Ipagala au Nzuguni

Yaleyale

JF-Expert Member
Aug 21, 2011
1,695
2,000
Salaam wadau. Natafuta Kiwanja Dodoma maeneo ya Kisasa, Ipagala au Nzuguni. Kiwe kimepimwa na kiwe na hati kwa Matumizi ya makazi.
aksanteni.
 
Chillah

JF-Expert Member
Oct 12, 2016
5,945
2,000
Size gani na bei gani?
Eneo lilipo: Nzuguni kwa masista wakatoliki
Ujazo: 723 Sqm
Hadhi yake: limepimwa na lina hati
Bei: 9M maongezi yapo pia una ruhusiwa kulipia kwa awamu
Maelezo ya ziada: umeme, maji, barabara ya uhakika na huduma nyingine za kijamii zipo karibu kama stand ya mabasi, shule za msingi na sekondari nk

Karibu boss
 
Chillah

JF-Expert Member
Oct 12, 2016
5,945
2,000
Shilingi ngapi mkuu?
Eneo lilipo: Nzuguni kwa masista wakatoliki
Ujazo: 723 Sqm
Hadhi yake: limepimwa na lina hati
Bei: 9M maongezi yapo pia una ruhusiwa kulipia kwa awamu
Maelezo ya ziada: umeme, maji, barabara ya uhakika na huduma nyingine za kijamii zipo karibu kama stand ya mabasi, shule za msingi na sekondari nk

Karibu boss
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom