Ni wapi wanafundisha muziki kwa Dodoma?

Yaleyale

JF-Expert Member
Aug 21, 2011
1,789
2,383
Habari wana JF,

Bila kupoteza muda wenu, Ninaomba kujua ni wapi wanafundisha kupiga vyombo vya mziki kama gitaa na piano kwa Jiji la Dodoma.

Nashukuru
 
Habari wana JF,

Bila kupoteza muda wenu, Ninaomba kujua ni wapi wanafundisha kupiga vyombo vya mziki kama gitaa na piano kwa Jiji la Dodoma.

Nashukuru
Kama upo tayari....tafuta geto moshi mjini nakufundisha gitaa bure kabisa yaan nafeel kufundishafundisha gitaa.

Swali lolote kuhusu gitaa nikujibu
 
Back
Top Bottom