Salaam wadau.
Kama kichwa cha habari kilivyo. Mtaani kwetu tumekuwa tukisumbuliwa sana na vibaka wanaoiba vitu vya ndani hasa TV.
Ninawaza kufunga either CCTV camera au nyaya za umeme kuzunguka ukuta. Uwezo wa kuzifunga zote kwa sasa sina.
JF ina wadau waliobobea kwenye nyanja mbalimbali. Naombeni ushauri, nianze na kipi?