Maeneo ya Mwenge TRA. Opposite na TRA ya Mwenge upande wa kushoto ulizia maeneo hayoNimekuwa nikitamani kujua kujifunza kupiga kinanda. Muda umefika sasa ambao naona ni mwafaka kuchukua hatua ya kujifunza na kuachana na kutamani tu! Naomba kujua ni wapi wanafundisha ili nami nijiunge kusoma. Aksante
Ungetuambia mnapatikana wapi ingependeza zaidi bwashee, kwa ulivyoandika utadhani kila mmoja anawafahamu mlipo.Karibu Forte Music academy. Tufundisha kinada na muziki.
Uko maeneo ganiNina watoto wangu wana interest hiyo,ila sijajua wapi wanawezanfundishwa hizo instruments(kinanda ma gitaa)
Uko maeneo ganiNimekuwa nikitamani kujua kujifunza kupiga kinanda. Muda umefika sasa ambao naona ni mwafaka kuchukua hatua ya kujifunza na kuachana na kutamani tu! Naomba kujua ni wapi wanafundisha ili nami nijiunge kusoma.
Aksante
DsmUko maeneo gani
Tabata kuna chuo