Search results

  1. A

    Aina ya mpira wanao cheza yanga hauvutii hata kidogo

    Kwanza kabisa nitangaze interest yangu mimi ni muumini wa mpira wa pasi zote ndefu na fupi na matokeo uwanjani yaonekane.Kwa miaka mingi sana yanga imekua na utamaduni wa kutumia pasi ndefu na mashambulizi ya kushitukiza(counter attack) lakini kwa bahati mbaya kwa miaka ya hivi karibuni kama sio...
  2. A

    Sheria ya Finantial fair player

    Kwa ulaya kuna sheria ya finantial fair player,sheria hiyo imeanzishwa ili kuvilinda vilabu vidogo vidogo visibemendwe na vilabu vikubwa kwenye soko la usajili japokua bado ni ngumu kucompete kwenye soko la usajili kutokana na changamoto za kiuchumi. hivyo basi team inaruhusiwa kutumia kiasi...
  3. A

    Azam media

    Kuiga kitu kizuri kwa mwenzio sio vibaya ndio maana Leo China yuko vile kwa sababu alikubali kuiga na kucopy teknolojia kwenye maonesho ya kwanza ya sayansi na teknolojia yaliyofanyika nchini uingireza mwaka flani karne ya upinduzi wa viwanda. Hivyo basi azamtv kwakua nyie mmeingia kandarasi...
  4. A

    Azam TV kwanini mmeamua kipandisha bei ya ving'amuzi vyenu?

    Kwa yeyote anaefaham mantiki ya azam kulazimisha offer ya miezi 3 huku ukiilipia pale unaponunua king'amuzi. Zamani nadhani kwa sehemu nyingi vingamuzi vilikua vyauzwa kwa bei isiyozidi Tsh.150,000 lakini saivi ving'amuzi vyenu vyauzwa mpaka 250,000 huko si kuwaumiza wananchi na wateja wenu...
  5. A

    Siku 100 za Rais Samia ndani ya ofisi

    Ni dhahili mh. Rais ameamua kuuzima mjadala kwa makusudi wa kudiscuss Siku mia moja katika ofisi ya jumba jeupe. Bila shaka katika kuelekea siku 100 kwenye madaraka mh rais ameamua kutangaza mkeka wake wa madc ili tujikite kuujadili badala ya kudiscuss utendaji wake ndani ya Siku 100. Kwanini...
  6. A

    Jamana educational products

    wizara ya elimu taasisi yenu mliyoipa kazi ya kuchapa madaftari ya wanafunzi, yenye nembo kwenye kava la juu imeandikwa Champion na picha ya mchezaji Chriastian Ronaldo kuna sehemu imebolonga zaidi na tena inaweza ikawakisababishi cha watoto wetu/wadogo zetu kufeli mitihani yao ya shule na...
  7. A

    Serikali ipitie upya masuala ya kodi kwa makampuni ya kibiashara

    Ile dhana ya kwamba makampuni mengi ya kibiashara kufunga biashara zake na kupunguza wafanyakazi limenikuta mbashara sasa. Ni baada ya kampuni moja ninayofanyia kazi kuanza kupunguza wafanyakazi na kufunga baadhi ya vituo vya kibiashara kutokana na kodi kua kubwa huku mauzo yakipungua kila...
  8. A

    Ombi kwa Mheshimiwa Rais baada ya Uchaguzi

    Mimi kama Mtanzania mzalendo na mpenda maendeleo, katika kuunga mkono juhudi za maendeleo kwa Taifa. Ningependa kutoa rai kwa Mh Rais pindi atakapochaguliwa kwa mara ya pili kuelekeza nguvu zaidi katika miradi mikubwa anayo itekeleza hasa hasa mradi wa umeme na reli ya kisasa. Kwani endapo...
  9. A

    Elimu kwa Umma juu ya matumizi sahihi ya alama barabarani na uzingatiaji wa sheria

    Hongereni sana Wizara ya Mambo ya Ndani kupitia kitengo chenu cha usalama barabarani kwa kazi mnayofanya kupambana na waharifu wa barabara,pia hongereni wizara ya afya kwa kushirikiana na vyombo vyote vya ahabari nchini, mitandao ya kijamii n.k. katika kutoa elimu juu ya madhara ,namna ya...
  10. A

    Nini kama Taifa tumepoteza baada ya kufutwa kwa mbio za mwenge na sherehe za muungano

    Kama kichwa kinavyo jieleza hapo juu,Taifa limepata hasara gani kiuchumi baada ya kuahirishwa kwa sherehe za muungano na mbio za mwenge kwa mwaka huu na fedha zote kuelekezwa kwenye covid-19.Kutakua na hasara gani endapo yote haya yakiendelea hivi hivi na fedha zile zikawa zinaelekezwa kwenye...
  11. A

    Serikali okoa wakulima wa papai

    Hapo nyuma nilileta uzi wangu wa kuhusu kushuka kwa soko la papai lakini mods wakaunganisha na uzi mwingine,mimi kilio changu ni kile kile kama mkulima wa zao hili la papai,kumekua na changamoto kwenye mauzo baada ya mh.rais kutangaza kua vipimo vilibaini kwamba papai lina corona.Baada ya hapo...
  12. A

    Sasa migogoro ya wakulima na wafugaji imekomeshwa

    Hivi ni kweli kwamba migogoro ya ardhi baina ya wakulima na wafugaji sasa imeisha,au labda vyombo vya habari vinaogopa kureport kwakua rais alisha piga mkwala kwamba vina uhuru "but not to that extent". Kama bado ipo na vyombo vya habari vinaogopa kureport nini hatima yake na kama kweli...
  13. A

    Ukweli siku zote unauma

    Jamani kuna kitu kimenitatiza lakini baada ya kumuuliza muhusia akawa mkali wala hakunipa jibu la kueleweka man alianza kuja juu kujifanya mtakatifu,issue yenyewe n kama ifutavyo; Kuna mdada tunafanya nae kazi office moja anajifanya mlokoe kunizidi hadi mimi, yeye kila siku jumapili na siku za...
  14. A

    Kupewa zawadi siku yako ya kuzaliwa

    Hivi mwanamke unaemfukuzia kukuletea zawadi siku yako ya kuzaliwa na huku wewe mwenyewe haujui kama ndo siku hiyo, kisha ukimuomba mzigo anazingua na hataki kusikia kitu kama hicho inamaana gani? Kila ukijaribu kula mzigo kimasihara anachomoa, geto hatokei na hataki kusikia habari yoyote...
  15. A

    serikali itunge sheria juu ya mitaro iliyoko mitaani.

    Wananchi wenyewe tunachangia miundombinu ya serikali kuharibika,mfano mvua zinapokua zinanyesha wananchi wamekua na tabia ya kumiminia taka taka kwenye mitaro eti isombwe na maji,kitu kinacho changia mitaro na makaruvati kuziba.Hivyo pengine kupelekea mafuriko yasiyo na ulazima kwa watu waishio...
  16. A

    Mwanamke kukubana au kukuvutia kwake wakati wa sex

    Wanawake wakati wa sex kuna muda inafika anakubana na miguu pamoja na mikono yake hadi unashindwa kupump in and out huku akitaka uzamishe hadi pumbu wakati mwingine akisindikiza na sauti ya mahaba "hapo hapo".pale ni kusema kwamba mmefika kileleni, mnakaribia au uhondo umezidi na kilele unakiona...
  17. A

    Kwanini tumeifunika kampeni ya uzazi wa mpango?

    Ni wazi kwamba sasa kampeni ya uzazi wa mpango imefunikwa huku tukihimizwa kuzaliana kwa wingi ili kuepuka hapo mbeleni kuja kuwa na taifa la watu wachache na wazee wasio weza kuzalisha tena mali.Kwa upande mmoja ni sawa lakini pamoja na kampeni hiyo embu tujiulize maswali yafuatayo:-...
  18. A

    Kwanini wenzetu wameweza kujenga uchumi wa nchi zao nchi za Afrika zimefeli wapi?

    hivi ni kwanini mpaka leo bajeti zetu zinategemea misaada ya nje? kwanini mpaka leo tumeshindwa angalau kucopy kwa wenzetu wao wamefanyeje kujenga uchumi wao? mbali na kwamba sisi hatuna technolojia kama wao lakini kwanini tumeshindwa japo kuweka mifumo sahihi ya ukusanyaji kodi ili kwamba kila...
  19. A

    Uchaguzi 2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020

    Katika kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020. Je, serikali ina majibu ya kuwaeleza Watanzania ambao mpaka leo vijiji vyao havijapatiwa umeme nini sababu inayochelewesha ili hali kila siku tunahadithiwa kwamba hela zipo tutembee kifua mbele. Vipi mpango wa kunusuru kaya masikini unaendeleaje? Je...
  20. A

    Upinzani nchini

    Upinzani pamoja na figisu zote wanazofanyiwa unatakiwa kubadilika na kubadili mitazamo na aina ya siasa wanazozifanya kutoka kwenye siasa za kiharakati kua siasa za ukombozi zenye hoja mubadala kwa mustakabali wa nchi na zifike kwa wananchi. Kuendelea kung'ang'ania kudai vitu ambavyo pengine...
Back
Top Bottom