Sasa migogoro ya wakulima na wafugaji imekomeshwa

Katavi yetu

JF-Expert Member
Jul 30, 2018
813
1,000
Hivi ni kweli kwamba migogoro ya ardhi baina ya wakulima na wafugaji sasa imeisha,au labda vyombo vya habari vinaogopa kureport kwakua rais alisha piga mkwala kwamba vina uhuru "but not to that extent".

Kama bado ipo na vyombo vya habari vinaogopa kureport nini hatima yake na kama kweli serikali itakua imefanikiwa kuikomesha nini ilikua sababu yake?

kwanini ilikua imedumu kwa muda mrefu mpaka serikali ya awamu ya tano ilipoingia madarakani.
 

MR MAJANGA

JF-Expert Member
Oct 4, 2014
2,328
2,000
Hivi ni kweli kwamba migogoro ya ardhi baina ya wakulima na wafugaji sasa imeisha,au labda vyombo vya habari vinaogopa kureport kwakua rais alisha piga mkwala kwamba vina uhuru "but not to that extent".Kama bado ipo na vyombo vya habari vinaogopa kureport nini hatima yake na kama kweli serikal;i itakua imefanuikiwa kuikomesha nini ilikua sababu yake? kwanini ilikua imedumu kwa muda mrefu mpaka serikali ya awamu ya tano ilipoingia madarakani.
Mbona umeshaandika majibu ya swali ulilouliza
 

stella1975

JF-Expert Member
Nov 25, 2018
876
1,000
Hivi ni kweli kwamba migogoro ya ardhi baina ya wakulima na wafugaji sasa imeisha,au labda vyombo vya habari vinaogopa kureport kwakua rais alisha piga mkwala kwamba vina uhuru "but not to that extent".Kama bado ipo na vyombo vya habari vinaogopa kureport nini hatima yake na kama kweli serikali itakua imefanikiwa kuikomesha nini ilikua sababu yake? kwanini ilikua imedumu kwa muda mrefu mpaka serikali ya awamu ya tano ilipoingia madarakani.
Mbona Kama ni wale wale? Serikali Ya awamu ya tano inahangaika kila kona kusifiwa, mnatumia hela nyingi mnooooo, kusifu, hivi kuna serikali inayoweza kuja kutokea duniani Yenye mambo ya ajabu Kama hiii? Unaaambiwa kizuri cha jiuza Baba kibaya cha tumia garama kujisifia, msikilize Mkuu wa wilaya ya kibaha Leo kasema kuwa bashite anasababisha serikali nzima ionekane hovyo na ya ajabu sasa wewe endelea kusifu sifu kila kitu kusifu sifu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom