Ni wazi kwamba sasa kampeni ya uzazi wa mpango imefunikwa huku tukihimizwa kuzaliana kwa wingi ili kuepuka hapo mbeleni kuja kuwa na taifa la watu wachache na wazee wasio weza kuzalisha tena mali.Kwa upande mmoja ni sawa lakini pamoja na kampeni hiyo embu tujiulize maswali yafuatayo:-
1.Tumeandaa mazingira ya kutosha katika utoaji huduma kukabiliana na ongezeko hilo la watu?
2. Uzazi wa mpango inamaana hauna faida kabisa kwa taifa.
3. Kwanini mataifa yaliyoendelea yaliamua kuanzisha uzazi wa mpango inamaana wao hawakuona hasara zake.
Ni wazi kwamba sasa idadi ya watoto wanao andikishwa kuanza shule ya msingi imeongezeka huku idadi ya vyumba vya madarasa aidha ikiendelea kubaki ileile au kuongezeka inversely proportionally na idadi ya wanao ingia shule.Bado darasa moja lina uwezo wa kubeba watoto karibia mia mbili kitu ambacho kina sababisha msongamano na uchovu kwa waalimu hapa nina ushahidi kwa sababu na mimi nimesoma katika mazingira hayo bado baadhi ya shule madawati hayatoshi na pengine wengine kukalia vitofali chini sakafuni.
Hii yote ni kwa sababu tuliruhusu unfamily planning.HIvyo basi ilitakiwa vyote viende sambamba haingii akili mpaka leo unakuta shule moja inawanafunzi 800 wote hao wa nini kama sio wengne watakuja kumaliza na zero wengine kuishia njiani kutokana na sababu mbali mbali.Darasa moja ilitakiwa liwe na watoto 40 ambapo hata mwalimu anaweza kulicontrol tu lakn sasa ni kinyume na ndomaana ata ufaulu unakua niwakiwango cha chini sana.Hayo yote ualaya wameyaweza ndomaana elimu yao ni bright.
Serikali inajitahidi kuboresha huduma za afya kadri ya bajeti lakini pia kutokana na unfamily planing tutajikuta sector ya afya nayo pia inazidiwa kutokana na uwingi wa watu huku uchumi wetu bado ukiwa bado mdogo.Sina imani kua daktari mmoja kwa siku anahudumia wagonjwa ratio sahihi kama inavotakiwa sasa kama sio ratio sahihi kwanini ubongo wa daktari usichoke na kujikuta anatoa huduma mbovu pengine na matusi juu (manesi hao).
Upatikanaji wa ajira bado ni wa kiwango cha chini na hii yote inachangizwa na vichocheo vya ajira kua vichache kwa sababu kweli serikali haiwezi pekee kumudu kuwaajiri watanzania wote.Hivyo kutokana na hili ilitakiwa kadiri tunavyohimizana unfamily planning na huku tuwetunaboresha mazingira ya ajira ili kwamba kadri watu watakavyokua wanaongezeka wakute sector ya ajira iko vizuri lakini sasa mambo ni kinyume,huku tumeipiga chini kampeni ya uzazi wa mpango na mazingira ya ajira yakiwa ni yale yale.