Kwa yeyote anaefaham mantiki ya azam kulazimisha offer ya miezi 3 huku ukiilipia pale unaponunua king'amuzi.
Zamani nadhani kwa sehemu nyingi vingamuzi vilikua vyauzwa kwa bei isiyozidi Tsh.150,000 lakini saivi ving'amuzi vyenu vyauzwa mpaka 250,000 huko si kuwaumiza wananchi na wateja wenu.
Pia badala mshushe bei ili kila mwananchi aweze kuafford na ili kutanua wigo wa mauzo ya vifurushi na wateja waongezeke ndo kwanza bei inapaa,huku mkijificha kwenye kivuli cha offer.
Mmenidisappoint sana baada ya kujichanga kwa miaka kadhaa nikaona leo sifanyi kosa tena lazima nilale nacho,nimestaajab baada ya kufika dukani na kuambiwa ni 245,000 wakati huo mi nimeenda na kiasi ambacho ni bei ya zamani 140000 hii so fare at a kidogo au ndo kusema saivi brand yenu inazidi kupanda thamani.