Kupewa zawadi siku yako ya kuzaliwa

astranaut

JF-Expert Member
Jul 30, 2018
1,276
1,021
Hivi mwanamke unaemfukuzia kukuletea zawadi siku yako ya kuzaliwa na huku wewe mwenyewe haujui kama ndo siku hiyo, kisha ukimuomba mzigo anazingua na hataki kusikia kitu kama hicho inamaana gani?

Kila ukijaribu kula mzigo kimasihara anachomoa, geto hatokei na hataki kusikia habari yoyote kuhusiana na mtoko wowote wenye kiashiria cha kuliwa hii ina maana gani kwenu nyie wanawake.
 
Ukiona hivyo anakuona kama dume la ng'ombe lina mwili mkubwa lakini halina ndevu. Unatakiwa uwe kama dume la mbuzi "beberu" mwili mdogo ila lina ndevu nyingi
 
Back
Top Bottom