Aina ya mpira wanao cheza yanga hauvutii hata kidogo

astranaut

JF-Expert Member
Jul 30, 2018
1,276
1,021
Kwanza kabisa nitangaze interest yangu mimi ni muumini wa mpira wa pasi zote ndefu na fupi na matokeo uwanjani yaonekane.Kwa miaka mingi sana yanga imekua na utamaduni wa kutumia pasi ndefu na mashambulizi ya kushitukiza(counter attack) lakini kwa bahati mbaya kwa miaka ya hivi karibuni kama sio yote wamekosa kikosi imara na sahihi cha kuendana na mfumo huo kitu kinachopelekea timu kuonekana inacheza hovyo hovyo na kupata matokeo ya kubahatisha(mpapatu papatu),aidha kwa miaka mingi yanga imekua inapata wachezaji ambao uwezo wao ni mdogo wengine hata kupokea mpira ni shida,kupiga pasi sahihi na eneo sahihi,kwa wakati sahihi ni shida achilia mbali uwezo wa kuliona lango,uwezo wa kukimbia na mpira(dribling).

Hivyo basi niwakati mwafaka uongozi wote kwa ujumla kuja na mbinu nyingine ya uchezaji ambayo itaendana na aina ya wachezaji waliokua nayo na kila kocha atakae kua amepewa kandarasi kukinoa kikosi lazima aufuate huo mfumo hata kama atakua na mbinu zake lakini zisicheze mbali na mfumo huo.Timu imekua haina uwezo wa kumiliki mpira kitendo kinachopelekea hata pale timu inapokua imetangulia basi hupoteza umiliki mpira na kuipa faida timu pinzani ya kurudisha mashambulizi hatimae mechi zingine magoli yamekua yakirudishwa na hata kufungwa.Kwa misimu mitatu mfululizo yanga wamekosa ubingwa kutokana na udhaifu wao wa kutokumiliki mpira.Timu imekua ikiongoza lakini inapoteza umiliki,kikosi dhaifu hata kufunga magoli mengi hawawezi kisha timu pinzani inachomoa mpira unaisha suluhu.Kwa maana hiyo kwa nini tusitumie pasi fupi fupi kuliko hizi pasi ndefu ambazo hazina macho.
 
Kwamba Yanga wabadili mfumo wao wa uchezaji ili wakufurahishe wewe? Huko kichwani kwako kuna akili kweli? Au umejaza sabuni za Mo?

Anyway, unateseka ukiwa wapi?
wewe ni miongoni mwa mashabiki mnaotuchelewesha kwenda kwenye mfumo mpya.Mkipata matokeo match moja basi mnasahau shida zote mnazopitia shame on you,na wewe kama utakua sio shabiki wa arsenal sijui
 
Kwanza unaonekana mtu wa ajabu kwasababu kwenye uzi wako umeshindwa kuonesha mambo ya kimbinu na kiufundi kwa kila mchezaji mpya aliyesajiliwa katika msimu huu ni vipi hawezi kufit aina ya mfumo wa Yanga ( pasi ndefu na counter attacking) halafu tuambie badala ya hao wasajiliwe wakina nani. Halafu utambue kila timu ina falsafa yake ya uchezaji waliojijengea kwenye mpira kinachoangaliwa ni matokeo sio kuburudisha mashabiki kwa chenga chenga na pasi nyingi na possession kubwa huku unafungwa magoli.
 
Kwanza kabisa nitangaze interest yangu mimi ni muumini wa mpira wa pasi zote ndefu na fupi na matokeo uwanjani yaonekane.Kwa miaka mingi sana yanga imekua na utamaduni wa kutumia pasi ndefu na mashambulizi ya kushitukiza(counter attack) lakini kwa bahati mbaya kwa miaka ya hivi karibuni kama sio yote wamekosa kikosi imara na sahihi cha kuendana na mfumo huo kitu kinachopelekea timu kuonekana inacheza hovyo hovyo na kupata matokeo ya kubahatisha(mpapatu papatu),aidha kwa miaka mingi yanga imekua inapata wachezaji ambao uwezo wao ni mdogo wengine hata kupokea mpira ni shida,kupiga pasi sahihi na eneo sahihi,kwa wakati sahihi ni shida achilia mbali uwezo wa kuliona lango,uwezo wa kukimbia na mpira(dribling).

Hivyo basi niwakati mwafaka uongozi wote kwa ujumla kuja na mbinu nyingine ya uchezaji ambayo itaendana na aina ya wachezaji waliokua nayo na kila kocha atakae kua amepewa kandarasi kukinoa kikosi lazima aufuate huo mfumo hata kama atakua na mbinu zake lakini zisicheze mbali na mfumo huo.Timu imekua haina uwezo wa kumiliki mpira kitendo kinachopelekea hata pale timu inapokua imetangulia basi hupoteza umiliki mpira na kuipa faida timu pinzani ya kurudisha mashambulizi hatimae mechi zingine magoli yamekua yakirudishwa na hata kufungwa.Kwa misimu mitatu mfululizo yanga wamekosa ubingwa kutokana na udhaifu wao wa kutokumiliki mpira.Timu imekua ikiongoza lakini inapoteza umiliki,kikosi dhaifu hata kufunga magoli mengi hawawezi kisha timu pinzani inachomoa mpira unaisha suluhu.Kwa maana hiyo kwa nini tusitumie pasi fupi fupi kuliko hizi pasi ndefu ambazo hazina macho.
Unazungumzia habari ya msimu uliopita wakati tupo kwenye msimu mpya na wachezaji wanesajiliwa wengineo na hata mechi kumi za ligi hawajacheza unaanza kulalamika. Umekurupuka mkuu tumia akili
 
Unateseka ukiwa wapi?
 
wewe ni miongoni mwa mashabiki mnaotuchelewesha kwenda kwenye mfumo mpya.Mkipata matokeo match moja basi mnasahau shida zote mnazopitia shame on you,na wewe kama utakua sio shabiki wa arsenal sijui
Wewe na mikia wenzio, nendeni kwenye huo mfumo mpya. Sisi tuko sawa hapa tulipo. Tunaijenga timu taratibu na hatuhitaji kukufurahisha wewe.

Ligi haijaanza, tayari unalalamika. Kaa kwa kutulia!
 
ukitanguliza ushabiki mbele kama huo wako wala huwezi kuelewa nini lengo la maada,na wala wewe sio shabiki bali hata hujui unachokishabikia ni nini,wewe ni bendera fuata upepo ambae timu ikifungwa mtaani ukataniwa basi unaishia kurusha ngumi, in short ni hivi endapo yanga ingekua na uwezo hata wa kumiliki mpira angalau kwa dakika hata 10 basi mpaka leo ingekua imesonga mbele kwenye michuano ya kimataifa lakini kwakua watu kama nyie ndio mliojaa kwenye timu basi acha tu sisi wachache tuendelee kuteseka huku nanjilinji siku mkija kuamka basi mmekaa miaka kumi bila ubingwa huku kila mwaka mkiaminishwa eti mwaenda chukua ubingwa,eti kwakua basi mmemfunga simba ngao ya jamii basi unaona na ubingwa utachukua.
Kwahiyo timu isisemwe kama haifanyi vizuri kwakua sisi sio tunaolipa mshahara fala kweli wewe,matokeo tukose basi hata burudani ndani ya uwanja tukose yaani full vanga vanga tu.Utafikili ni kikundi flani mtaani wameokotana huko twende tukacheze mpira.
 
Kwani unazungumzia yanga ya msimu upi!!!? Kama msimu huu mambo bado.
 
Madhara ya chanjo ya Corona kwa vijana wadogo kama hawa
 
Kwani unazungumzia yanga ya msimu upi!!!? Kama msimu huu mambo bado.
Mi nazungumzia yanga ya misimu yote ukiwemo na huu,sababu kwa match ambazo nishaona yanga amecheza zinanitosha kabisa kufanya anslysisi fupi niliotoa,Kama basi tutakua tunahitaji match 30 ili kutengeneza hicho kizuri tunachokisublia basi kila msimu tutakua tunaishia kusajili team nzima na kuanza moja kila msimu,in short wachezaji wazuri hata hawahitaj match 10 kuingia kwenye mfumo.
 
Sisi Hatuhitaji Mpira Mzuri, SIsi Tunahitaji Ushindi Tu.
Sasa huo ushindi wenyewe kwani mnaupata? Au kumfunga Simba basi kwako ndio ushindi ni aibu kua na mashabiki Kama nyie.Juzi tu tumetoka kutolewa na rivers United kwa kupoteza ndani na nje hiyo si aibu Bali tumekubali kuaminishwa eti tumetolewa kwakua aucho,djuma na mayele hawakucheza utetezi wa kijinga sana huu.
 
Mi nazungumzia yanga ya misimu yote ukiwemo na huu,sababu kwa match ambazo nishaona yanga amecheza zinanitosha kabisa kufanya anslysisi fupi niliotoa,Kama basi tutakua tunahitaji match 30 ili kutengeneza hicho kizuri tunachokisublia basi kila msimu tutakua tunaishia kusajili team nzima na kuanza moja kila msimu,in short wachezaji wazuri hata hawahitaj match 10 kuingia kwenye mfumo.
Unauelewa mzuri wa ukocha au ushabiki wa kinazi!!!?
 
Sasa huo ushindi wenyewe kwani mnaupata? Au kumfunga Simba basi kwako ndio ushindi ni aibu kua na mashabiki Kama nyie.Juzi tu tumetoka kutolewa na rivers United kwa kupoteza ndani na nje hiyo si aibu Bali tumekubali kuaminishwa eti tumetolewa kwakua aucho,djuma na mayele hawakucheza utetezi wa kijinga sana huu.
Mpira haujui wewe Yanga imetolewa kwasababu hawakuwa na maandalizi mazuri ya timu (muda mchache wa pre season) kwa kucheza mechi moja ya kimataifa ya kirafiki unawezaje kubaini mbinu za mifumo na ufundi nawakati una maingizo mapya kibao
 
ukitanguliza ushabiki mbele kama huo wako wala huwezi kuelewa nini lengo la maada,na wala wewe sio shabiki bali hata hujui unachokishabikia ni nini,wewe ni bendera fuata upepo ambae timu ikifungwa mtaani ukataniwa basi unaishia kurusha ngumi, in short ni hivi endapo yanga ingekua na uwezo hata wa kumiliki mpira angalau kwa dakika hata 10 basi mpaka leo ingekua imesonga mbele kwenye michuano ya kimataifa lakini kwakua watu kama nyie ndio mliojaa kwenye timu basi acha tu sisi wachache tuendelee kuteseka huku nanjilinji siku mkija kuamka basi mmekaa miaka kumi bila ubingwa huku kila mwaka mkiaminishwa eti mwaenda chukua ubingwa,eti kwakua basi mmemfunga simba ngao ya jamii basi unaona na ubingwa utachukua.
Kwahiyo timu isisemwe kama haifanyi vizuri kwakua sisi sio tunaolipa mshahara fala kweli wewe,matokeo tukose basi hata burudani ndani ya uwanja tukose yaani full vanga vanga tu.Utafikili ni kikundi flani mtaani wameokotana huko twende tukacheze mpira.
Wewe una hasira zako binafsi zimekufanya uamke na stress. Unasema Yanga kumiliki Mpira wanashindwa. Wakati mechi ya Yanga vs Rivers United Yanga anaongoza katika ball possession. Mechi ya Simba vs Yanga, Simba imeizidi Yanga kwenye umiliki wa mpira kwa tofauti ya asilimia 6 tu kwa kuzidiwa pass 5 tu Yanga wamepiga pass 462 wakati Simba wamepiga pass 467
IMG_20210927_142128.jpg
IMG_20210927_142731.jpg
 
Unazungumzia habari ya msimu uliopita wakati tupo kwenye msimu mpya na wachezaji wanesajiliwa wengineo na hata mechi kumi za ligi hawajacheza unaanza kulalamika. Umekurupuka mkuu tumia akili
Kwani team analysis inahitaji ucheze match ngapi,au wewe ndo yule kocha aliehitaji miezi 3 ili aweze kutengeneza chemistry ya team.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom