Search results

  1. Kambi ya Fisi

    Idadi ya Wanaume duniani ni kubwa zaidi kuliko ya wanawake

    Hii ni taarifa maalum kwenu wadada wote mliojikatia tamaa kwamba hamuwezi kuolewa kisa wanaume ni wachache kuliko wanawake. Ni wakati sasa wa kuachana na huzuni kisa umekosa mwanaume wa kukuoa. Ukweli ni kwamba wanaume ni wengi kuliko wanawake. Ikiwa kuna idadi kubwa ya wanawake kuliko wanaume...
  2. Kambi ya Fisi

    Mwanaume ambaye hana pesa asioe

    Nimeona wanaume wengi kwenye mitandao ya kijamii wakilalamika jinsi wanawake wa siku hizi wanavyopenda pesa, ukiwachunguza hao walalamikaji utagundua hawana hela Ila wanatamani kuoa. Hivi umewahi kuchunguza - ni katika tamaduni gani mwanaume asiye na kitu alipewa mke? Kwa maoni yangu binafsi...
  3. Kambi ya Fisi

    Wanaume wakiacha usaliti kwenye mahusiano, wanawake pia wataacha

    Hivi umewahi kujiuliza kwa nini wanaume hukasirika zaidi pale wanapogundua kuwa wanawake zao wanacheat? Iko hivi... Watu wengi (hasa wanaume) huamini kuwa wanaume ndio wanaongoza kwa kucheat kuliko wanawake. Kiukweli imani hii ina dosari kitakwimu na haina mantiki. Uwiano wa wanaume na wanawake...
  4. Kambi ya Fisi

    Mashabiki wote wa Yanga mnaoamini kuwa April 20 Simba Watapigwa tumieni hii fursa ya kutajirika

    Ni muda wa kuweka kando tambo za Kimaskini , ni muda wa kuachana na ufukara. Tukutane kwa khanjbay tupige hela, sio hela ya kitoto, tutapiga hela ndefu huku tukishangilia kono la nyani lililotutoa kwenye ufukara. Enyi madogo, Frank Wanjiru, Labani og, Half american na wengineo tumieni fursa...
  5. Kambi ya Fisi

    Watu wenye kiburi wanapofanya makosa huwa hawakubali kuwa wamekosea

    Huwa wapo tayari kufa njaa kuliko kuomba msaada. Huwa wapo tayari kufurushwa katika nyumba zao wenyewe kuliko kwenda kuomba msaada wa dhamana kwa ndugu zao,kwa sababu huona kwenda kuomba msaada ni ishara ya udhaifu. Wenye kiburi ni wabinafsi sana kuanza kufanya mapenzi na wenza wao. Wana...
  6. Kambi ya Fisi

    Dunia hii sio ya wanyonge

    Katika msitu , watu dhaifu huawa huko ili wasipitishe udhaifu. Kwa njia nyingi, jamii ya wanadamu ni msitu. Kuna nguvu mbaya dhidi yako. Lakini kile ambacho hakikuui kinakufanya uwe na nguvu zaidi. Ulipewa maisha haya kwa sababu una nguvu za kuishi. Kwa nini sasa uwe mnyonge? Zingatia kuwa...
  7. Kambi ya Fisi

    Mwanandoa hapaswi kuishi mbali na mwenza wake

    Hii inawahusu wale ambao mume anaishi mkoa tofauti na mkewe kwa sababu za kikazi. Sio vyema kuishi namna hiyo. Ikiwa hamuishi pamoja kama wanandoa, mtakuwa na uaminifu kwa ndoa yenu kwa muda mfupi tu, baada ya hapo mambo yataanza kubadilika. Mwili utakusukuma kwenye ukuta, utaanza kutaniana na...
  8. Kambi ya Fisi

    Chaguzi mbili kuu pale unapogundua mkeo anakusaliti

    1. ACHANA NAYE na ulee watoto wako uliowapata ukiwa na mkeo. Unaweza kuamua kuoa mwanamke mwingine ama kubaki mseja daima. Kumbuka ukiamua kuoa tena hutapata malaika mwingine bali utapata mke mwenye moyo kama wa yule utakayemuacha. 2. MSAMEHE mkeo kisha tafuta mtaalam wa kukusaidia...
  9. Kambi ya Fisi

    Mnapojadili kuwa Yanga kaonewa mjadili pia ubovu wa Yanga kwenye upigaji wa penati

    Mnalaumu eti refa kakataa goli la Yanga, mnaongea kwa uchungu na jazba huku mkitokwa mate na kamasi. Hamgusii chochote kuhusu kipindi cha penati. Katika kupigiana penati mlipata nafasi nzuri ya kumuumbua huyo aliyewanyima goli, lakini kwa sababu ya ubutu wa wapigaji hamkufanya lolote. Huyo...
  10. Kambi ya Fisi

    Jina la pili la mwimbaji wa Injili Christina Shusho ni jina la nani yake?

    Tangu nianze kusikiliza nyimbo zake huyo mwimbaji namfahamu kwa jina la Christina Shusho. Hivi Shusho ni jina la baba yake na Christina au ni jina la ubini kwa familia ya aliyekuwa mumewe wake ? Naomba kufahamishwa.
  11. Kambi ya Fisi

    Mshike sana huyo mke uliyenaye usirogwe ukamuacha

    Ulikuwa na orodha ndefu ya wanawake wa kuoa, Ila uliwatupilia mbali wengine wote na ukamchagua hiyo uliyenaye leo. Ni hakika ulichagua saizi yako, ulichagua binti ambaye alikamilisha utu wako, ulichagua binti anayelingana na mambo yanayokuvutia. Ulipokutana naye kwa mara ya kwanza, ulivutiwa...
  12. Kambi ya Fisi

    Mwakarobo Junior kuzinduliwa rasmi April 5 huko Pretoria

    Tayari tunaye Mwakarobo senior mzoefu nguli wa kutinga robo fainali kwa miaka mitano kisha anapaki bus. 🐸🐸 kaibuka kutoka huko matopeni jangwani na kuanza kukimbizana na wakali wa CAFCL na uzinduzi wake wa kuwa Mwakarobo jr utafanyika rasmi April 5 huko Pretoria. Hii ni heshima kwa nchi yetu...
  13. Kambi ya Fisi

    Hamasa za Ahmed Ally kwa mashabiki sio za kitoto

    Hii inadhihirisha wazi kuwa mashabiki wa Simba sio kina pangu pakavu tia mchuzi. Tunajitambua, Simba nguvu moja.
  14. Kambi ya Fisi

    Kwao ni kama kwetu twendeni kwa Madiba

    Japo huu usemi wa "... Kwao kama kwetu". [emoji196][emoji196] wameiga kutoka kwa Mashujaa fc, sio mbaya [emoji23], naona utawafaa sana kukusanya buku 2 za kubet kutoka kwa [emoji196][emoji196] fans wote. Wametoa sadaka ya Tsh milioni 240 kwa kuingiza mashabiki 48,000 pale kwa Mkapa yaani 5,000...
  15. Kambi ya Fisi

    Katazo la mashabiki kutovaa jezi za Al Ahly na Mamelodi haliwezi kufaulu

    Kuna jambo ninaliona hapa kuhusu marufuku ya waziri Ndumbaro itakavyoshindwa kufaulu ni hivi. Ikiwa watakao kagua passport za mashabiki wenye jezi sio askari wa uhamiaji bali ni FFU wale wanaoendaga uwanjani kutazama mechi na si kuzuia fujo hawataweza kuwabaini wazee wa passport feki...
  16. Kambi ya Fisi

    Yanga wanadaiwa Tsh ngapi na BMT?

    Ni ada ya mwaka Ila hawajalipa, hivi [emoji196][emoji196] mnadaiwa Tsh ngapi tuchange.
  17. Kambi ya Fisi

    Wadada wakurupukaji huwadharau sana wakaka wasiopenda kuwatoa out.

    Ni nadra sana mkaka aliyetulia kumkuta anatapanya hela kwa kutoka out na mdada asiye mkewe. Ila kuna hawa wakaka wahuni wanaojua kucheza na akili za wadada wakurupukaji. Huwatoa out na kuvinjari kutoka klabu moja kwenda nyingine usiku kucha wadada wakurupukaji hujiona wamepata mtu wa maana mtu...
  18. Kambi ya Fisi

    Hongera Yanga kwa kuzoa likes milioni moja huko tiktok

    Mtujuze sasa mna followers wangapi kwenye channel yenu ya whatsapp. Kama ni likes tu hata Haji Manara anazo mamilioni huko tik tok, Ila hana hata followers 10 kwa channel yake ya whatsapp
  19. Kambi ya Fisi

    Ni kawaida kwa wahuni kumzushia jambo mtu mwema

    Mhuni wa kiume atamzushia kuwa kamla mdada mwenye kujiheshimu ili kuharibu heshima yake. Hali kadhalika mdada mhuni atazusha vivyo hivyo kwa mkaka mwenye kujiheshimu. Kuna mhuni atakuzushia kwamba umeiba kwa mwajiri wako ili akuharibie kibarua chako, kuna wahuni watakuzushia kwamba una makundi...
  20. Kambi ya Fisi

    Ndoa ni kwa ajili yako na mwenza wako

    Huu ni ushauri kwa wanandoa wote.... Haupaswi kukaa kwenye ndoa kwa sababu ya watoto wako au kwa sababu ya jamii inayokuzunguka. Unapaswa kukaa kwenye ndoa kwa sababu yako, hukuoa wala kuolewa kwa sababu ya watoto au wazazi wako ama jamii. Upo kwenye ndoa kwa ajili yako, ulitaka mpenzi...
Back
Top Bottom